Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Mambo usiyoyafahamu kuhusu Ngamia

Achaneni na kubebwa-bebwa kama viroba kwa story zisizo na ukweli.
Watu wanasoma dua huku wamemfunga miguu ngamia na kumuelekezea Kibra halafu zinatengenezwa story kuwa kabla ya kumchinja inasomwa dua halafu mwenyewe anakubali na kugeukia kibra. Nanyi bila hata
ya kufikiri mnameza tu, hata mkiona mnakuwa kama mnachezeshewa ka mchezo ka kekundu keusi.

Huyu kafungwa miguu yote, anabaki anagalagala hadi amechoka ndiyo ninyi mnanasema amekubali kuchinjwa.
View attachment 3167875
Hawa jamaa wanajifanya hawaamini katika miujiza ajabu kwa ngamia ipo,allah ana mipaka!
 
Unachobisha wewe ni nini!?
Mchukue nyati mfunge miguu mchoshe kama unavyodai huyu ngamia anachoshwa halafu sogelea umchinje uone pembe utakazokula.
Huyu akilala hapo unamuweka kisu shingoni hatikisiki hata kidogo.
Ujinga mzigo
 
Mnyama mzuri, mpole asiye na shida na kiumbe chochote

Najiuliza sana watu wanapata wapi ujasiri wa kumchinja

Yaani Mtu anayechinja Ngamia au Punda ana roho ngumu sana
Hata samaki hanaga shida na mtu ila unamla hadi macho yake? Mna roho ya kikatili mno.
images - 2024-12-04T224253.074.jpeg
 
Back
Top Bottom