Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Ndo ujue anahusika kumshikilia MboweMama sijui ana mataizo gani! Kulikua kuna ulazima gani wa kufanya uteuzi wakati mchakato wa kesi ukiendelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ujue anahusika kumshikilia MboweMama sijui ana mataizo gani! Kulikua kuna ulazima gani wa kufanya uteuzi wakati mchakato wa kesi ukiendelea?
Chadema hamna jema!
Mkuu hapa umenena. Uwezekano huo upo mkubwa. Maana ya rushes ni matumizi mabaya ya ofisi kwa maslahi binafsi. Hili nalliona kwa mbali.Lakini haiwezi ikatafsiriwa kuwa ni rushwa ili atende anayotaka mteuzi, endapo kama cheo chake hicho kipya kitamwonyesha kubadilika na alivyokuwa mwanzo?
Kwamba hakutakuwa kuteua kwakua kesi ya Mbowe haijaisha? Ni sheria gani inamzuia?Mama sijui ana mataizo gani! Kulikua kuna ulazima gani wa kufanya uteuzi wakati mchakato wa kesi ukiendelea?
Kubali tu huu uteuzi una kitu ndani yake. Na ndiyo maana tunaipigia kelele Katiba Mpya ili ipunguze sintofahamu kama hizi.Kwamba hakutakuwa kuteua kwakua kesi ya Mbowe haijaisha? Ni sheria gani inamzuia?
Mnapenda kuhubiri utawala wa sheria ila linapokuja swala linalowahusu nyinyi sheria huwa mnaisahau kabisa,mnaanza kufikiria kama kuku kishingo.
Uko sahihi kabisaHuwezi kuelewa alichoondika Yeriko maana inaonekana huna ufahamu wa logic, haki au wewe si mtu mwenye mapenzi mema.
Mbowe ni mtuhumiwa kama watuhumiwa wengine na kesi yake ni ya kawaida kabisa!Nawewe Ni laana ya Aina yake. Huoni tatizo katika uteuzi huu
Yerico ni nani hata asiwe challenged kuwa vitu anavyoandika? Ukiona hauwezi kum-challenge ujue amekuzidi ubongo (una ubongo wa kuku), lakini hiyo isiwe sababu ya wengine kukaa kimya kama wanaona anachoandika Yerrico ni pumba.Huwezi kuelewa alichoondika Yeriko maana inaonekana huna ufahamu wa logic, haki au wewe si mtu mwenye mapenzi mema.
KaChukua Hadi pesa za wale wapogoro...ndio kajenga Jenga hapa kijichiPole sana mzee zombe. Lakini madini si ulichukua?
Tatizo lenu CHADEMA tayari mnayo hukumu mliyokwishandaa kuhusu kesi ya Mbowe kutuhumiwa ugaidi. Tuwe watulivu tusubiri matokeo.Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.
1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe kupata ulaji wa ujiaji kiongozi... Hi ni dhana yangu tu tata.
(2) Ikiwa Jaji Kiongozi Siyani licha ya kuteuliwa kuwa Jaji Kiongozi ataendelea kusikiliza kesi ya Mh Mbowe, Upande wa Pili wa dhana yangu tata nikwamba, athari za Jaji Siyani anayesikiliza kesi hii ikiwa maamuzi yatakuwa kinyume na "UMMA", itatafsiriwa kwamba kapata asante kuwa jaji Kiongozi kabla hata kazi haramu ambayo mteuaji alishahukumu mbele ya dunia kupitia BBC Swahili hajaimaliza.
(3) Na kwa asilimia ndogo sana ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siani ataendelea kusikiliza kesi kama kawaida, inaweza kuwa sasa ni ahueni kwa "umma" kwakuwa Jaji kiongozi atakuwa huru zaidi kuamua kwa haki bila hofu ya kuingiliwa tofauti na awali alipokuwa jaji wa mahakama kuu tu.
Kwa mizani hii mitatu na kwa asili ya siasa za kiutawala za Dar es Salaam, tuendelee kupiga magoti kila mtu kwa imani yake haki itendeke na ionekane kutendeka.
Na Yericko Nyerere
View attachment 1968603
Nawe haufahamiki kamwe kundi lipi unalosimamia la popo au la ndege.Chadema hamna jema!
Asante mkuu kwa kuwaelewesha, Jaji Kiongozi haondolewi majukumu ya kusikiliza mashauri, japo atakuwa mtawala zaidi kuliko Jaji wa mahakamaniYericko Nadhani Jaji Kiongozi anaendelea na Majukumu yake yale hii ni title tu
Mama ni screen tu, waigizaji wengineMama sijui ana mataizo gani! Kulikua kuna ulazima gani wa kufanya uteuzi wakati mchakato wa kesi ukiendelea?
Anawakomesha mataga na sukuma gangMama sijui ana mataizo gani! Kulikua kuna ulazima gani wa kufanya uteuzi wakati mchakato wa kesi ukiendelea?
In your good opinion unadhani nani alitakiwa ateuliwe kuwa Jaji Kiongozi? Maana naona mmekaza misuli ya shingo kuhusu uteuzi wa Jaji Siyani kwa hoja ambazo hazielezeki iwe kisheria wala kwa misingi ya kanuni za natural justiceNawewe Ni laana ya Aina yake. Huoni tatizo katika uteuzi huu