Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Kwani kuna haraka gani kupanda cheo sasa hivi? Watu walikaa miaka 5 bila bila, wewe unazungumzia mwaka? [emoji16][emoji16]Kwa hiyo kesi ikichukua mwaka na jamaa asipande cheo kwa muda wote huo? Kumbuka mpaka sasa wapo kwenye kesi ndogo kesi ya msingi aijaanza kusikilizwa
Just because i'm not supporting your side ?Incredulously, at one time I considered you to be a reasonable and level headed contributor to these forums. What happened to you?
I mean, you have proved yourself to be not any different from the likes of Jingas, Magonjwas, Etweges, etc!
Kwani alikuwa na kesi ya Mbowe tu? Pumbavu!!!Mama sijui ana mataizo gani! Kulikua kuna ulazima gani wa kufanya uteuzi wakati mchakato wa kesi ukiendelea?
Mmh aiseee. Ila kuna muda ambao kesi inapaswa kuwa imeisha WANASHERIA watusaidie kuelewa.Athari kubwa zaidi ya Jaji kuteuliwa kuwa JK ni kwamba kesi hii itaenda taratibu sana.
Atakuwa na majukumu ya kiutawala ambayo ni mengi sana hivyo kesi haitasikilizwa mfululizo tena.
Hii kesi kama Jaji kiongozi ataendelea nayo itaisha 2023.
Kaka mkanganyiko upo hatukatai lakini katika macho ya sheria hawatoe hukumu bila kujiridhisha bila shaka.Yaan unamtetea zombe????ama kweli kila mmoja anatetea nafsi yako
Kaka mkanganyiko upo hatukatai lakini katika macho ya sheria hawatoe hukumu bila kujiridhisha bila shaka.
Yapo ya kisiasa hatukatai bali yapo ya kweli yanayofanywa na watu wenye majina ambayo huenda wanajifika kwenye kivuli hicho.
Swala la msingi ni kuiacha mahakama ifikie maamuzi
Not at all.Just because i'm not supporting your side ?
When will you guys learn to embrace opposing opinions ??
Pumbavu Babu yakoKwani alikuwa na kesi ya Mbowe tu? Pumbavu!!!