πππJamaniHahah nimekumbuka nilitoka dom mpka Moro nimelala yule baba ikabidi anaiulize Dada unaumwa malaria?
Wewe ni mimi kabisa, tena nikab sipandishiπππMm nakuwa silali nasikia kilakitu navaa ushungi hivo nachofanya nausogeza usoni ππ
We ringa tu, Shauri yako - itatokeza utando kama wa buibui, Ni PM haraka, nikusaidie. ππHuo mda huupati Yan nalala nikiamka kuchimba dawa Nachukua chakula nikimaliza kula nalala Tena Tena usiombe nikae dirishan nakuwekea mgongo kabisa napandisha najifanya usingiz umekolea πππ
Kuna mmoja uvumilivu ukamshinda akauliza dada unaumwa nikamwambia Jana nilikesha najiandaa safar Ilikuwa ghafla ππhivo nimechoka
We noma aiseeππHuo mda huupati Yan nalala nikiamka kuchimba dawa Nachukua chakula nikimaliza kula nalala Tena Tena usiombe nikae dirishan nakuwekea mgongo kabisa napandisha najifanya usingiz umekolea πππ
Kuna mmoja uvumilivu ukamshinda akauliza dada unaumwa nikamwambia Jana nilikesha najiandaa safar Ilikuwa ghafla ππhivo nimechoka
Nilishindwa hata kuelewa hyo malaria kaitolea wapi hahahahahaπππJamani
HatarππWewe ni mimi kabisa, tena nikab sipandishi
Kuna boya mwingine nimesafiri nae tanakaribia kuingia mwanza ananiambia nichukue room moja na yeye huku njia nzima sijaongea nae chochote zaidi ya za asubuhi mda nimapanda gari, nikawa najiuliza hivi huyu mzima kweliHatarππ
Oyaah, Oyaah ungeliwa ππ!!Kuna boya mwingine nimesafiri nae tanakaribia kuingia mwanza ananiambia nichukue room moja na yeye huku njia nzima sijaongea nae chochote zaidi ya za asubuhi mda nimapanda gari, nikawa najiuliza hivi huyu mzima kweli
Huyo kweli boya ππ yan salamu tu anataka mchukue room,je ungepiga nae story si angesema mkodi nyumba kabisaKuna boya mwingine nimesafiri nae tanakaribia kuingia mwanza ananiambia nichukue room moja na yeye huku njia nzima sijaongea nae chochote zaidi ya za asubuhi mda nimapanda gari, nikawa najiuliza hivi huyu mzima kweli
Kipindi hicho ndo mapenzi na mchumba wangu yapo juu ambae ndie mume kwa sasa, Yan mwanaume yeyote hata akiniambia mambo naona anataka kuharibu mahusiano yangu afu huyu analeta habari za kuchukua room moja na yeye, hivi unajua first love inavokuaOyaah, Oyaah ungeliwa man ππ!!
Hapo nampenda mchumb wangu mpk basi sitaki hata kuambiwa mambo na mwanaume yeyote Yan mapenz mapenziHuyo kweli boya ππ yan salamu tu anataka mchukue room,je ungepiga nae story si angesema mkodi nyumba kabisa
Mabaharia wa kimaskhara njoeni muone tunavyopigwa za uso hukuKuna boya mwingine nimesafiri nae tanakaribia kuingia mwanza ananiambia nichukue room moja na yeye huku njia nzima sijaongea nae chochote zaidi ya za asubuhi mda nimapanda gari, nikawa najiuliza hivi huyu mzima kweli
Sorry nilikuita man kumbe she!!Kipindi hicho ndo mapenzi na mchumba wangu yapo juu ambae ndie mume kwa sasa, Yan mwanaume yeyote hata akiniambia mambo naona anataka kuharibu mahusiano yangu afu huyu analeta habari za kuchukua room moja na yeye, hivi unajua first love inavokua
Wewe unamkimbia mtumishi wa Mungu, bro una mashetani πΉπΉπΉMwezi wa saba nlienda Moshi safari ya usiku chuma BM nlikaaa na mzee swala 5++ yule mzee sijui Ile ni kama anatafuna vitunguu Swaum karafuu na manini sijui Yale hata sikufika mbali nliongea na konda akafanya maarifa
Sema kukaa na hawa wadada 35-50 awe bonge kidogo Dar Arusha utaona kama Machinga to ferryWewe unamkimbia mtumishi wa Mungu, bro una mashetani πΉπΉπΉ