Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

Kuna mbuzi moja humu ishanismbia eti unapenda sana wanawake. Kwake hio anaona ni kashfa!
 
😀😀

Wala sijitetei na sitetei tabia au nature ya mwanaume.

Ila nilichokuwa natofautiana na wewe ni kuona Sisi Waafrika tunapenda zaidi ngono kuliko Wazungu Jambo ambalo si kweli.

Mwanaume ni mwanaume bila kujali rangi yake.
Tukija kwenye matokeo Ubaoni, Watu weupe wapo mbele yetu Kwa karibu kila kitu ikiwemo Kupenda Ngono.

Tabia mbaya ni mbaya tuu.
Lakini Kwa mwanaume kuwa na tamaa na wanawake wengi sio tatizo wala sio dhambi kwani ni nature yetu kuwa na Wanawake wengi.
Utamaduni wa kuoa mke mmoja ndio unafiki na kosa Kwa sababu unapingana na Hali halisi ya Sisi wanaume.

Mwanaume kutamani wanawake wengi ndio tupo hivyo, hakuna sababu ya kujizuia. Ni vile tumeamua kuchagua Wrong direction ya kuoa mke mmoja.
Ningeomba hizo sentensi uzibadili kutoka kwenye wingi kwenda kwenye umoja.. Nikusaidie kidogo 😂

"Tabia mbaya ni mbaya tu lakini kwa mimi kuwa na wanawake wengi sioni tatizo au dhambi kwani ni nature yangu kuwa na wanawake wengi

Utamaduni wa kuoa mwanamke mmoja ndio unafki na kosa kwa sababu unapingana na uhalisia wangu "...

Unajihisije kaka ukiongea hivyo 😂😂, najua lazma ujihisi kinamna flani ila ukiuweka wingi unapata nafuu maana msiba wa wengi ni sherehe ila mimi nakuambia huo ni msiba wako, usituunganishe wote dunia nzima ili ujihisi vizuri 😁😁

Kingine wewe unachotaka ni kuishi kama mnyama usie na utashi unaokupa kustaarabika kwa kutenda kila kitu kwa kiasi

Hata ungeruhusiwa ndoa kumi bado wangezaliwa wapya na mwili wako bado ungewaka tamaa kuiendea zinaa.. Kiufupi uzinzi ni kifungo chako, ni tamaa yako kwa hiyo usitafute njia za kujihisi ni sawa

Mungu alikupa utashi ili uwe na kiasi, ukikosa hicho usitake maneno yake yabadilike ili yaendane na uhalisia wako

By the way ushaambiwa kama jicho lako likikuingiza dhambini ni kheri ulikate kuliko mwili mzima kuingia motoni.. Sasa utajua ni nini cha kudeal nacho..

Sipo perfect na yawezekana nina mazito kuliko yako na ninahangaika nayo ila nikuwish All the best, katika mahangaiko yako😁🙏🙏
 
Kwema Wakuu!

Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri.

Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume.

Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu.
Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10 iliyopita nilidhani ni ishu ya umri tuu. Nilipokuwa Chuo nikadhani huenda bado ujana unanisumbua, lakini sasa naona ukubwa unaingia sioni Dalili ya Hali hii kuondoka.

Yaani nikiona Mwanamke Mzuri mwenye sifa zifuatazo
1. Mwanamke mwenye KO ya kutosha, watoto wa mjini wanasema mwenye Msambwanda. Uwe Laini lakini

2. Mwenye upaja wa haja.
3. Mwenye Sura nzuri Kama Katuni.
4. Mwenye Rangi iwe nyeusi, maji ya kunde au nyeupe lakini mtelezo.
5. Asiye na makorokoro mengi, sijui maweaving, sijui mawig au bleach.

Wanawake WA namna hiyo wanautesa Sana moyo wangu nikikutana nao. Yaani moyo unaenda bilinge bayoyo Kama jinga Fulani.

Kimsingi sina ujanja wa watoto Pisikali, Hilo kwangu nimeshaliona, hata hivyo ni Kazi za Mungu. Kama ningekuwa na uwezo ningekuwa Suleiman nioe pisikali 1000 [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua wengine mtasema Natamaa lakini Ndivyo nilivyo sasa Mimi nifanyaje. Alafu naipenda Tabia yangu na wala sijutii.

