Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.

1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma

2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia

3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao

4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.

5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini

6: Kuharakisha mazishi.

7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu!

8: Kuharakisha ndoa! Hamna longolongo!
Safi sana, ni kweli kabisa. Hata mimi nasupport
Na mambo usiyoyapenda ni yapi?
 
Binafsi nawapenda WAISILAMU ukimkuta aliyeshika dini ! ni katika UAMINIFU tu.
 
Wewe sio mkristo ni muislamu sema unatafuta namna ya kuonyesha kua dini yako ni bora kulingana na vipimo vyako
Uzuri sipo hapa kuthibitisha imani yangu. Wengi wamenielewa, ila wachache walionisoma kwa jicho la kifia dini ndio wanapata shida
 
Hilo la kutoruhusu mitume au viongozi wao wa dini wadhalilishwe ni sawa kabisa, kwasababu huwezi kuona comedy au Bongo movie anaigiza kwa kutumia either kanzu au Quran......ila vijinga jinga huko social media vinaigiza na color ya wachungaji na Bible bila shida,hilo jambo binafsi linanikwaza sana
#Freedom of speech
Ndio maana watu wengi wanakimbilia Marekani, Canada, Australia na Ulaya badala ya Uarabuni, China au Russia.
 
Mimi hupenda zaidi dressing code ya wanawake wa kiislamu..
Miili Yao inasitiriwa kwelikweli, na sio ukanjanja wa vibinti vya kilokole
Kusitiriwa ni nini? Asili yake ni wapi?
Africa walikuwa wanajisitiri kabla ya Waarabu na Wazungu kufika Africa??
 
Hao ni wangapi kati ya milioni sitini (60), vipi wewe utakuwa mmoja wao??

Naomba unipe faida ya kuzikwa kifahari??

Huyu ni tajiri na haya ni mazishi yake!

Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum’s financial stature is nothing short of remarkable. According to Celebrity Net Worth and South China Morning Post, his net worth ranges between $14 billion to $18 billion (approximately between Rs 1.1 lakh crore to Rs 1.4 lakh crore).

View attachment 2940340

Hili ni kaburi lake!

View attachment 2940341

Lete utajiri wako tuone!
Mkuu, wao wamefata Imani yao katika maziko, Kila mtu na utaratibu wake.
 
mapungufu katika ukristo ndo yaliyozaa uisram!
kama unavyojua mcheza shoo ya copy anakuwa vizuri kuliko mtoa wimbo original!
uisram umejitahidi kuweka uhalisia wa maisha na asili katika maandiko ya kuheshimika/kuogofya a.k.a Quran!
mgogoro wa vatican na jerusalem na tamaa za kiutawala vilifanikiwa uundwaji wa imani hii!
from agonistic source

8

8

jerusalem
 
Kwani kukaa na maiti kwa muda mrefu inakuwa Ina maana gani ? Au huwa wanadhani itafufuka?
Kwani kunakuwa hakuna taratibu zinazoendelea kwa ndugu!? Au unafikiri wanakaa TU Bure!?
 
Binafsi nawapenda WAISILAMU ukimkuta aliyeshika dini ! ni katika UAMINIFU tu.
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
 
mapungufu katika ukristo ndo yaliyozaa uisram!
kama unavyojua mcheza shoo ya copy anakuwa vizuri kuliko mtoa wimbo original!
uisram umejitahidi kuweka uhalisia wa maisha na asili katika maandiko ya kuheshimika/kuogofya a.k.a Quran!
mgogoro wa vatican na jerusalem na tamaa za kiutawala vilifanikiwa uundwaji wa imani hii!
from agonistic source

8

8

jerusalem
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
 
Contradictions zilizomo kwenye Quran ukiziongelea pia unaweza kuuwawa.

Ukristo unaruhusu Free Speech kuliko Uisilamu.

Tuongeeni ukweli ndugu zangu.
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
 
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
Hivyo ndivyo inavyotakiwa kitu ambacho hakitakiwi ni Extremism mimi naona Mockery kwenye Dini ni Jambo zuri kuliko kumuua Mtu kwa kuchora Katuni ya Mtume fulani.
 
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
MKuu Kuhusu Bi Aysha naomba nisitie neno kabisa 🤣🤣..
Maana kuna Riwaya na Hadithi zinazomfanya kuwa hivyo..
Nisije nikasema nimapopolewa Mawe
 
Back
Top Bottom