Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Shetani hajawahi kumshinda MunguIli mambo yaende ndivyo sivyo, walijua jaji alokuwa akiiendesha wenda akatenda haki, sasa inabidi aondolewe ili mpya afanye kazi kwa kulipa fadhila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani hajawahi kumshinda MunguIli mambo yaende ndivyo sivyo, walijua jaji alokuwa akiiendesha wenda akatenda haki, sasa inabidi aondolewe ili mpya afanye kazi kwa kulipa fadhila
Ngoja tuendelee ujio wa visasi tunasubiri hukumu ndio watajua screen protector ni mende kama mende wa scania. Kila la kheri nyuki waingie kwenye mzinga wa baba/babuUteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.
1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe kupata ulaji wa ujiaji kiongozi... Hi ni dhana yangu tu tata.
(2) Ikiwa Jaji Kiongozi Siyani licha ya kuteuliwa kuwa Jaji Kiongozi ataendelea kusikiliza kesi ya Mh Mbowe, Upande wa Pili wa dhana yangu tata nikwamba, athari za Jaji Siyani anayesikiliza kesi hii ikiwa maamuzi yatakuwa kinyume na "UMMA", itatafsiriwa kwamba kapata asante kuwa jaji Kiongozi kabla hata kazi haramu ambayo mteuaji alishahukumu mbele ya dunia kupitia BBC Swahili hajaimaliza.
(3) Na kwa asilimia ndogo sana ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siani ataendelea kusikiliza kesi kama kawaida, inaweza kuwa sasa ni ahueni kwa "umma" kwakuwa Jaji kiongozi atakuwa huru zaidi kuamua kwa haki bila hofu ya kuingiliwa tofauti na awali alipokuwa jaji wa mahakama kuu tu.
Kwa mizani hii mitatu na kwa asili ya siasa za kiutawala za Dar es Salaam, tuendelee kupiga magoti kila mtu kwa imani yake haki itendeke na ionekane kutendeka.
Na Yericko Nyerere
View attachment 1968603
Wanaokukejeli wapuuze kuthubutu kuandika vitabu kiakili umetoboa, wivu ni ugonjwa pia waache wateseke.Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.
1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe kupata ulaji wa ujiaji kiongozi... Hi ni dhana yangu tu tata.
(2) Ikiwa Jaji Kiongozi Siyani licha ya kuteuliwa kuwa Jaji Kiongozi ataendelea kusikiliza kesi ya Mh Mbowe, Upande wa Pili wa dhana yangu tata nikwamba, athari za Jaji Siyani anayesikiliza kesi hii ikiwa maamuzi yatakuwa kinyume na "UMMA", itatafsiriwa kwamba kapata asante kuwa jaji Kiongozi kabla hata kazi haramu ambayo mteuaji alishahukumu mbele ya dunia kupitia BBC Swahili hajaimaliza.
(3) Na kwa asilimia ndogo sana ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siani ataendelea kusikiliza kesi kama kawaida, inaweza kuwa sasa ni ahueni kwa "umma" kwakuwa Jaji kiongozi atakuwa huru zaidi kuamua kwa haki bila hofu ya kuingiliwa tofauti na awali alipokuwa jaji wa mahakama kuu tu.
Kwa mizani hii mitatu na kwa asili ya siasa za kiutawala za Dar es Salaam, tuendelee kupiga magoti kila mtu kwa imani yake haki itendeke na ionekane kutendeka.
Na Yericko Nyerere
View attachment 1968603
Kwani jaji Siyani alishatoa hukumu yoyote kuhusu kesi hii? Anaonekanaje sasa kupendelea upende wa serikali wakati hajawahi kutoa hukumu yoyote. Chadema akili zenu mnazijua wenyewe. Hoja za kitoto kweli.Hii italeta tatizo la kimadili kwa jaji atakae endelea na kesi,maana atahisi mtangulizi wake amepandishwa cheo kwa kuipendelea jamhuri! hivyo hatakuwa huru kutumia weledi ktk kesi.
Hoja zako ni za kitoto sana. Kila siku unavyoendelea kuandika ndiyo tunazidi kuthibitisha ulivyo na uwezo mdogo wa kuchambua na kuelewa mambo. Kwa huu uzi umedharaulika sana.Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.
1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe kupata ulaji wa ujiaji kiongozi... Hi ni dhana yangu tu tata.
(2) Ikiwa Jaji Kiongozi Siyani licha ya kuteuliwa kuwa Jaji Kiongozi ataendelea kusikiliza kesi ya Mh Mbowe, Upande wa Pili wa dhana yangu tata nikwamba, athari za Jaji Siyani anayesikiliza kesi hii ikiwa maamuzi yatakuwa kinyume na "UMMA", itatafsiriwa kwamba kapata asante kuwa jaji Kiongozi kabla hata kazi haramu ambayo mteuaji alishahukumu mbele ya dunia kupitia BBC Swahili hajaimaliza.
(3) Na kwa asilimia ndogo sana ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siani ataendelea kusikiliza kesi kama kawaida, inaweza kuwa sasa ni ahueni kwa "umma" kwakuwa Jaji kiongozi atakuwa huru zaidi kuamua kwa haki bila hofu ya kuingiliwa tofauti na awali alipokuwa jaji wa mahakama kuu tu.
Kwa mizani hii mitatu na kwa asili ya siasa za kiutawala za Dar es Salaam, tuendelee kupiga magoti kila mtu kwa imani yake haki itendeke na ionekane kutendeka.
