Kuna mabadiliko makuu mawili makubwa ambayo yametokea kwa sasa hasa kuanzia mwezi wa pili 2023.
1. Ni kuwa leseni zote za biashara za daraja B nazo zitakuwa zinapatikana online kwenye website
Tausi Portal
2. Tra wameboresha mfumo na kuwa mambo mengi sasa ya kikodi yanaweza kufanyika online na wamekuja na mfumo uliboreshwa unaitwa taxpayportal nao unapatikana kwenye
TRA | Taxpayer Portal.
Kwa kweli mfumo umeboreshwa unajitahidi kupatikana na kama unachangamoto zozote nasi tupo kukusaidia kuzitatua ili uweze kulipa kodi stahiki bila shida