Taikon ninaweza kujipa visafari visivyo na maana nikapanda Dalala ili tuu nionane na new version ya wanawake. Au naweza kwenda Mlimani City Kwa sababu hiyohiyo. Hilo kwangu ni kawaida. Nimegundua hiyo ndio furaha yangu.
Niliwahi kujidanganya Kwa vitu vingine lakini nikaona havinifurahishi[emoji3][emoji3].

Kwa vile nipo Real na wala sio muigizaji hiyo imenisaidia wanaonizunguka kunitambua Kwa tabia nilizotaka wanitambue nazo.

Wengine wataona ni ujinga, ni Sawa.
Wengine wataona ni Utoto, ni Sawa.
Wengine wataona ni Uhuni, ni sawa,

Sipendi Mke WA Mtu ingawaje naweza kuvutiwa naye kama Vile Mke wangu anavyoweza kuvutia wanaume wengine[emoji4][emoji4].
Ni mwiko kulala na Mke WA Mtu.
Ila hawa wasio na Wanaume kikweli nipo tayari kulipia gharama[emoji3][emoji3] ilimradi awe Pisikali na asiwe Mke WA Mtu.
Dhambi ni dhambi ni kweli lakini nitafanyaje sasa,

Ninyi wanawake Pisikali Taikon Anawapenda, ninyi ndio Ugonjwa wangu. Mnanivuruga, mnanidukua, yaani mnaharibu mfumo wa Akili yangu na wala sichukii wala nini[emoji3].

Mimi ni Kuhani mwanadamu,

Sasa swali nawaachia Wakubwa tuu, Hali Kama hii ya kutaka kila mwanamke Mzuri ni kwangu tuu au hata ninyi Wazee wangu.
Yaani ukiona pisikali unatafuta namna ya kuchukua namba zake kivyovyote vile. Hii imekaaje?

Taikon naamini, Kama Wanawake wazuri wangekuwa hawanivutii basi huenda heshima Yao kwangu ingedhidi kupungua,
Lakini na-appreciate vile wanavyoni-drive nikiwaona.
Kuna wakati najiuliza kichwani au moyoni mwangu kuna nini mpaka kila nikimuona mwanamke mzuri niwe na Hali Kama mwendawazimu! Yaani situlii.

Yaani ati apite Mtoto mkali mwenye msambwanda ati nijikaze nisigeuke, Thubutu!! [emoji3][emoji3] Nitajikaza lakini wapi, labda niwe na Shemeji yenu.

Sio kama sijiheshimu, najiheshimu Ila naelezea Jambo halisi ambalo lipo na kulizuia ni Kama haiwezekan kwani nimeshajaribu mara elfu.
Labda nikiwa na madeni au Hali ngumu ya kiuchumi au nikiwa naumwa.

Mbinu za kuzuia hizo tamaa nilizowahi kuzitumia.
1. Kufunga mara mbili Kwa kila Wiki.
Mbinu hii inasaidia kuzuia tamaa ya wanawake lakini ni Kwa muda tuu. Ukifungua mambo huenda yakaendelea.

2. Kujipa Matatizo.
Kuwa na madeni, kudaiwa Kodi, kumiliki vitu vya mkopo vya gharama.
Sasa hayo yote ya nini. Bora uendelee kuwa na tamaa tuu.

3. Kuwa na Ratiba ya kuomba kila baada ya masaa matatu.
Saa 12 Asubuhi, saa tatu, saa sita mchana, saa Tisa, Saa kumi na mbili jioni. Saa mbili usiku. Saa tano kulala.
Kuomba Mungu mara Kwa mara kuna punguza tamaa.
Hata ukiwa kazini na mambo yako unaweza kuomba angalau Kwa dakika tano mpaka kumi.

4. Kuwa na Mke pisikali. Mwenye sifa zinazovuta tamaa ya macho yako.
Kisha mtunze na kumvalisha.
Kuwa kwenye mahusiano na Mwanamke mzuri mwenye mzigo wa kutosha kuna punguza tamaa ya wanawake wengine.
Kama unapenda wembamba chukua mke mwembamba. Kama unapenda bonge chukua binge.
Lakini kama unapenda zile type za kina Taikon basi dunia IPO mikononi mwako.

