Mambo muhimu ya kuzingatia wakati kuchagua kampuni utakayonunua hisa zake katika soko la hisa D.S.E

Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake.
na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya waliowekeza kwenye hili soko,wanakuja kujilaumu baadaye.

Leo tuangalie mambo muhimu ya kuzingatia kwenye Uchaguzi wa kampuni...

1. UTENDAJI WA KAMPUNI HUSIKA KATIKA KATIKA SOKO
Hapa ni utakuwa unaangalia kupanda na kushuka kwa thamani ya hisa za kampuni katika Jedwali ls matokeo linaloandaliwa na Soko la hisa kila siku.
kwenye jedwali hilo unaweza kuona matokeo ya utendaji wa thamani ya hisa kwa siku,kila wiki ,mwezi na hata mwaka mzima.
Hii ndiyo njia maaruf ambayo wengi wenu huitumia.
-pakua app ya D.S.E na utaweza kujionea Jedwari hilo.

2. MWENENDO WA WANAHISA/WAWEKEZAJI WAKUBWA
"Fuata nyuki ule asali",sasa hapa unatakiwa uangalie wapi wawekezaji wakubwa walipowekeza.Hasa anza kwa kuangalia wawekezaji wakubwa kutoka nje ya nchi wamewekeza wapi.
Pitia toleo la ripoti ya mwaka ya Kampuni husika na uangalie orodha ya wawekezaji wakubwa/shareholders ,kisha google hayo majina utakayo yaona ujue historia zao na hali zao kiuchumi.
-Kapitie Ripoti ya mwaka ya CRDB,SWISSPORT,TCC na TBL UONE Orodha ya matajiri wazito waliopo kama wawekezaji.
mf.muwekezaji mkubwa wa TBL ni mojawapo ya kampuni kubwa ya bia hapa duniani
muwekezaji wa TCC ni mojawapo ya kampuni kubwa ya tumbaku duniani.

Kwa wawekezaji wa ndani,,nenda uangalie hawa majamaa walipo wekeza.
"Sayeed H. Kadri &/or Basharati Kadri"

3. MIFUKO YA UWEKEZAJI YA PAMOJA NA MIFUKO YA PENSHENI

Hawa jamaa huwekeza kwenye kampuni ambazo wana uhakika zitarudisha faida mfululizo...
nenda tenda kwenye ripoti ya mwaka ya kila kampuni halafu weka alama kila kampuni ambapo utaona mifuko ifuatayo imewekeza
  • UTT
  • PSSSF
  • NHIF
  • ZSSF
4. UKUBWA WA KAMPUNI
Hapa unaenda kuangalia ukubwa wa thamani ya Kampuni husika...a.k.a market capitalization
ambapo...
thamani ya kampuni= thamni ya hisa moja ya kampuni kwa mwezi husika(mda ) x idadi ya hisa zilizo nunuliwa.
Kampuni unaweza iona ina magari kibao mtaani lakini hapa ikawa chini...
mf
Kwa data za mwaka jana nilizokusanya mpaka sasa...Kampuni ya sigara ya TCC ndiyo kampuni yenye thamani kubwa,ikiwa na thamani ya trillioni 1.7

5. GAWIO
Hili ni rejesho la sehemu ya faida ambayo kampuni imepata kwa mwaka husika kwenda kwa wawewekezaji wake.
Hapa angalio
  • historia ya kampuni kutoa gawio (hufulululiza,au nadra)
  • Asilimia ya gawio kwa thamani ya hisa moja,,chukua gawio halafu gawa kwa thamani ya hisa kisha zidisha kwa asilimia
kampuni isiyotoa gawio inawezekana ikawa
  • inajiandaa kujitanua kwa kufungua tawi jipya/kununua mitambo mipya
  • Inapunguza madeni iliyokuwa nayo
  • Ina jihusisha na kuchangia shughuli za kijamii
  • ina hali mbaya kiuchumi
6. UONGOZI WA KAMPUNI
Kuna makampuni ya uongozi ulio sukika,,Kwa hapa bongo usichanganywe sana na majina ya P.H.D
wewe anagalia kampuni ambalo lina mseto wa uongozi,yaani kuwepo na Wazungu kadhaaa,watu wa Afrika kusini au watu wa Kenya na wachagga kwa mbaaali.
Ila kampuni ni full wabongo mwanzo mwisho,dah pitia taarifa zake mara mbili mbili japo kuna kampuni kama TOL,lipo poa sana

