Hii ngoma inaitwa "Mtaka cha uvunguni sharti ainame".Nife na njaa zangu tu, siwezi kujidhalilisha hivyo
Wewe ni legendi wa JF kitambo sana.Hii ngoma inaitwa "Mtaka cha uvunguni sharti ainame".
Au "Pay the cost to be the boss".
Si unaona mwana alivyoibuka kidedea na mchongo wa kuanzia maisha ki Program Officer kwa kujishusha hapo?
Kwa sababu kahusika slow slow😀Story nzuri nasuburi episodes zingine👍
Mkuu mimi nimepata mawaidha ya tajiri maarufu Ali Mufuruki akiwaasa graduates kujishusha ili kupata angalau sehemu ya kuanzia.Wewe ni legendi wa JF kitambo sana.
Bila shaka hata maisha una uzoefu nayo.
Huyo anayesema hawezi kudhalilika inaonekana ni mtoto bado
Asànte. Hongera sana MkuuMkuu mimi nimepata mawaidha ya tajiri maarufu Ali Mufuruki akiwaasa graduates kujishusha ili kupata angalau sehemu ya kuanzia.
Aliwaambia graduates wafanye kazi, hata kama ni kuosha magari mjini, ilimradi wanajua mpango wao ni kufanya nini kuitoa katika maisha. Wasione aibu kufanya kazi yenye maslahi kwa sababu wao ni graduates.
Na nishaishi maisha ya aina zote ya kwetu ushuani na Uswahilini nilikojitosa tu kuona maisha, nikafunga mkanda mpaka New York City kutafuta maisha bila kumjua mtu.
Kwa hivyo, somo la kujishusha katika maisha ili kupata pa kuanzia, nalielewa sana.
Nishawahi kukaa sehemu ambazo wale watu wa pale wangejua mimi ni nani wangenichukukia tofauti kabisa, lakini mimi hata sikutoa credentials zangu nilikuwa nimejishusha tu, na hata hapo kuna watu walikuwa wananiangalia k8magutu magutu wanaona huyu mbona kama hapa kajiegesha tu lakini si wa hapa?
Kumbe nilikuwa nasoma tu katika darasa la maisha.😁😁
Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri, lazima Imani yako ikutume kwenye kujidhalilisha ili ujikwamueWewe ni legendi wa JF kitambo sana.
Bila shaka hata maisha una uzoefu nayo.
Huyo anayesema hawezi kudhalilika inaonekana ni mtoto bado
Kuna mstari mwembaba Sana Kati ya kujishusha na kujidhalilishaMkuu mimi nimepata mawaidha ya tajiri maarufu Ali Mufuruki akiwaasa graduates kujishusha ili kupata angalau sehemu ya kuanzia.
Aliwaambia graduates wafanye kazi, hata kama ni kuosha magari mjini, ilimradi wanajua mpango wao ni kufanya nini kuitoa katika maisha. Wasione aibu kufanya kazi yenye maslahi kwa sababu wao ni graduates.
Na nishaishi maisha ya aina zote ya kwetu ushuani na Uswahilini nilikojitosa tu kuona maisha, nikafunga mkanda mpaka New York City kutafuta maisha bila kumjua mtu.
Kwa hivyo, somo la kujishusha katika maisha ili kupata pa kuanzia, nalielewa sana.
Nishawahi kukaa sehemu ambazo wale watu wa pale wangejua mimi ni nani wangenichukukia tofauti kabisa, lakini mimi hata sikutoa credentials zangu nilikuwa nimejishusha tu, na hata hapo kuna watu walikuwa wananiangalia k8magutu magutu wanaona huyu mbona kama hapa kajiegesha tu lakini si wa hapa?
Kumbe nilikuwa nasoma tu katika darasa la maisha.[emoji16][emoji16]
Igongee shotkat kwa kuwa dalaliBinafs ajira imenitesa na bado inanitesa mbaya .... Bado sijakata tamaa naskilzia michongo
Kujidhalilisha unakutaka tu mwenyewe.Kuna mstari mwembaba Sana Kati ya kujishusha na kujidhalilisha
Isome kwa sauti
Kuna Jambo unaweza kufanya ukihisi unajishusha kumbe unajidhalilishaKujidhalilisha unakutaka tu mwenyewe.
Napingana na wewe kwa hilo, kuna utofauti mkubwa sana wa kujishusha na kujidhalilisha.
Labda ni vile wewe unavyoyatumia hayo maneno ndivyo sivyo.
Forever and always Sir !
Ngoja nikutag na huku Kuna kijana mdogo kapigwa na psychosis. Asee haya maisha hasa kwa digrii tulizokula msamba mtaani ni magum mara 100.Forever and always Sir !
Asante kwa tag wacha nikae nichukue nondo muhimu!
Naweka kambi rasmi hapa!