Hakuna Raha Kama upo na Mke wako alafu ipite piskali alafu Mkeo awe juu kwenye Chat. [emoji23][emoji23]. Akili hizi ni age 25-45.

Mke umtunze, ili uweze kumtamani. Wanaume tunatamaa. Bila tamaa hakuna mwanaume. Na Raha ya Mke umtamani ndio maana itakupasa umtunze ili akijipitisha pitisha mate yakutoke. Au akijisemesha semesha kutafuta Attention ili umuangalie[emoji3].

5. Tongoza Tongoza! Chukua namba za mademu.
Kadiri mwanaume anavyomiliki namba za mademu yaani kadiri anavyoomba namba za pisikali na akapewa namba hizo ndivyo anavyopunguza nafasi ya kufanya zinaa. Lakini kadiri anavyonyimwa namba ndivyo anavyojiweka nafasi ya kuwa Malaya.

Wanaume wataungana na Mimi kuwa, wananamba nyingi za simu za mademu walizoziomba ambazo hawakuwatafuta au kuwapigia.
Inafikia hatua mpaka unasahau hii namba niya nani, tena sio ajabu ukaomba namba Kwa demu huyohuyo mara mbili mpaka akakuambia; mbona namba zake unazo.

Mwanaume asiyeombaomba namba za simu ni rahisi kuwa Malaya kuliko Yule anayeombaomba namba za Simu.

Hii inatokana na kuwa, Mwanaume wakati anakuomba namba anakuwa na tamaa na ni Kwa vile amekuona siku ya Kwanza. Akirudi nyumbani tamaa yake imekwisha alafu akikulinganisha na Mkewe anakuona hutoboi[emoji23][emoji23] Yaani mkewe ni Mzuri mara 100 yako. Kilichomfanya akuone mzuri ni tamaa zake na Ile First sight.

Mwanaume akikuona hiyo kesho yake hakuoni vile alivyokuona Jana kwani tamaa yake inazidi kushuka[emoji25]. Hapo ndio Wanawake wanashangaa mbona hawatafutwi[emoji23].

Taikon nililifanyia utafiti Jambo hilo nikagundua kuwa, Wanaume wengi tunaomba namba siku ya Kwanza Kutokana na macho yetu kushtushwa na tulivyowaona, tamaa zetu. Lakini mshtuko huo haudumu na ndio hapo ukishika simu ya mtu Kama Taikon unaweza kuta mamia ya Namba za Wadada lakini hawajawahi kutafutwa.

6. Usipende Kuzurura Zurura bila sababu.
Kama ofisini kwako, kwa nyumbani kwako, ukitoka toka na Mkeo kwenda Out. Full stop.
Unajua kutembea tembea huku ndio unakutana na Hawa Watoto.
Ukikaa zako home huwezi kutana na rabsha.
Ofisini nako labda zipo pisikali lakini kikawaida ni pisikali kabla hujazizoea[emoji23]. Ukishazioea tuu wala hakuna maajabu.
Ndio maana unaweza Fika ofisi Fulani ukaona inawanawake Warembo lakini Vijana wa ofisi Ile wala hawana Time nazo[emoji23][emoji23][emoji23].

Kwa kumalizia, Tamaa yetu Wanaume huwezi kuiondoa isipokuwa unaipunguza tuu.

Alafu tamaa inazidi pale unapokuwa mambo Safi; unapokuwa na pesa, ni Kama jicho linakuwa HD linawaona Wanawake Warembo maradufu, alafu nao ukiwa na vipesa hata kama hujawatangazia Shetani atawaambia utashangaa Wale waliokuwa wanakuzingua wanajileta[emoji3] usipokuwa Makini Umekwisha!

7. Usipende kukaa Vivihivi!
Usipende kukaa bila kazi, bila changamoto, jipe shughuli Mafuta ya Mwili yayeyuke. Ukikaa vivihivi unatengeneza Bomu katika familia yako.
Tamaa inazidi kuwa Kali
Taikon yupo kwenye Mahusiano, anachoandika ni kweli siku zote, anaandika Kwa faida ya wote. Kuwa kwenye mahusiano hakuondoi Uanaume isipokuwa kuna ongeza. Hivyo tamaa ya mwanaume hamalizwi Kwa mwanaume kuoa isipokuwa inapunguzwa. Na ndipo umuhimu wa mada hii Ulipo.
Ndio maana nikatoa baadhi ya mbinu ya kujidhibiti na tamaa.

