Mambo saba (7) ya kufanya ili kuuzima moto wa mgogoro unaosababishwa na mkataba wa DP world na Tanzania

Kuuvunja ni gharama, na kuendelea ni gharama; ungekuwa wewe ungefanya nini?
 
Unazunguka sana kuelezea maovu.
Jibu ni kurekebisha figisu na kuzileta hadharani au kufuta huo mkataba.
Full stop.
 
La mkataba limeshakwisha. Mwishoni mwa mwezi Oktoba hao DP World wataanza kazi hapo bandarini wanakabidhiwa magati matatu ya kuendesha, atakuja mwekezaji mwingine atapewa magati matatu na serikali itabakia na magati matatu namba sifuri mpaka namba tatu.
 
Sasa haya ndio maneno ya kukaa meza moja ili kuleta maelewano
 
Tupige Kuta yamaoni, wananchi wengi wakikataa, watakao wajibika ni Samia na genge lake na uzao wao( wao binafsi) na si serikali yetu itakayokuwako.
 
Hakuna haja ya kuunda Kamati, Huu mkataba ni kuufutilia mbali tu ili kuweka Nchi sawa kusiwe na mgawanyiko. Full Stop. Tofauti na hapo machafuko hayakwepeki yasipotokea immediately, yatatokea 2024 uchaguzi Serikali za mtaa na 2025 uchaguzi Mkuu, wananchi wataelekeza hasira zao huko na ccm itataka kulazimisha ushindi Lakini wananchi watakataa ndio utakuwa mwanzo wa machafuko. Save hii comment.
 
Chadema na TEC watabisha
 
Bora kama dp hawajapewa yote lakini na maoni ya wananchi kwenye maneno yanayoleta ukakasi yarekebishe tofauti na hapo hili dubwasha wananchi hatulipendi tena tunaitaka lifutwe kabisa
 
Mkataba uliishapitia hatua zote stahili. Sasa hivi tunasubiri HGA tu, kazi ianze.
Hatua stahili kwa serikali iliyo madarakani kwa kupora chaguzi za nchi? Hizo hatua lazima huo mkataba wa wizi ungepita maana wote wako hapo kwenye nafasi hizo kwa udhaifu wa katiba hii, hivyo kwa vyovyote lazima wapitishe huo mkataba wa wizi.

Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya mifumo ya kiuadilifu.
 
Kwanini usiayaanzishe hayo machafuko? Au unasubiria hawara wa Mamaako au wa mkeo ndio ayaanzishe?
 
Kama Kuna rushwa ijulikane na waliopokea nao wajulikane maana siyo Kwa madudu Yale,wasomi wetu aibu tupu.
 
Possible
 
Mkataba ivunjwe watafutwe wawekezaji wengine watakaofata process yenye uwazi shida nyingine mchakato wa dpw umefanywa kihuni
Umefanyawa kihuni na kiongozi namba moja anayepaswa kuututetea lakini eti anaambiwa ni mzalendo
 
Suluhisho pekee ni kuachana kabisa na mkataba huo na mingine ya aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…