Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
HahahBro hebu jipe muda wa kupunguza stress kidogo.....stress hazina faida jifunze tu kuzikataa kwa namna yoyote ile.
Sababu unaijua we uliejibu.....wala hamna kilichonigusa zaidi tu ya kuona umejawa na hasira na stress kwa vitu ambavyo wala havihitaji mihasira na mistress.Hahah
Unajua nakujibu hivyo kwa sababu gani? Sorry lakini kama imekugusa cha msingi kuna ujumbe ndani ya majibu yangu.
Kumbuka funga ya waislamu ni kula Sana kwa mwezi wa mfungoHakuna masikini anae weza kushindwa kufunga,miezi mingine alikuwa anakula nini?
Basi sawa umeshinda.Sababu unaijua we uliejibu.....wala hamna kilichonigusa zaidi tu ya kuona umejawa na hasira na stress kwa vitu ambavyo wala havihitaji mihasira na mistress.
Cheers
Sijakuelewa unataka kusema nini?.Kuoa na kuacha luhusa iwapo kama mke ulie muoa anatabia mbaya utafanyaje uendelee kuishi na nyoka ndani,lakini hata nyiyi mnahachania mahakamani kilakukicha
Uislam kama ulivyo Ukristo, Uhindu, Ubudha, Uyahudi n.k vyote vina mabaya na mazuri yake.Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma
2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia
3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao
4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.
5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
6: Kuharakisha mazishi.
7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu!
8: Kuharakisha ndoa! Hamna longolongo!
Umewahi kuona ndoa ya aina hiyo?Hatuna katazo la kuoa mke zaidi ya mmoja katika ukristo.
Kuoa wake wengi sio dhambi, Ila kuzini na wanawake ndio dhambi, tumekatazwa kuzini Ila hatujakatazwa kuoa wake wengi.
Umewahi kuona ndoa ya aina hiyo?
Muhasibu kama Muhasibu4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.
Kama ningeendelea kuwa muumini wa haya madhehebu ya wenzetu, ningebadili dini na kuwa muislamu. Ni dini iko very social na inablend vizuri sana na tamaduni zetu.Allah akufanyie wepesi katika shughuli zako zote. Uislamu ni dini ya kweli iliyobakia.
Kuna makauzu bint, hata ujilengeshe vipi mwamba kakaza tuKumbe kuondoka ni kutaka tu.🤣
Ni vyema ungesilimu. Otherwise wewe ni mnafiki.Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma
2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia
3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao
4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.
5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
6: Kuharakisha mazishi.
7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu!
8: Kuharakisha ndoa! Hamna longolongo!
Mbona unamuwekea maneno??Lengo kuu ni namba 4, hayo mengine ni porojo.
Sio lazima kwan humjui ustadh michael msearch YouTube othman michaelNiliuliza hivi; Kwanini mtu akitaka kusilimu lazima apewe jina la kiarabu..
Mfano, Bahati anataka kusilimu, kwanini sasa aitwe Abdul badala ya kubaki na Bahati lake.. Je kuna shida na Majina yasiyo ya kiarabu?
Naomba jibu kama unajua.
Mmhhhh! Hii ya edo ndio kwanza naisikia kwako, makanisa ya kina rwakatare ndio yana pigo hizo7. Nilishawahi kukaa na Rais Mwingi kipindi hicho ni Waziri wa Ulinzi pale Msikiti wa Al Maamur Upanga, hakuna madaraja kama pale Azania Front Church marehemu Lowassa alikuwa na seat yake Special