Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kuna mimi na wewe kutowataka DP na kuna serikali kujiridhisha kuwa tunawahitaji, hivyo ni vitu viwili tofauti.Bora kama dp hawajapewa yote lakini na maoni ya wananchi kwenye maneno yanayoleta ukakasi yarekebishe tofauti na hapo hili dubwasha wananchi hatulipendi tena tunaitaka lifutwe kabisa