Majibu ya maswali yako nliwahi kuleta uzi ulisheheni kila kitu, ila ulifutwa, na niliambiwq kuwa nikiendelea kuandika mada za hivi ntapigwa ban ya maisha.Tupambanaje na ushoga?
Je kupambana na mashoga kunasaidia mapambano dhidi ya ushoga?
Mi nauliza maswali ya msingi wewe unachukulia mizaha.
Usiwe unajibu maswali usiyokuwa na majibu yake.
Shoga mwanamme anayefanywa nyuma anafikaje kileleni ?
Wacha Mashoga wajibu wewe kaa pembeni kama sio Shoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] boraa umuambie.Unavyofika kilelenu wewe na wao wanafika hivyo hivyo
Ni hivi kuna kitu kinaitwa sexual dimorphismHebu dadavua hapa kwani, watu wapate kuelewa.
Kabla ya tv kulikuwa hakuna ushoga?Nilikuwa namshangaa mdau anayesema misikitini na makanisani ndiko kunaharibu watoto.
Watoto wanaharibikia nyumbani kwenye TV. Yani wanajua kubadilisha channels kuliko wazazi. TV channels ndio mchawi wa kuhatibu watoto.
HahahaaAwe msiri zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi andika in a summary hata kwa kugusia kwa mbali tu.Majibu ya maswali yako nliwahi kuleta uzi ulisheheni kila kitu, ila ulifutwa, na niliambiwq kuwa nikiendelea kuandika mada za hivi ntapigwa ban ya maisha.
Siku nikiamua ntakuja na uzi wangu pia mie.
Kabla ya tv kulikuwa hakuna ushoga?Wengi wanalipia mafunzo ya ushoga kila mwezi kwa watoto wao na wanalipia kwa furaha. Inaitwa Television...!
Siwezi kuwasemea Waislam watasema wenyewe, ila kanisani kwetu hakuna hiyo kitu. Watoto wanafundishwa kumpenda Mungu na kuna waalimu kadhaa. Ni sehemu salama kwa watoto!
pia wewe hutaki mwenzio abadilike atoke kwenye chama chenu unaona kama anakimbia usajili wenu...
wewe tunakujua ni shoga wa humu hilo halina mashaka kwanini hutaki aende kwa wachungaji kama kina Mwakasege akaombewe?!!
Ngoja nisome mdogo wanguSaint Anne dada hebu njoo hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Umeelewa ulichokinukuu lakini?Kabla ya tv kulikuwa hakuna ushoga?
Umeongea vizuri na nilijua utasema hivi pia, hii nitakuja kudadavua siku yake. Japo sio kweli kihivyoooo.Ni hivi kuna kitu kinaitwa sexual dimorphism
Defn: Sexual dimorphism is the systematic difference in form between individuals of different sex in the same species. For example, in some species, including many mammals, the male is larger than the female. In others, such as some spiders, the female is larger than the male.
Mfano:
Kwenye species yetu ya humans...kuna tofauti nyingi kati ya male na female.
Nyingi ni za nje zinaonekana kama maumbo, mwonekano, viungo etc. Lakini vingine vya ndani ikiwemo mifumo ya uzazi, Hormones, hata mpangilio wa ubongo..
Hasa hapo Kwenye mpangilio wa ubongo unaathiri vitu kama tabia, mawazo hata hisia...ndiyo maana wanaume wote duniani (kabila zote, dini zote, rangi zote) wana tabia fulani za 'kiume' ambazo zinatofautiana na wanawake and vice versa
Hii definition ya sexual dimorphism ni ya zamani kwasababu recently research zinaonesha kuwa gender sio black and white rather gender ni kama spectrum...
Na hii inaweza kuthibitishwa kwa mfano kwenye chromosomes zinazoidentify gender (Hizi chromosome sio tu X na Y (Male & female) kama tulivyosoma, lakini pia zipo nyingi mpaka Z chromosomes)kwahiyo kuna gender zaidi ya mbili in humans.
Mfano mwingine:
Wanasayansi wa ubongo hivi karibuni wamegundua pia kuna tofauti (Dimorphism) nyingi kati ya ubongo wa gay na wa straight.
Yani Mfumo/mpangilio wa ubongo wa gay unafanana zaidi na wa mwanamke kuliko wa mwanaume mwenzake.
Hiyo nimesema kama general statement in a short summary/nutshell...akitokea mtu mwenye uelewa na neuroscience/genetics tunaweza kudiscuss ni sehemu gani kwenye ubongo ambazo ni dimorphic kati ya gay na straight,,, na je zinaathiri vipi tabia,hisia na hata fikraya hawa watu wawili.
Au tunaweza kuongelea concept ya sex kama spectrum kwa kuangalia hizi chromosomes zinazocode sex ya mtu.
Duh sijuagi na haiingii akilini yaani mwanaume unaingiliwa nyume tuone Jambo la kawaida hebu tuzidi kumuomba mungu atunusuru na janga hilikasema alizaliwa tayari shoga ila aliingia ushogani rasmi akiwa na 14 yrs. sasa cjui huyo aliye fumua hzo rinda alikua na miaka mingapi.
Umeongea vizuri na nilijua utasema hivi pia, hii nitakuja kudadavua siku yake. Japo sio kweli kihivyoooo.
Huoni siku zinavyoenda kuna umri utakuwa kituko kuishi pekee yako na Siri yako kuwa aibu ya mileleThanks mkuu, kiukweli sijawahi kupenda hii hali, na ningekua na uwezo ningejibadilisha niwe kamili , ila sijaweza, nimeamua kuishi kwa kupretend angalau nisiwe aibu kwa familia na jamaq na marafiki, naogopa siku wakujua nitapoteza wengi sana.
Nilikuwa na rafiki yangu alikuwa na tabia kama zako, yeye alishindwa kuniambia kuwa ana tabia hizo, ila kuna siku tulikuwa tumelala wote, nikashituka kutoka usingizini nikakukuta ananishikashika kwa Babu, kwa kuwa nilikuwa sijui chochote nilishituka sana nikalalia tumbo ili kumzuia, nikawa najiuliza maswali mengi sana kuhusu hilo bila kupata majibu na wala sikumuuliza chochote.sijahatibikiwa nikiwa 14 yrs, ila nilipofikisha 14 yrs ndio nilifanya physical sex kwa mala ya kwanza,
Hapa naomba nishauri wazazi, tafadhari sana , watoto wakifika umli wa kubarehe muwe makini sana , usipochukua tahadhari basi unaweza kuta watoto wamefanya mwmbo ya ajabu ambayo yatawa affect kiasi, sababu hapa mtoto anakua anaendeshwa na balehe zaidi kuliko uhalisia. Mala ya kwanza kusex ni sababu nililala room moja na rafiki angu wa utotoni, sijui ilikuaje ila tukajikuta tu imetokea, nakumbuka ilikua ndio mala yetu ya kwanza kupata mshindo (kama sio sahihi kiswahili jirekebishe)