7.MIPANGO YAO YA BAADAYE
Pitia ripoti za kampuni husika ,soma uone kama wanawekeza katika
  • utafiti
  • Ununuzi wa mitambo mipya
  • kuongeza matawi
  • uboreshaji wa mazingira rafiki ya kazi kwa wafanyakazi
8. BIASHARA HUSIKA
Katika soko la DSE kuna makampuni ya Upande wa
  • Fedha na benki e.g NMB,CRDB,MKOMBOZI na NICOL
  • Ujenzi e.g TWIGA
  • Viwanda e.g T.O.L
  • Usafirishaji e.g SWISPORT na PRECISION
  • Mawasiliano e.g VODACOM
  • Mafuta e.g SWALA
  • Bidhaa za starehe e.g TBL na TCC
Sasa angalia je
  • ,watanzania wanapenda starehe hasa kunywa,,jibu ni ndiyo tena sana
  • ni watu wa kutumia usafiri wa ndege,,jibu hapana
  • ni wakopaji,,,tena sana,na wakikopa wanaenda kwenye starehe na ujenzi
8. UWEKEZAJI WAKO NI WA AINA GANI
Uwekezaji wa mda mfupi (1mwaka-3)
hapa utakuwa unalenga sana thamani ya kampuni,labda unataka utumie hisa zako kama dhamana za mkopo.

Uwekezaji wa mda mrefu (7-15 miaka)
Hapa utakuwa unalenga Gawio liwe linaingia kwenye akaunti yako ya benki.

9.KUSOMA RATIO MUHIMU ZA KAMPUNI KATIKA TAARIFA ZA FEDHA ZA MWAKA
Hapa nenda ukasome
EPS=Earning per share
ROE/ROI =Return on Investment/Equity
DEBT TO EQUIT RATIO
PRICE TO BOOK VALUE
PRICE EARNING RATIO

Nime-upload file la Excel ambalo lina taarifa mbalimbali za fedha za makampuni yaliyo orodheshwa DSE kutoka mwaka 2019 hadi 2023...
password : JAMII

NOTICE;
Mimi ni mtaalam wa ujenzi,,ila napenda tusaidiane kupata elimu hii ya masoko ya fedha
kwa wale mlio somea uchumi ,itakuwa Vyema mkawa mstari wa mbele kuchangia,itasaidia sana.

Umaskini ni adui wetu sote.
coming back
 
Soko la hisa lolote hapa tanzania ni utapeli kwa watu wanyonge ....hisa ni njia mojawapo kubwa sana ya kufanya biashara kupata mtaji wala siyo kunufaisha wana hisa wa chini ...biashara ya hisa kwa tz ni sawasawa na BIASHARA YA MAKANISA KATI YA MITUME =KAMPUNI AU SHIRIKA NA WANAHISA WA KAWAIDA =NA WAUMINI (kondoo) ni kama utapeli wa makanisa ya kina MWAMPOSA ....GAMANYWA ...ZUMARIDI NK ...NI UHUNI.

MASIKINI KUTOKA KWENDA KUNUNUA HISA NI SANA NAMPUMBAVU KWENDA KUPIGIA KURA CCM TENA CHINI YA SAMIA.
 
Soko la hisa lolote hapa tanzania ni utapeli kwa watu wanyonge ....hisa ni njia mojawapo kubwa sana ya kufanya biashara kupata mtsji wala siyo kunufaisha wana hisa wa chini ...biashara ya hisa kwa tz ni sawasawa na BIASHARA YA MAKANISA KATI YA MITUME =KAMPUNI AU SHIRIKA NA WANAISA WA KAWAIDA =NA WAUMINI (kondoo) ni kama utapeli wa makanisa ya kina MWAMPOSA ....GAMANYWA ...ZUMARIDI NK ...NI UHUNI.

MASIKINI KUTOKA KWENDA KUNUNUA HISA NI SANA NAMPUMBAVU KWENDA KUPIGIA KURA CCM TENA CHINI YA SAMIA.
so
Bakhresa naye kuwa mmojawapo wa wanahisa ni upumbavu...?
 
