Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Umesahau fat storage , though kuna baadhi ya wanyama huifanya ila yeye anahifafhi kwa muda mredu kama source ya kuzalisha nguvu na maji kwa muda wote atakaokuwa jangwani.

Pia miguu yake imeumbika kuweza kupita kwenye mchanga bila ya tabu yoyote .
 
Lakini Kiasili Ngamia siyo wanyama wa Jangwani. Imetokea tu kwamba wame evolve na kuweza kuyamudu maisha ya Jangwani. Asili ya Ngamia ni North America, na baadaye Asias kabla ya kuingia north Afrika na baadaye arabian penisular.
Doesn't make any sense , according to evolution kila mnyama ana evolve kuweza kuyamudu mazingira ambayo anayaishi .

Kwa mamalia ku evolve inaweza chukua millions of years ili kuweza kupata features ambazo zitamsaidia kwa mazingira husika take human according to evolution it took us six million years to reach at this point.

Arabian desertification accoding to scientific researches imeanza kutokea 5000 years ago kwa watu wa imani za abrahmaic ni roughly kipindi cha nabii ibrahim (alaih salaam) .

Evolutionary ni ngumu kwa ngamia ku evolve kwa kipindi hicho kifupi cha miaka 5000 while it took a human million of years kufikia hapa .

Maybe u clarify a bit
 
sijui unaongelea ku evolve kwa kitu gani mkuu? Maana nijuavyo siyo kila Evolution inayohitaji miaka yote hiyo.
Mfano mdogo tu, muangalie mbwa alivyoanza ku evolve kutoka kuwa just mlinzi wa binaadam na kuwa sehemu ya family members, kuwa sehemu 'watoto/mtoto' ndani ya familia huko Ulaya.
Kuna nchi haki za mbwa hazitaji pamoja na haki za wanyama, wanyama wana haki zao, mbwa pia ana haki zake za tofauti.
Kuhusu Ngamia maandiko yamo mitandaoni.
 

ku domesticate mnyama haihusiani na evolution kuna kitu kinaitwa symbiotic relationship hii ipo kwa viumbe wote na huwa si part ya evolution meaning ni pale kiumbe anapogundua umuhimu wa kiumbe mwengine katika maisha yake ya kila siku na hivyo huondoa chuki zao ili wote wafaidike .

Piga mfano samaki aina ya "cleaner fish" ambaye huwa anatumia njia mbadala kujipatia chakula yaani huwa anakula ngozi zilizokufa , mabaki ya chakula pamoja na parasaiti wadogo wadogo waliojishikiza kwenye maeneo tofauti tofauti ya samaki hapo yeye hujipatia chakula na wakati huo huo anamsafisha samaki husika na licha ya kuingia hadi mdomoni mwa baadhi ya samaki mf papa hauwezi kuta hata siku moja wameliwa na hao samaki hii ni kutokana kwamba wote wanafaidika.

Kuhusu mbwa tuli wa tame kwanza kwa ajili ya shughuli za awali za uwindaji na kutokana na wao pia kujipatia chakula na malazi kwa urahisi ikawa rahisi kwao kuishi na binadamu kuna hadi wikd animals wengine wamekuwa tamed na watu wanaishi nao though wanashauriwa kuwa tahadhari nao maana hawatabiriki.

So domestication =/= evolution
 
Domestication ina fall under Evolution. So ni subset ya Evolution.
 
Domestication ina fall under Evolution. So ni subset ya Evolution.
True imenibidi ni review that part ina fall under evolution by artificial selection , but the thing is how did domestication of camels led to the changes in their bodily functionality mfano hizo alizotaja mshana hapo juu , hauwezi kuniambia walipata features zoote hizo kwa sababu tu walifugwa maeneo ya jangwani.

why mbuzi , kondoo na ng'ombe waliofugwa maeneo hayo hawajaonesha same features?
 
Ngamia huwezi kumfananisha na kinyonga unless hujui upekee wa uumbaji wa ngamia.
 
Huwa nasema watu wenye akili hawawezi kuongelea upuuzi kama evolution, hizo ni theories za watu wasio na maarifa ijapokuwa wanatajwa kwa heshima kama wameongea cha maana vile, eti hata twiga shingo zao zimerefuka kwasababu majani yaliisha chini ikabidi wayafuate juu, mxeww.
 
Hahaahhaha aisee nimecheka sana.
 
Umekurupuka mkuu, nukuu hii hapa, acha kula vitu najisi.

Mambo ya Walawi 11:4
'Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.'
Hata ingekuwa sahihi, wewe ni katika walawi? mambo ya walawi yanakuhusu nini? kwetu ngamia ni halali.
 
Qur an ni porojo kama porojo nyingine mkuu, qur an ndiyo inadai kuwa jua linazama kwenye matope. Ndiyo inadai peponi kuna wanawake wenye macho makubwa kama vikombe, ndiyo ilipelekea muhamnad kubaka (alimbaka binti Ausha)nk.
Ukiulizwa uhalisia wa hayo yote wala huelewi, si vyema kuongea uongo hata kama hukipendi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…