Na Yericko Nyerere
View attachment 1968603
Nimeona vitabu vyako wanapewa nyongeza ukinunua mihogo huko mbagala
USSR
Lakini haiwezi ikatafsiriwa kuwa ni rushwa ili atende anayotaka mteuzi, endapo kama cheo chake hicho kipya kitamwonyesha kubadilika na alivyokuwa mwanzo?
Matumaini yangu ni kwamba, huyu mtu ataendelea kufuata sheria, no matter what, na hiyo itamjengea heshima zaidi, kama alivyoanza kujipambanua wakati wa kesi ndogo.
Hata hivyo, lakini, kwa nini nia ya mteuzi iangaliwe katika upande mmoja tu wa kesi, kwamba uteuzi umepewa msukumo na kesi inayosikilizwa kwa upande wa mashtaka pekee?
Mteuzi anaweza kuwa kalenga upande wa utetezi.
Baada ya kuona kesi ilvyosimama, mteuzi naye anatafuta sehemu ya kudandia ili aonekane kuwa upande wa utenda HAKI!
Hapo atakuwa anajitafutia yeye na serikali yake sifa za kuonekana kuwa wanasimamia mabadiliko.
Uzuri wa demokrasia kika mtu ana haki ya kutoa naoni yakeUteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.
1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe kupata ulaji wa ujiaji kiongozi... Hi ni dhana yangu tu tata.
(2) Ikiwa Jaji Kiongozi Siyani licha ya kuteuliwa kuwa Jaji Kiongozi ataendelea kusikiliza kesi ya Mh Mbowe, Upande wa Pili wa dhana yangu tata nikwamba, athari za Jaji Siyani anayesikiliza kesi hii ikiwa maamuzi yatakuwa kinyume na "UMMA", itatafsiriwa kwamba kapata asante kuwa jaji Kiongozi kabla hata kazi haramu ambayo mteuaji alishahukumu mbele ya dunia kupitia BBC Swahili hajaimaliza.
(3) Na kwa asilimia ndogo sana ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siani ataendelea kusikiliza kesi kama kawaida, inaweza kuwa sasa ni ahueni kwa "umma" kwakuwa Jaji kiongozi atakuwa huru zaidi kuamua kwa haki bila hofu ya kuingiliwa tofauti na awali alipokuwa jaji wa mahakama kuu tu.
Kwa mizani hii mitatu na kwa asili ya siasa za kiutawala za Dar es Salaam, tuendelee kupiga magoti kila mtu kwa imani yake haki itendeke na ionekane kutendeka.
Na Yericko Nyerere
View attachment 1968603
Nawewe Ni laana ya Aina yake. Huoni tatizo katika uteuzi huuChadema hamna jema!
Acha kudhani, what is the legal positionYericko Nadhani Jaji Kiongozi anaendelea na Majukumu yake yale hii ni title tu
Mwehu tu ndie atanunua riwaya zako kwa mawazo mfu kama haya.Endelea kuona wakati wenzio wananunua na kusoma
UpinzaniChadema hamna jema!
Sasa watu wasioona umuhimu wa Katiba mpya, ambyo inatakiwa iyapembue vizuri mambo kama haya, hapo ndipo pa kuanzia kunyoosha uelewa wao juu ya katiba mpya.
Ni jambo muhimu sana huyu mtu anayeitwa rais, asiwe ndiye mtu wa kuamua kila kitu bila kuwa na mipaka. Bunge haliwezi kumhoji, wala halina nafasi au sauti yoyote juu ya kila jambo analofanya. Hii siyo sawa hata kidogo.
Pili, hukumu itakayotolewa na mahakama yoyote juu ya hii kesi ya Mbowe, kutokana na mambo mengi ambayo yamekwishafunuliwa hadi sasa; kuna mahakama nyingine ambayo itaona na kuhoji uamzi wa kesi hii kama utakuwa umefanywa kwa kupindisha sheria.
Hapa atakayekuwa anajiaibisha ni huyo mteuzi, kama amefanya uteuzi kutokana na dhana ya kuyumbisha kesi hiyo. Aibu yake haitaishia Tanzania, bali dunia nzima itakuwa imefahamu maksudi ya huyo mwenye nia mbaya.
Pole sana mzee zombe. Lakini madini si ulichukua?Kitabu usichokielewa hakikuandikwa kwa ajilli yako.
Waandishi wa mihemko ndio walioupotosha UMMA na kuwaaminisha watanzania kwamba Abdallah Zombe aliwapiga risasi wafanya biashara wa Madini.
Inatubidi tujifinze kuweka maneno ya akiba ndiyo busara.
Hatuna kiongozi overMama sijui ana mataizo gani! Kulikua kuna ulazima gani wa kufanya uteuzi wakati mchakato wa kesi ukiendelea?
Huwezi kuelewa alichoondika Yeriko maana inaonekana huna ufahamu wa logic, haki au wewe si mtu mwenye mapenzi mema.Kuna mambo kama huyajui bora kuuliza tu kwa wanaojua ndugu. Yaani hoja unazotaka kulazimisha hapa sioni jinsi zitakavyoathiri utendaji wa Jaji. Judges wote wanateuliwa na huyo huyo Rais, yaani hoja zako hapa zinaonekana kuwa ni kituko tu. Strangely kuna watu bado wataona umeandika vitu vya maana kumbe ni pumba tupu