Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Ahsante mkuu,elimu imenyooka na nimekuelewa vyema ila TRA wenyewe hawakuambii kuwa ni kuanzia staffs 4
TRA wana kitu kimoja hawawaelezi watu ukweli wanataka uingie alafu muanze kimbizana kimbizana na ndio Maana wakipita watu wa TRA, watu wengi wanaogopa kama Traffic Police
 
Mimi nilianzisha kampuni na jamaa ,tukapata kila kitu toka brela ila hatuwahi fanya biashara...tangu ianzishwe2015 na yale malipo ya mwanzo ya tra ,mpaka Leo hatujawahi peleka chochote kile, cjui itakuaje tukitaka kulifufua
 
Kama ulipata usajili brela itapidi mupeleke returns Brela yaani ya 2016 tarehe ile mliopata usajili. Vilevile napenda kujua ulipata TIN?

Mimi nilianzisha kampuni na jamaa ,tukapata kila kitu toka brela ila hatuwahi fanya biashara...tangu ianzishwe2015 na yale malipo ya mwanzo ya tra ,mpaka Leo hatujawahi peleka chochote kile, cjui itakuaje tukitaka kulifufua
 
Karibu sana

QUOTE="Microsafi, post: 24886858, member: 341597"]nzuri hiyo[/QUOTE]
 
Mkuu Nyumbalao asante sana kwa Thread yako yenye Elimu nzuri sana kuhusu kodi,
Naomba ushauri hapa
Mwaka 2015 mwanzoni tulianzisha LIMITED COMPANY mimi na mwenzangu na tukaenda TRA tukapata TIN number ya kampuni NA tukakadiriwa kodi ya 500,000 kila mwezi kutokana na maelezo yetu kwa afisa kodi,
baada ya hapo tukaenda kununua EFD Mashine kwa vendor tukawa tunatumia bila kutoa taarifa kwa afisa kodi.
biashara inaendelea bt bad thing ni kwamba hatujawahi kupeleka kodi yoyote ile TRA hadi leo na wala brella sijawahi rudi tena.
Swali:
1.what is your best advice on this case...?? how?
2. n Natakiwa nini kwa case yangu hii ili niweze kuclear BRELA NA TRA...???
3.kama ntalimwa penalty a) ntalipa faini kutokana na makadirio ya afisa kodi au b) ntalipa faini kutokana na makadirio ya matumizi yangu ya EFD Mashine???

Note: business is still running....

Asante in adavance
 
Karibu ngoja nijitahidi kujibu kutokana na ulivyouliza hapo chini
1.Ushauri wangu fuata taratibu na sheria zilizopo kwa hapo itabidi utengeneze audited financial na kulipa kodi zitakazoonekana kutokana na hizo hesabu.
2.Kwa Brela utatakiwa kujaza form number 28 na kulipa ada ya Tshs 22,000 kila mwaka na tshs 2,500 kila mwezi uliochelewa so 2016 itakuwa jumla 30,000 na 2015 itakuwa 60,000 jumla (22,000*2 +30,000+60,000=134,000). Kwa Tra itategemea hesabu zitaonyesha nini.

3.) a.)Faini za TRA itakuwa kutokana na hesabu zitaonyesha niniukijumlisha na 225,000 kwa kila mwezi uliochelewa kupeleka Final accounts na Provision ya 2016 na 2017 ambazo inaonyesha kama nazo ukupeleka.
b.) Kwa taarifa tu Mauzo yote yanayoingia kwenye EFD TRA wanayo na ndio lengo la kuambiwa kila mauzo yatolewe risitii.
Karibu

Mkuu Nyumbalao asante sana kwa Thread yako yenye Elimu nzuri sana kuhusu kodi,
Naomba ushauri hapa
Mwaka 2015 mwanzoni tulianzisha LIMITED COMPANY mimi na mwenzangu na tukaenda TRA tukapata TIN number ya kampuni NA tukakadiriwa kodi ya 500,000 kila mwezi kutokana na maelezo yetu kwa afisa kodi,
baada ya hapo tukaenda kununua EFD Mashine kwa vendor tukawa tunatumia bila kutoa taarifa kwa afisa kodi.
biashara inaendelea bt bad thing ni kwamba hatujawahi kupeleka kodi yoyote ile TRA hadi leo na wala brella sijawahi rudi tena.
Swali:
1.what is your best advice on this case...?? how?
2. n Natakiwa nini kwa case yangu hii ili niweze kuclear BRELA NA TRA...???
3.kama ntalimwa penalty a) ntalipa faini kutokana na makadirio ya afisa kodi au b) ntalipa faini kutokana na makadirio ya matumizi yangu ya EFD Mashine???

