Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Vilevile sehemu alipo ngamia lazima majini mengi yamzunguke , majini yanapenda ngamia
 
Kwanini unatupa kazi ya hesabu kubadilisha pound kwenda kilogram ungefanya tu ww uandike kwa kilo
 
Lakini Kiasili Ngamia siyo wanyama wa Jangwani. Imetokea tu kwamba wame evolve na kuweza kuyamudu maisha ya Jangwani. Asili ya Ngamia ni North America, na baadaye Asias kabla ya kuingia north Afrika na baadaye arabian penisular.
Sio kweli toka enzi za ibrahim nabii ngamia alikwepo jagwani
 
Usilolijua kuhusu jicho la binaadamu, jicho lina kinga mbili, mboni na kope.
1. Mboni huzuia jicho lisiumizwe na vitu na wadudu.
2. Kope(nywele za kwenye na juu ya jicho) hurekebisha kiwango cha mwanga unaolifikia jicho.
Jicho la ngamia na la mamba lina mboni mbili, laini kama sandarusi kuzuia mchanga na upepo kwa ngamia na maji kwa mamba.
 
Tuendelee
Aina za Ngamia
Kuna aina mbili za ngamia, ngamia wa Arabia, ngamia Dromedary, na Ngamia wa Bactrian.

Ngamia wa Arabia wanafugwa, ambapo ngamia wa Bactrian wapo porini au wanaweza kufugwa. Ngamia wa Bactrian wana nundu mbili mgongoni mwao, ambapo ngamia wa Dromedary wana nundu moja.

Ngamia wa Bactrian wana asili ya Jangwa la Gobi nchini Uchina na nyika za Bactrian za Mongolia. Ngamia wa kufugwa wanapatikana katika jangwa la Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati.
 
Ngamia huzoeaje hali ya jangwa?

Ngamia huhifadhi mafuta yao mengi kwenye nundu. Wakati kuna uhaba wa chakula na maji, ngamia hubadilisha mafuta yaliyohifadhiwa kwenye nundu kuwa nishati. Marekebisho haya husaidia ngamia kuishi hadi miezi sita bila mlo.

Kadiri ngamia anavyotumia mafuta yaliyohifadhiwa kwenye nundu, nundu hupungua ukubwa. Nundu hukua tena ngamia anapoanza kula na kuhifadhi mafuta tena kwenye nundu.

Ngamia wana kope tatu, kope za juu na chini, na mfuniko wa tatu wa ndani, utando mwembamba wenye uwazi ambao ngamia wanaweza kuuona. Utando huu unaitwa .. Utando huu wa ndani hulinda chembe za mchanga na vumbi zisiingie kwenye macho ya ngamia. Isitoshe, macho ya ngamia yana vizuizi virefu na vinene vinavyozuia mchanga usiingie machoni.

Ngamia pia wanaweza kufunga pua zao ili kuzuia mchanga usiingie kwenye njia za hewa.
 
Vipi kuhusu mbususu zao? Wanagegedeka?
Na nayama yao inalika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…