Acha nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Narudia tena na hapa mkeo anasomaga hizi mambo zako?
 
Bado una akili za kitoto kwahio ni sawa tu endelea... Ukimaliza balehe utaona vitu vya kawaida tu... By the way shule na vyuo vifunguliwe vijana mmejazana kwenye nyumba za waume wa dada zenu hamna kazi zaidi ya kuperuzi mitandao...
Unaweza kuta ww ndo huna lolote zaid ya kujipandisha tu, acha kuchukulia poa watu usiowafahamu ila humu kuna watu wanajionaga wamemaliza kila kitu kumbe hawana lolote wanajifichia tu kwenye ID fake
 
Usipende kukaa Vivihivi!
Usipende kukaa bila kazi, bila changamoto, jipe shughuli Mafuta ya Mwili yayeyuke. Ukikaa vivihivi unatengeneza Bomu katika familia yako.
Kabisa mkuu, hata mimi nilijifanyia tafiti mimi mwenyew nikajua kua nikikaa idle nawaza ngono ngono ngono tofauti kabisa nikiwa na ishu zinazonikeep busy nafocus sana kwenye mahusiano ya mtu BE kuliko kua tombtomb.
 
🏃🏃🏃
Kuna watu watakuambia wewe mtoto😀
 
Unaweza kuta ww ndo huna lolote zaid ya kujipandisha tu, acha kuchukulia poa watu usiowafahamu ila humu kuna watu wanajionaga wamemaliza kila kitu kumbe hawana lolote wanajifichia tu kwenye ID fake

😀😀
Asikupe shida, sio mbaya mtu akijitutumua kwenye Fake ID😂
 
Mwanaume yeyote asiye na hizo character ulizonazo,ana matatizo
 
Unaweza kuta ww ndo huna lolote zaid ya kujipandisha tu, acha kuchukulia poa watu usiowafahamu ila humu kuna watu wanajionaga wamemaliza kila kitu kumbe hawana lolote wanajifichia tu kwenye ID fake
sawa mke wangu mtam nimekuelewa, naona umemsaidia bwana wako kunijibu... Karibu tena bwabwa jaymoul
 
Muda utaongea kwa sasa niseme piga kazi mwisho waja! Unafikiri walioleta ndoa walikosea eee?
 
Kwema Wakuu!

Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri.

Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume.

Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu.
Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10 iliyopita nilidhani ni ishu ya umri tuu. Nilipokuwa Chuo nikadhani huenda bado ujana unanisumbua, lakini sasa naona ukubwa unaingia sioni Dalili ya Hali hii kuondoka.

Yaani nikiona Mwanamke Mzuri mwenye sifa zifuatazo
1. Mwanamke mwenye KO ya kutosha, watoto wa mjini wanasema mwenye Msambwanda. Uwe Laini lakini

2. Mwenye upaja wa haja.
3. Mwenye Sura nzuri Kama Katuni.
4. Mwenye Rangi iwe nyeusi, maji ya kunde au nyeupe lakini mtelezo.
5. Asiye na makorokoro mengi, sijui maweaving, sijui mawig au bleach.

Wanawake WA namna hiyo wanautesa Sana moyo wangu nikikutana nao. Yaani moyo unaenda bilinge bayoyo Kama jinga Fulani.

Kimsingi sina ujanja wa watoto Pisikali, Hilo kwangu nimeshaliona, hata hivyo ni Kazi za Mungu. Kama ningekuwa na uwezo ningekuwa Suleiman nioe pisikali 1000 [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua wengine mtasema Natamaa lakini Ndivyo nilivyo sasa Mimi nifanyaje. Alafu naipenda Tabia yangu na wala sijutii.

Taikon ninaweza kujipa visafari visivyo na maana nikapanda Dalala ili tuu nionane na new version ya wanawake. Au naweza kwenda Mlimani City Kwa sababu hiyohiyo. Hilo kwangu ni kawaida. Nimegundua hiyo ndio furaha yangu.
Niliwahi kujidanganya Kwa vitu vingine lakini nikaona havinifurahishi[emoji3][emoji3].

