kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Jina upo huru kuchagua mwenyewe ila sio la kimisheni kama unalo ulilolipenda au unatajiwa majina kadhaa utakalopenda unapewa rasmi majina mazuri na maana zake,Jina Abdul halipaswi kuitwa kifupi hivyo ni lazima liwe Abdul manaf,!Abdul latif au Abdul razzak watu hulikatisha tuu!Niliuliza hivi; Kwanini mtu akitaka kusilimu lazima apewe jina la kiarabu..
Mfano, Bahati anataka kusilimu, kwanini sasa aitwe Abdul badala ya kubaki na Bahati lake.. Je kuna shida na Majina yasiyo ya kiarabu?
Naomba jibu kama unajua.
π€£π€£Mwisho mara Tatu ikifika ya Tatu ndio tunasema talak 3 hapo kilammoja akafie mbele huko πKumbeeeee heeee basi kuachika mtu amependa, sa si mwendo wa eda rudi eda rudi eda rudi hadi tuzeeke
Mfano, kanipa ya kwanza nikakaa eda hapo siku mbili kanila, ya pili eda tena kanila, ya tatu huko huko kwa eda kanikula.....naondoka???π€£π€£Mwisho mara Tatu ikifika ya Tatu ndio tunasema talak 3 hapo kilammoja akafie mbele huko π
Je inawezekana mtu akasilimu na akabaki na jina lake la kiafrika kama vile Matinde, au lazima apewe list ya majina ya kiarabu achague analolipenda?Jina upo huru kuchagua mwenyewe ila sio la kimisheni kama unalo ulilolipenda au unatajiwa majina kadhaa utakalopenda unapewa rasmi majina mazuri na maana zake,Jina Abdul halipaswi kuitwa kifupi hivyo ni lazima liwe Abdul manaf,!Abdul latif au Abdul razzak watu hulikatisha tuu!
tena wanakua sio wachoyo ukitaka unatengewa unaikula tani yako mchawi pumzi. kila siku unapiga vigelegele kwenye ndoaWanawake walioshika dini wakiislam ukioa umeoa.
Yaani unahisi Kama upo peponi hivi.
Godbless them.
Cc Shadeeya
Usipende usichokijua mkuu!Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee nom...
Mfano mzuri ni Clement mzize si anatumia yote!Je inawezekana mtu akasilimu na akabaki na jina lake la kiafrika kama vile Matinde, au lazima apewe list ya majina ya kiarabu achague analolipenda?
Uislam unataka watu wapewe majina mazuri i.e majibu yenye maana nzuri. So, unaweza itwa Nuru au Lightness, Haikande au Masanja au John na bado ukawa ni Muislam. Hii ya kuwalazimisha watu kuchukua majina ya Kiarabu ni upotofu tu na mazoea. Hakuna ulazima.Niliuliza hivi; Kwanini mtu akitaka kusilimu lazima apewe jina la kiarabu..
Mfano, Bahati anataka kusilimu, kwanini sasa aitwe Abdul badala ya kubaki na Bahati lake.. Je kuna shida na Majina yasiyo ya kiarabu?
Naomba jibu kama unajua.
Alisema uongo kabisa. Majina yanahusiana na utamaduni na mazingira mtu atokayo. Alichosema Mtume ni kuwapa majina mazuri watoto wenu. Ila sio lazima aitwe jina la kiarabu. Unaweza kuwa muislamu na ukaitwa Jonathan au Tonge, au Samaki.Ooh.. okay.. Kuna sheikh aliniambia haiwezekani uwe muislamu asiye na jina la kiislamu.. sikuridhishwa na hilo jibu.
Nimeipendi hiiPamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee nom...
Namba nne huwa ni ngumu Maana Quran yenyewe imekubali na ikakataa piaLengo kuu ni namba 4, hayo mengine ni porojo.
6: Kuharakisha mazishi.Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee nom...
Hawa ndugu zetu wako vizuri kwny masuala ya ndoa tu, hayo mengine ni upuuzi.Kuoa-kuacha (usiku umeolewa asubuhi unakuta talaka whatsapp)
Napentraaa
Hakuna Eda hapo ππHivi akipiga mashine eda inafutika au inakuaje?
Imekataaje Dr?Namba nne huwa ni ngumu Maana Quran yenyewe imekubali na ikakataa pia
Akikukula mana yake eda imefutwa mmerenew ndoa hakuna eda hapoMfano, kanipa ya kwanza nikakaa eda hapo siku mbili kanila, ya pili eda tena kanila, ya tatu huko huko kwa eda kanikula.....naondoka???
Kuharakisha mazishi kuna tija gani?6: Kuharakisha mazishi.
7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu...