Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Umeona...wanataka kuwabambikia magay kesi tuu lakini ukweli wa wao kutoolewa upo kwao wenyewe na wanavyoendesha maisha yao

Wanatamaa sana hawa yaani mtu unaweza ukachikia mapenzi kwa sababu yao ila wakiumizwa wao utasikia kelele nying
 
Unaweza kushare pia kwa ufupi watu wajifunze, yote nilioelezea zaidi yanahusu ny personal experience pamoja na huyo friend ambae ni gay pia, kama kuna kitu kingine zaidi please share.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] za kuambiwa changanya na zako, mwishoe uanze kusumbua watu FB wakukaze we kurupuka tyuuh.
 
Kijana wangu!
Kama unadinda unakwama wapi?

Maisha ndio haya haya,fanya unaloona ni sahihi kwako ili mradi hakuna unayemkera.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] za kuambiwa changanya na zako, mwishoe uanze kusumbua watu FB wakukaze we kurupuka tyuuh.

Ww nawe unanichekesha sasa dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
unaatype kutumia nini mzee?

duh aisee[emoji23][emoji23]
 
You're brilliant😁😊🤩. Nimeelewa sana. Thank you. Io bisexual ndo tunaita "PLAYING BOTH TEAM!" Good thing im male and i like only them girls
 
Mtu yeyeto anaezaa hawezi mcheka shoga,kibaka,teja,changu.
Inaumiza sana. Nilimpeleka mother hosp moja hivi karibuni. Bahati mbaya mother akalazwa hapo hosp. Kwa hiyo muda mwingi nilikuwa nashinda maeneo hayo ya hosp. Ile nipo nipo pale nikamuona kijana wa kiume karibia miaka16,17 hivi. Hapo nilipomuona ilikuwa kwa mbali kidogo.

Baadae kidogo nikakaribia yale maeneo walipokuwa. Nikamuona yule kijana kanyanyua ndoo akaenda kuchota maji bomba la mbali kidogo wakati lilikuwepo lingine lilikuwa karibu. Yaani ile jitwisha yake maji kichwani ilinishangaza,kama mwanamke kabisa. Nikaendelea kumuangalia tembea yake kabisa anabetua na mikono. Ikabidi nimsogelee nimsikie. Nikamuuliza kwa nini umeenda kuchota mbali ili-hali maji yapo karibu. Ile ongea yake kama mwanamke kabisa,sauti nyororo mno. Nikamuangalia usoni ni soft kabisa ile kikike kabisa. Ikabidi niwauluze walikuwa jirani nae wakaniambia amezaliwa hivyo ni wa kiume ila ana mambo yote ya kike. Wakaniambia hata shule aliachishwa ksbb hiyo.

Siku hiyo nilishinda vibaya sana. Nilijisikia vibaya mno. Roho iliniuma mno. Nilimuonea huruma sana yule kijana
 
Jaribu embu uone nn kitatokea ukifanya hvyo nataka uone nni hao wanfikiria kuhusu hyo Hali Kam ya kwako huenda ikawa mwisho na wee unampenda sna
Siezi na hawezi kubali, yeye sio verse, ni kama demu wako atake akugonge hata na dildo, si utashtuka na hata kukasirika, pia ni hivyo.
 
Ww nawe unanichekesha sasa dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] namuambia ukweli, maana km namuona anataka akajaribu kukunjwa 7, afu a prove km atawashwa au laah,
 
Kwa jinsi ulivyojieleza, itakuwa wewe ndiye ulianza. Rafiki yako ameendeleaje. Naye ni gay ukubwani?
Hapana sio gay,.ni straight, wala sikuanza , ni vile nisingependa kuongelea hili hapa sababu hakifundishi chochote kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…