Kwa vile nipo Real na wala sio muigizaji hiyo imenisaidia wanaonizunguka kunitambua Kwa tabia nilizotaka wanitambue nazo.

Wengine wataona ni ujinga, ni Sawa.
Wengine wataona ni Utoto, ni Sawa.
Wengine wataona ni Uhuni, ni sawa,

Sipendi Mke WA Mtu ingawaje naweza kuvutiwa naye kama Vile Mke wangu anavyoweza kuvutia wanaume wengine[emoji4][emoji4].
Ni mwiko kulala na Mke WA Mtu.
Ila hawa wasio na Wanaume kikweli nipo tayari kulipia gharama[emoji3][emoji3] ilimradi awe Pisikali na asiwe Mke WA Mtu.
Dhambi ni dhambi ni kweli lakini nitafanyaje sasa,

Ninyi wanawake Pisikali Taikon Anawapenda, ninyi ndio Ugonjwa wangu. Mnanivuruga, mnanidukua, yaani mnaharibu mfumo wa Akili yangu na wala sichukii wala nini[emoji3].

Mimi ni Kuhani mwanadamu,

Sasa swali nawaachia Wakubwa tuu, Hali Kama hii ya kutaka kila mwanamke Mzuri ni kwangu tuu au hata ninyi Wazee wangu.
Yaani ukiona pisikali unatafuta namna ya kuchukua namba zake kivyovyote vile. Hii imekaaje?

Taikon naamini, Kama Wanawake wazuri wangekuwa hawanivutii basi huenda heshima Yao kwangu ingedhidi kupungua,
Lakini na-appreciate vile wanavyoni-drive nikiwaona.
Kuna wakati najiuliza kichwani au moyoni mwangu kuna nini mpaka kila nikimuona mwanamke mzuri niwe na Hali Kama mwendawazimu! Yaani situlii.

Yaani ati apite Mtoto mkali mwenye msambwanda ati nijikaze nisigeuke, Thubutu!! [emoji3][emoji3] Nitajikaza lakini wapi, labda niwe na Shemeji yenu.

Sio kama sijiheshimu, najiheshimu Ila naelezea Jambo halisi ambalo lipo na kulizuia ni Kama haiwezekan kwani nimeshajaribu mara elfu.
Labda nikiwa na madeni au Hali ngumu ya kiuchumi au nikiwa naumwa.

Mbinu za kuzuia hizo tamaa nilizowahi kuzitumia.
1. Kufunga mara mbili Kwa kila Wiki.
Mbinu hii inasaidia kuzuia tamaa ya wanawake lakini ni Kwa muda tuu. Ukifungua mambo huenda yakaendelea.

2. Kujipa Matatizo.
Kuwa na madeni, kudaiwa Kodi, kumiliki vitu vya mkopo vya gharama.
Sasa hayo yote ya nini. Bora uendelee kuwa na tamaa tuu.

3. Kuwa na Ratiba ya kuomba kila baada ya masaa matatu.
Saa 12 Asubuhi, saa tatu, saa sita mchana, saa Tisa, Saa kumi na mbili jioni. Saa mbili usiku. Saa tano kulala.
Kuomba Mungu mara Kwa mara kuna punguza tamaa.
Hata ukiwa kazini na mambo yako unaweza kuomba angalau Kwa dakika tano mpaka kumi.

4. Kuwa na Mke pisikali. Mwenye sifa zinazovuta tamaa ya macho yako.
Kisha mtunze na kumvalisha.
Kuwa kwenye mahusiano na Mwanamke mzuri mwenye mzigo wa kutosha kuna punguza tamaa ya wanawake wengine.
Kama unapenda wembamba chukua mke mwembamba. Kama unapenda bonge chukua binge.
Lakini kama unapenda zile type za kina Taikon basi dunia IPO mikononi mwako.

Hakuna Raha Kama upo na Mke wako alafu ipite piskali alafu Mkeo awe juu kwenye Chat. [emoji23][emoji23]. Akili hizi ni age 25-45.

