Mambo Unayotakiwa Kuyaepuka Ukiwa Desperate Sana Kupata Pesa

Mambo Unayotakiwa Kuyaepuka Ukiwa Desperate Sana Kupata Pesa

Unatushauri nini sisi ambao tulikua na viasi vingi vya pesa na hakuna tulicho fanya baada ya mzigo kukata sasa akili ndio zinarudi full majuto
 
Unatushauri nini sisi ambao tulikua na viasi vingi vya pesa na hakuna tulicho fanya baada ya mzigo kukata sasa akili ndio zinarudi full majuto
Upo uzi mkubwa kwa waliowahi kua na pesa nzuri tu na kisha kufirisika.

Nakushauri kuupitia
 
Thread imejitosheleza as long as umejielezea your situation.
Kuhusu pombe ukibet huyowaza pombe wala mbususu.
 
Unatushauri nini sisi ambao tulikua na viasi vingi vya pesa na hakuna tulicho fanya baada ya mzigo kukata sasa akili ndio zinarudi full majuto
 
Hujakamatika vzuri ndo mana unazungumzia mambo ya utu. Nishawahi kukabwa na maisha ikabidi niwe nabeba taka kwny mgahawa fulan hv na kwenda kuztupa kwny dampo la manispaa!!

Shda ikikukaba vzuri utu utauweka pembeni!!
Hio mbna fresh tu, Hapo utu wako umedhalilishwaje ndugu?
 
Dah nilipitia situationa kama hiyo since two years ago.asee jamaa wa kuuza odds wamekula hela zangu sana,bado mikeka niliyokuwa nasuka mwenyewe pia ilinipiga hela sana,nilikuwa nastake hadi 50k.Ajabu baada ya kuacha kubet ndio naanza kuona mwanga kidogo.
 
Punguza na bana matumizi kwenye vitu visivyovya msingi example mitandao ya kijamii hasa TikTok na Instagram vinakula sana bando unajiunga bando la week Kila siku kama unachombo Cha moto punguza misele isiyo ya lazima some time tembea tu Kwa miguu mafuta ni 3500
 
Back
Top Bottom