Ni hivi kuna kitu kinaitwa sexual dimorphism
Defn: Sexual dimorphism is the systematic difference in form between individuals of different sex in the same species. For example, in some species, including many mammals, the male is larger than the female. In others, such as some spiders, the female is larger than the male.
Mfano:
Kwenye species yetu ya humans...kuna tofauti nyingi kati ya male na female.
Nyingi ni za nje zinaonekana kama maumbo, mwonekano, viungo etc. Lakini vingine vya ndani ikiwemo mifumo ya uzazi, Hormones, hata mpangilio wa ubongo..
Hasa hapo Kwenye mpangilio wa ubongo unaathiri vitu kama tabia, mawazo hata hisia...ndiyo maana wanaume wote duniani (kabila zote, dini zote, rangi zote) wana tabia fulani za 'kiume' ambazo zinatofautiana na wanawake and vice versa
Hii definition ya sexual dimorphism ni ya zamani kwasababu recently research zinaonesha kuwa gender sio black and white rather gender ni kama spectrum...
Na hii inaweza kuthibitishwa kwa mfano kwenye chromosomes zinazoidentify gender (Hizi chromosome sio tu X na Y (Male & female) kama tulivyosoma, lakini pia zipo nyingi mpaka Z chromosomes)kwahiyo kuna gender zaidi ya mbili in humans.
Mfano mwingine:
Wanasayansi wa ubongo hivi karibuni wamegundua pia kuna tofauti (Dimorphism) nyingi kati ya ubongo wa gay na wa straight.
Yani Mfumo/mpangilio wa ubongo wa gay unafanana zaidi na wa mwanamke kuliko wa mwanaume mwenzake.
Hiyo nimesema kama general statement in a short summary/nutshell...akitokea mtu mwenye uelewa na neuroscience/genetics tunaweza kudiscuss ni sehemu gani kwenye ubongo ambazo ni dimorphic kati ya gay na straight,,, na je zinaathiri vipi tabia,hisia na hata fikraya hawa watu wawili.
Au tunaweza kuongelea concept ya sex kama spectrum kwa kuangalia hizi chromosomes zinazocode sex ya mtu.