Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

Pesa kitu gani ndugu ...samehe...hakuna kumess up na mtu ambaye unatarajiwa kuishi nae maisha yote...au yule ambae atakuwa baba au mama wa watoto wako...hakuna huruma kabisa...usichague mwenza kwa huruma...
 
Blaza tulia kwanza uandike vizuri. Inaonekana upo na stress tuliza kwanza akili ushushe thread vizuri. Kuna important details hujazitoa hapo. Hebu ongeza nyama nyama kidogo.
 
Mkuu pole sana. Mna mtoto tayari?
 
Nipe namba zake mkuu nipo hapa mtaalamu wa kurekebisha ndoa zinazoyumba, niPM hio namba yake faster niokoe hilo jahazi lisije likazama mkuu
 
Ukifanya nae ngono tu huwezi ona hizi tabia mbaya ugeuka madoido ya mapenzi
 
Ndoa sio lelemama
Hata ungezingatia vipi yangekukuta tu
Otherwise usioe kabisa Ila bro
Ukikua utaona kawaida sana


Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Na Mungu hawezi leta wakamilivu wote ana mix mkamilifu na kimeo.
Thus ukiona ndoa imedumu elewa pana mmoja kayabeba maumivu ya mwenzie.
Sometimes bora liende tu siku zinasonga
 
Endelea kuteseka tu.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
(11) Feminist - mwanamke anaeamini na kupambania haki sawa ndani ya nyumba.
 
Maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge sasa aina budi kuyaoga ayo maji
 
Kaka unahitaji ushauri upi sasa?????Kuna aina mbili hapa!!!Tukushauri uvumilie au ubwage manyanga kaka
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wacha tu nicheke- huyo ndiyo chaguo lako jifunze tu kuishi naye
 
SIKU ZOTE...ILE SAUTI YA KWANZA UNAYOISIKIA IKIKUSHAURI NDIO SAUTI YA KUZINGATIA...WEWE UKAIPUUZA...

KAMA HAMJAZAA BADO...MUACHE MAPEMA....UKIZAA TU UNAIVUTA MIZIZI ZAIDI ARDHINI...
Watu wengi wanakufa kwa mambo mengi sababu ya watoto,furaha yako ni mihimi zaidi bila wewe kuwa na furaha utawahi kufa na watoto watateseka ni bora utafute furaha yako huku ukiendelea kutafuta kwa ajili ya watoto.
 
Ndoa sio lelemama
Hata ungezingatia vipi yangekukuta tu
Otherwise usioe kabisa Ila bro
Ukikua utaona kawaida sana


Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
hiyo ni hakika kabisa, hata ungepanga vipi ndoa ni kama kupeleka mkono kwenye kiza cho chote kinaweza kutokea. Usikimbilie kuacha hebu kwanza jaribu kuzungumza nae 'heart to heart', mujadili mapungufu yenu nyote wawili na jinsi ya kuboresha mahusiano yenu ya ndoa.

Usikimbilie kukata tamaa mapema mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…