Wewe kijambio soma nilicho andika sipendagi kubishana na wapumbavu baresa anasimama upande wa kina mitume feki kina mwamposa ..kakobe nk hao ndiyo wanyonyaji wenyewe ....kwenye soko la hisa kuna mabwana na watumwa. Soko.la hisa lipo kama mzani wa dukani una pande mbili kwa hapa tanzania wanufaika ni wale mabwanyenye wanatumia mbinu kujinufaisha....kutokana na makosa ya kimfumo wa biashara ya hisa tz
 
Soko la hisa lolote hapa tanzania ni utapeli kwa watu wanyonge ....hisa ni njia mojawapo kubwa sana ya kufanya biashara kupata mtaji wala siyo kunufaisha wana hisa wa chini ...biashara ya hisa kwa tz ni sawasawa na BIASHARA YA MAKANISA KATI YA MITUME =KAMPUNI AU SHIRIKA NA WANAISA WA KAWAIDA =NA WAUMINI (kondoo) ni kama utapeli wa makanisa ya kina MWAMPOSA ....GAMANYWA ...ZUMARIDI NK ...NI UHUNI.

MASIKINI KUTOKA KWENDA KUNUNUA HISA NI SANA NAMPUMBAVU KWENDA KUPIGIA KURA CCM TENA CHINI YA SAMIA.
"soko la hisa lolote" kwani kuna masoko mangapi ya Hisa hapa Tanzania,tuorodheshee kwanza....

Je,kuna nchi ambayo biashara ya hisa haipi kampuni mtaji....?

0.3% ya wa-TZ ndiyo wapo kwenye Hisa,,,,,majority Holders wa Hisa ni foreigners including QATAR FOUNDATION....Sasa je,QATAR FOUNDATION ni wehu kuwekeza BONGO?
 
Wewe kijambio soma nilicho andika sipendagi kubishana na wapumbavu baresa anasimama upande wa kina mitume feki kina mwamposa ..kakobe nk hao ndiyo wanyonyaji wenyewe ....kwenye soko la hisa kuna mabwana na watumwa. Soko.la hisa lipo kama mzani wa dukani una pande mbili kwa hapa tanzania wanufaika ni wale mabwanyenye wanatumia mbinu kujinufaisha....kutokana na makosa ya kimfumo wa biashara ya hisa tz
Kuweka matusi ndi dhihirisho la ujinga wako,,,,,,Sasa kama hauwezi kubishana,then why unaandika,,,,si heri ukaa kimya...
Tutajie hayo makosa ya kimfumo wa biashara ya Hisa hapa Tanzania....Japo matano tu....
siyo kuwa bingwa wa kuropoka,weka hoja hapo...
 
"soko la hisa lolote" kwani kuna masoko mangapi ya Hisa hapa Tanzania,tuorodheshee kwanza....

Je,kuna nchi ambayo biashara ya hisa haipi kampuni mtaji....?

0.3% ya wa-TZ ndiyo wapo kwenye Hisa,,,,,majority Holders wa Hisa ni foreigners including QATAR FOUNDATION....Sasa je,QATAR FOUNDATION ni wehu kuwekeza BONGO?
Kumbe wewe ni mpumbavu ..masoko ya hisa yapo mengi tanzania tumia akili ...pia kuhusu kuipa kampuni mtaji nani kapinga ....au ujui tofauti ya soko la hisa kuipa kampuni mtaji tu na sikuwanufaisha wanahisa ...masoko ya hisa tanzania kazi yake ni si kuwanufaisha wanahisa isipokuwa wale wenye hisa za level ya juu ya maamuzi..
 
Kuweka matusi ndi dhihirisho la ujinga wako,,,,,,Sasa kama hauwezi kubishana,then why unaandika,,,,si heri ukaa kimya...
Tutajie hayo makosa ya kimfumo wa biashara ya Hisa hapa Tanzania....Japo matano tu....
siyo kuwa bingwa wa kuropoka,weka hoja hapo...
Sibishanagi na wapumbavu kwa sababu mimi nina akili nyingi kukuzidi mbali sana ...mimi ninatoa elimu kamili na timamu kazi yako ni kutii tu au kuuliza maswali kama aujaelewa kima wewe ...mwizi wa ccm .....hata sadaka ni mtaji wa kanisa ila wanao nufaika nao ni wale wakuu wa kanisa stupid..kuhusu masoko kila kampuni inayo uza hisa hilo ni soko moja la hisa....hivyo idadi yote ya wanao uza hisa ndiyo idadi ya masoko
 
Kumbe wewe ni mpumbavu ..masoko ya hisa yapo mengi tanzania tumia akili ...pia kuhusu kuipa kampuni mtaji nani kapinga ....au ujui tofauti ya soko la hisa kuipa kampuni mtaji tu na sikuwanufaisha wanahisa ...masoko ya hisa tanzania kazi yake ni si kuwanufaisha wanahisa isipokuwa wale wenye hisa za level ya juu ya maamuzi..
Ndugu uliye mwelevu,tafadhali
  • Nijuze mie mpumbavu hiyo idadi ya masoko ya hisa hapa Tanzania.
  • Niorodheshee hayo masoko.
Tuanzie hapo kwanza.........siyo kuropoka tu.

