Mkuu
Nyumbalao asante sana kwa Thread yako yenye Elimu nzuri sana kuhusu kodi,
Naomba ushauri hapa
Mwaka 2015 mwanzoni tulianzisha LIMITED COMPANY mimi na mwenzangu na tukaenda TRA tukapata TIN number ya kampuni NA tukakadiriwa kodi ya 500,000 kila mwezi kutokana na maelezo yetu kwa afisa kodi,
baada ya hapo tukaenda kununua EFD Mashine kwa vendor tukawa tunatumia bila kutoa taarifa kwa afisa kodi.
biashara inaendelea
bt bad thing ni kwamba hatujawahi kupeleka kodi yoyote ile TRA hadi leo na wala brella sijawahi rudi tena.
Swali:
1.what is your best advice on this case...?? how?
2. n Natakiwa nini kwa case yangu hii ili niweze kuclear
BRELA NA TRA...???
3.kama ntalimwa penalty a) ntalipa faini kutokana na makadirio ya afisa kodi au b) ntalipa faini kutokana na makadirio ya matumizi yangu ya EFD Mashine???
Note: business is still running....
Asante in adavance