Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Hawa jamaa wanajifanya hawaamini katika miujiza ajabu kwa ngamia ipo,allah ana mipaka!
 
Unachobisha wewe ni nini!?
Mchukue nyati mfunge miguu mchoshe kama unavyodai huyu ngamia anachoshwa halafu sogelea umchinje uone pembe utakazokula.
Huyu akilala hapo unamuweka kisu shingoni hatikisiki hata kidogo.
Ujinga mzigo
 
Mnyama mzuri, mpole asiye na shida na kiumbe chochote

Najiuliza sana watu wanapata wapi ujasiri wa kumchinja

Yaani Mtu anayechinja Ngamia au Punda ana roho ngumu sana
Hata samaki hanaga shida na mtu ila unamla hadi macho yake? Mna roho ya kikatili mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…