Mke umtunze, ili uweze kumtamani. Wanaume tunatamaa. Bila tamaa hakuna mwanaume. Na Raha ya Mke umtamani ndio maana itakupasa umtunze ili akijipitisha pitisha mate yakutoke. Au akijisemesha semesha kutafuta Attention ili umuangalie[emoji3].

5. Tongoza Tongoza! Chukua namba za mademu.
Kadiri mwanaume anavyomiliki namba za mademu yaani kadiri anavyoomba namba za pisikali na akapewa namba hizo ndivyo anavyopunguza nafasi ya kufanya zinaa. Lakini kadiri anavyonyimwa namba ndivyo anavyojiweka nafasi ya kuwa Malaya.

Wanaume wataungana na Mimi kuwa, wananamba nyingi za simu za mademu walizoziomba ambazo hawakuwatafuta au kuwapigia.
Inafikia hatua mpaka unasahau hii namba niya nani, tena sio ajabu ukaomba namba Kwa demu huyohuyo mara mbili mpaka akakuambia; mbona namba zake unazo.

Mwanaume asiyeombaomba namba za simu ni rahisi kuwa Malaya kuliko Yule anayeombaomba namba za Simu.

Hii inatokana na kuwa, Mwanaume wakati anakuomba namba anakuwa na tamaa na ni Kwa vile amekuona siku ya Kwanza. Akirudi nyumbani tamaa yake imekwisha alafu akikulinganisha na Mkewe anakuona hutoboi[emoji23][emoji23] Yaani mkewe ni Mzuri mara 100 yako. Kilichomfanya akuone mzuri ni tamaa zake na Ile First sight.

Mwanaume akikuona hiyo kesho yake hakuoni vile alivyokuona Jana kwani tamaa yake inazidi kushuka[emoji25]. Hapo ndio Wanawake wanashangaa mbona hawatafutwi[emoji23].

Taikon nililifanyia utafiti Jambo hilo nikagundua kuwa, Wanaume wengi tunaomba namba siku ya Kwanza Kutokana na macho yetu kushtushwa na tulivyowaona, tamaa zetu. Lakini mshtuko huo haudumu na ndio hapo ukishika simu ya mtu Kama Taikon unaweza kuta mamia ya Namba za Wadada lakini hawajawahi kutafutwa.

6. Usipende Kuzurura Zurura bila sababu.
Kama ofisini kwako, kwa nyumbani kwako, ukitoka toka na Mkeo kwenda Out. Full stop.
Unajua kutembea tembea huku ndio unakutana na Hawa Watoto.
Ukikaa zako home huwezi kutana na rabsha.
Ofisini nako labda zipo pisikali lakini kikawaida ni pisikali kabla hujazizoea[emoji23]. Ukishazioea tuu wala hakuna maajabu.
Ndio maana unaweza Fika ofisi Fulani ukaona inawanawake Warembo lakini Vijana wa ofisi Ile wala hawana Time nazo[emoji23][emoji23][emoji23].

Kwa kumalizia, Tamaa yetu Wanaume huwezi kuiondoa isipokuwa unaipunguza tuu.

Alafu tamaa inazidi pale unapokuwa mambo Safi; unapokuwa na pesa, ni Kama jicho linakuwa HD linawaona Wanawake Warembo maradufu, alafu nao ukiwa na vipesa hata kama hujawatangazia Shetani atawaambia utashangaa Wale waliokuwa wanakuzingua wanajileta[emoji3] usipokuwa Makini Umekwisha!

7. Usipende kukaa Vivihivi!
Usipende kukaa bila kazi, bila changamoto, jipe shughuli Mafuta ya Mwili yayeyuke. Ukikaa vivihivi unatengeneza Bomu katika familia yako.
Tamaa inazidi kuwa Kali
Taikon yupo kwenye Mahusiano, anachoandika ni kweli siku zote, anaandika Kwa faida ya wote. Kuwa kwenye mahusiano hakuondoi Uanaume isipokuwa kuna ongeza. Hivyo tamaa ya mwanaume hamalizwi Kwa mwanaume kuoa isipokuwa inapunguzwa. Na ndipo umuhimu wa mada hii Ulipo.
Ndio maana nikatoa baadhi ya mbinu ya kujidhibiti na tamaa.

Acha nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Umetisha kaka
 
Back
Top Bottom