Mambo muhimu ya kufanya pindi tu unapopokea taarifa za msiba wa mzazi wako au ndugu yako wa karibu

Vizuri umeliona hilo.

Ukipata msimamizi mzuri hamna kitu kinapotea na wafiwa wata kula kuoga na kupata huduma zote vizuri
 
Mimi namshukuru Mungu wazazi wangu wote wapo hai mpaka leo.Namshukuru Sana kwa Hili🙏

Ahsante Sana mkuu kwa ushauri mzuri.
 
Mimi namshukuru Mungu wazazi wangu wote wapo hai mpaka leo.Namshukuru Sana kwa Hili🙏

Ahsante Sana mkuu kwa ushauri mzuri.
Hakika unatakiwa uendelee kumshukuru Mungu kwa kila dakika ya maisha yako kwa ajili ya uhai wa wazazi wako.
Pia unatakiwa uwatunze, uwajali na kuwathamini sana wakiwa hai, maana mmoja wapo au wote wakiondoka kabla yako, ndo utapoona umuhimu wao bila kujali ni wazee sana au wa kiasi.
 
Poleni wote mliofiwa na wapendwa wenu, Mungu aendelee kuwafariji.Msiba hauna formula jamani.
 
Poleni wote mliofiwa na wapendwa wenu, Mungu aendelee kuwafariji.Msiba hauna formula jamani.
Ameen mkuu, msiba ni tukio kubwa ambalo lipo nje ya uwezo wa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…