Zaidi ya 85% ya wanahisa ni wa nje ya nchi....Na ndiyo fedha dhao zinaendesha makampuni hayo.....
Sasa onesha hao wanahisa wa chini wana faidisha vipi au wanahisa wa juu,,,,,
malizia hapo......
 
Ndugu uliye mwelevu,tafadhali
  • Nijuze mie mpumbavu hiyo idadi ya masoko ya hisa hapa Tanzania.
  • Niorodheshee hayo masoko.
Tuanzie hapo kwanza.........siyo kuropoka tu.
Wacha nikujibu sawa sawa na upumbavu wako ujawai kusikia mtu ana sema KANISA LA MUNGU kumaanisha wakristo wote na mtu ana sema MAKANISA YA MUNGU pia kumaanisha makanisa yote tumia akili wewe zuzu wa ccm ....
Mtu anaweza kusema soko la uchumi wa tanzania ila ndani yake kuna masoko mengi
 
Wacha nikujibu sawa sawa na upumbavu wako ujawai kusikia mtu ana sema KANISA LA MUNGU kumaanisha wakristo wote zna mtu ana sema MAKANISA YA MUNGU pia kumaanisha makanisa yote tumia akili wewe zuzu wa ccm ....
Usizunguke,,,,jibu maswali kama ulivyo ulizwa,,,,siyo kuleta hoja ya Kanisa hapa.....
  • Taja hiyo idadi ya masoko ya hisa Tanzania
  • Orodhesha hayo masoko
wala usifanye mambo kuwa mengi....
Kama haujui vitu,usiwe mwepesi wa kuropoka,kaa chini na ujifunze,mana hadisasa unajiabisha mwenyewe tu hapo.
 
Wacha nikujibu sawa sawa na upumbavu wako ujawai kusikia mtu ana sema KANISA LA MUNGU kumaanisha wakristo wote na mtu ana sema MAKANISA YA MUNGU pia kumaanisha makanisa yote tumia akili wewe zuzu wa ccm ....
Mtu anaweza kusema soko la uchumi wa tanzania ila ndani yake kuna masoko mengi
oya mwerevu umekimbia......... 😀 😀 😵
 
Wakuu greater than na Lwiva hamtutendei haki wanajukwaa.

Ni dhahiri wote kuna kitu mnajua kuhusu hisa, lkn badala ya kubishana kwa hoja nyie mmechagua matusi.

Mnatunyima nafasi ya kujifunza sisi tusiojua a,b,c,d za hisa.
 
Hapo hakuna cha kujifunza panastaili matusi ni utapeli wa serikali ya ccm nikama utapeli wa makanisani tu ...jichunge usije kuingia kwenye huo mtego huyo jamaa ni dalali wa masoko ya hisa awezi kukuambia ukweli hata siku moja....hili mambo ya hisa yakunufaishe ni lazima na wewe uwe sehemu ya hao wahuni...nikama hile michezo ya desi.
 
Mimi ni Dalali wa nini.... 😀 😀 😀 😀😀😀😀
Hii ndiyo unaambiwa ukiona elimu Gharama ,jaribu ujinga....

Bro,mi nipo kwenye Tasnia ya uhandi majengo....Natumia mda wangu wa bure kuelekezana na watu juu ya mambo muhimu kuliko kuongelea mpira na hizo conspiracy theory zako.
 
Wakuu greater than na Lwiva hamtutendei haki wanajukwaa.

Ni dhahiri wote kuna kitu mnajua kuhusu hisa, lkn badala ya kubishana kwa hoja nyie mmechagua matusi.

Mnatunyima nafasi ya kujifunza sisi tusiojua a,b,c,d za hisa.

Pitia baadhi ya Nyuzi nilizoandika juu ya Soko la Hisa na mitaji.
 
mwenye kuelewa hizi hesabu naomba anisaidie... Ukiwa una 50mil na uka nunua hisa za 9%, hapo kwa monthly unapata how much?
 
Mkuu Asante kwa bandiko zuri ila file halifunguki linahitaji password

Back
Top Bottom