Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Kwani kuna haraka gani kupanda cheo sasa hivi? Watu walikaa miaka 5 bila bila, wewe unazungumzia mwaka? [emoji16][emoji16]Kwa hiyo kesi ikichukua mwaka na jamaa asipande cheo kwa muda wote huo? Kumbuka mpaka sasa wapo kwenye kesi ndogo kesi ya msingi aijaanza kusikilizwa