Note: business is still running....

Asante in adavance
 
Pamoja na changamoto za kuendesha ndio moja ya chombo ambacho kinapata huruma katika kodi nyingi ikilinganisha na biashara binafsi. Ndipo ninapoendelea kuamini kuwa kwenye changamoto ndio kuliko na kuzawadiwa huwezi kupata manufaa kama unaogopa kumpiga Goliati wako. Watu hulipwa kwa matatizo wanayosolve kwahiyo kama kipato chako hakitoshi tafuta suluhisho la tatizo kubwa kwenye jamii nayo itakupa fedha.
 
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka ni vizuri ukaanza kuangalia mahesabu yako ya mwaka nzima na sio vibaya ukamwita mtaalamu wa maswala ya fedha ili angalau ujue ni kwa kiasi gani unaweza kulipa kutokana na kazi yako ya mwaka. Ili kama kunamarekebisho muhimu kabla ya mwaka kuisha yaweze kufanyika ni kitu muhimu kuliko maelezo.
 
Kodi ziko za kadhaa na muda tofauti. Lakini kwa kampuni ukishaanza kodi ambazo utatakiwa kizipeleka kuna kodi ambazo sio unalipa wewe ila wewe unakuwa tu kama wakala withholding taxes za Pango (rent) 10% hii utaipeleka ndani ya mwezi mmoja baada ya kuitoa, Kodi unazowakata wafanyakazi (PAYE) hizi ndani ya siku saba baada ya mwezi kuuisha, Kodi ya ongezeko ya dhamani (VAT) ndani ya siku 20 baada ya mwezi kuisha ijulikane hapa hizi wewe umekuwa wakala tu zimepita kwako sio gharama ya kampuni ila umekaa kama wakala.
Mbili zinazoihusu kampuni Kodi ya mapato ( Income Taxes) imelenga kwenye faida rate yake ni 30% hii kwa kampuni inatakiwa kupeleka makadirio mwanzoni mwaka na malipo yake ni kuanzia mwezi wa kwanza na mwisho ni kila robo ya mwaka yaani mwezi wa 3, 6, 9 na 12, Uzuri wake hayo makadirio unaruhusiwa kuyabadilisha kutokana na hali ya biashara. Skill Development levy (SDL) 4.5% kwa sasa ya mishahara kama unawafanyakazi kuanzia 4 nakuendelea hii inatakiwa iendee baada ya siku saba. WCF 1% ya mishahara siku saba

hivi ukianzisha kampuni unatakiwa uanze kulipa kodi baada ya muda gani?
 
Tofauti kubwa ya kampuni na aina nyingine za formation ya biashara ni kuwa kampuni ina kuwa na umiliki wake na madeni yake yanaishia kwenye mali za kampuni. Wakati partenership au Sole proprietor kwenye biashara inaweza kuamia mpaka kwenye vitu vya mtu binafsi.

What's the difference between partnership and limited company??
 
Wakati ukiwa mapumziko ndio wakati muafaka kukutana na watu nje ya utaratibu wako wa shughuli na ni muda mzuri zaidi wa kutafakari mwaka unaokuja unataka kufikia wapi. Tumia muda huo kukutana na watu muhimu katika biashara yako au ambao umefanya nao biashara na kupata feedback zao ni muhimu sana zinaweza kukupeleka mbali.
 
Napenda kuwakumbusha wadau tunavyokaribia siku za mwisho wa mwaka kama hizi kuhakikisha mahesabu yako yanakaa vyema. Hasa kwenye maswala ya VAT na mauzo kama wewe ni VAT registered, matumizi yako ambayo yanatakiwa kuingia kwenye mwaka huu ni vyema uyaweke vizuri ili unapotengeneza hesabu zako kwa mwaka huu inakuwa rahisi.
Nawakilisha
 
Back
Top Bottom