Mambo mengine si muhimu lakini yakikosekana yanaboa

Huo mda huupati Yan nalala nikiamka kuchimba dawa Nachukua chakula nikimaliza kula nalala Tena Tena usiombe nikae dirishan nakuwekea mgongo kabisa napandisha najifanya usingiz umekolea ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Kuna mmoja uvumilivu ukamshinda akauliza dada unaumwa nikamwambia Jana nilikesha najiandaa safar Ilikuwa ghafla ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hivo nimechoka
We ringa tu, Shauri yako - itatokeza utando kama wa buibui, Ni PM haraka, nikusaidie. ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Baadae mmefika 30+ mnaandika bango kwenye nyumba yenu "Hakuna Mbwa mkali". ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huo mda huupati Yan nalala nikiamka kuchimba dawa Nachukua chakula nikimaliza kula nalala Tena Tena usiombe nikae dirishan nakuwekea mgongo kabisa napandisha najifanya usingiz umekolea ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Kuna mmoja uvumilivu ukamshinda akauliza dada unaumwa nikamwambia Jana nilikesha najiandaa safar Ilikuwa ghafla ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hivo nimechoka
We noma aisee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna boya mwingine nimesafiri nae tanakaribia kuingia mwanza ananiambia nichukue room moja na yeye huku njia nzima sijaongea nae chochote zaidi ya za asubuhi mda nimapanda gari, nikawa najiuliza hivi huyu mzima kweli
Oyaah, Oyaah ungeliwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!
 
Kuna boya mwingine nimesafiri nae tanakaribia kuingia mwanza ananiambia nichukue room moja na yeye huku njia nzima sijaongea nae chochote zaidi ya za asubuhi mda nimapanda gari, nikawa najiuliza hivi huyu mzima kweli
Huyo kweli boya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yan salamu tu anataka mchukue room,je ungepiga nae story si angesema mkodi nyumba kabisa
 
Oyaah, Oyaah ungeliwa man ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!
Kipindi hicho ndo mapenzi na mchumba wangu yapo juu ambae ndie mume kwa sasa, Yan mwanaume yeyote hata akiniambia mambo naona anataka kuharibu mahusiano yangu afu huyu analeta habari za kuchukua room moja na yeye, hivi unajua first love inavokua
 
Huyo kweli boya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yan salamu tu anataka mchukue room,je ungepiga nae story si angesema mkodi nyumba kabisa
Hapo nampenda mchumb wangu mpk basi sitaki hata kuambiwa mambo na mwanaume yeyote Yan mapenz mapenzi
Ile darja ya ukijibu hata poa unahisi mchumba atakasirika ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kuna boya mwingine nimesafiri nae tanakaribia kuingia mwanza ananiambia nichukue room moja na yeye huku njia nzima sijaongea nae chochote zaidi ya za asubuhi mda nimapanda gari, nikawa najiuliza hivi huyu mzima kweli
Mabaharia wa kimaskhara njoeni muone tunavyopigwa za uso huku
 
Kipindi hicho ndo mapenzi na mchumba wangu yapo juu ambae ndie mume kwa sasa, Yan mwanaume yeyote hata akiniambia mambo naona anataka kuharibu mahusiano yangu afu huyu analeta habari za kuchukua room moja na yeye, hivi unajua first love inavokua
Sorry nilikuita man kumbe she!!

Sio poa, sema kuna wahuni wanajua kuimbisha mpaka unaanza kulia yaani!! ๐Ÿ˜†๐Ÿ‘Š๐Ÿพ
 
Back
Top Bottom