Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

SIKU ZOTE...ILE SAUTI YA KWANZA UNAYOISIKIA IKIKUSHAURI NDIO SAUTI YA KUZINGATIA...WEWE UKAIPUUZA...

KAMA HAMJAZAA BADO...MUACHE MAPEMA....UKIZAA TU UNAIVUTA MIZIZI ZAIDI ARDHINI...

Paragraphy 2 ushauri wa maana sana, sasa shida ni kwamba huwa hawasikilizi.
 
No 6 umekuwa mbinafs mno na wivu extra!
Rudia utafit wako kati ya single mother na wasichana ni kundi gani wanajitambua zaid! Alaf urud.
Usisahau katika kuoa hakikisha unaoa rafik yako, ukiamini ana skili timam na si vinginevyo wako.
Yan Angalia sifa zinazobaki ukimwondolea elimu, uchumi, umbo na ngono.
Ukiona unamuhitaji bado oa. Ukiona ameisha na ukaendelea jua we ndo dhaifu na mkurupukaji, umemwaribia kesho yake mana wanayeendana yupo tu!
 
Pole sana
 
Kwa hiyo wazazi wenye pesa ndio watoto wao hawali ugali na mboga za majani??

Huyo si wakutetea ni hajakua na ni slay queen.
Ni msichana wa ovyo na sio wife material.
 
Hukuwa na backup, that is why.
 
Ulipaswa imuite umuombe mtoke out mbali kabisa na makazi yenu....menu matata iandaliwe....maandalizi ya tunda yafanyike...mdinyaneeeeee weee kama vile ndo mwisho...halafu mkiwa mnapiga story mbili tatu umwambie "baby as it seem I don't see any future prospects between us...I think we should cut this off... however I love u so much and I appreciate your time and resources.... you deserve a good husband not me" halafu umalizie na bonge la kiss then mtawanyike.
Wala leo usingejutaa
 
Hahaha asee kwani umelazimishwa si uvunje uchumba🙉
 
Sawa... lkn bado nahitaji muda wa kufikiria hili kabla ya k7chukua maamuzi
Watu wanaachana kwenye vikao vya harusi sembuse kulipa mahari.....
Hivi kweli mtu ushamuona kimeo why uendelee nae?
 
Anataka kula kuku tu? Kwani anafanya kazi hotelini mkuu?
 
Another Man Down
We need Backup Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…