Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mi nauliza maswali ya msingi wewe unachukulia mizaha.
Usiwe unajibu maswali usiyokuwa na majibu yake.

Shoga mwanamme anayefanywa nyuma anafikaje kileleni ?

Wacha Mashoga wajibu wewe kaa pembeni kama sio Shoga.

Unavyofika kilelenu wewe na wao wanafika hivyo hivyo
 
Hebu dadavua hapa kwani, watu wapate kuelewa.
Ni hivi kuna kitu kinaitwa sexual dimorphism
Defn: Sexual dimorphism is the systematic difference in form between individuals of different sex in the same species. For example, in some species, including many mammals, the male is larger than the female. In others, such as some spiders, the female is larger than the male.

Mfano:
Kwenye species yetu ya humans...kuna tofauti nyingi kati ya male na female.
Nyingi ni za nje zinaonekana kama maumbo, mwonekano, viungo etc. Lakini vingine vya ndani ikiwemo mifumo ya uzazi, Hormones, hata mpangilio wa ubongo..
Hasa hapo Kwenye mpangilio wa ubongo unaathiri vitu kama tabia, mawazo hata hisia...ndiyo maana wanaume wote duniani (kabila zote, dini zote, rangi zote) wana tabia fulani za 'kiume' ambazo zinatofautiana na wanawake and vice versa

Hii definition ya sexual dimorphism ni ya zamani kwasababu recently research zinaonesha kuwa gender sio black and white rather gender ni kama spectrum...
Na hii inaweza kuthibitishwa kwa mfano kwenye chromosomes zinazoidentify gender (Hizi chromosome sio tu X na Y (Male & female) kama tulivyosoma, lakini pia zipo nyingi mpaka Z chromosomes)kwahiyo kuna gender zaidi ya mbili in humans.

Mfano mwingine:
Wanasayansi wa ubongo hivi karibuni wamegundua pia kuna tofauti (Dimorphism) nyingi kati ya ubongo wa gay na wa straight.
Yani Mfumo/mpangilio wa ubongo wa gay unafanana zaidi na wa mwanamke kuliko wa mwanaume mwenzake.

Hiyo nimesema kama general statement in a short summary/nutshell...akitokea mtu mwenye uelewa na neuroscience/genetics tunaweza kudiscuss ni sehemu gani kwenye ubongo ambazo ni dimorphic kati ya gay na straight,,, na je zinaathiri vipi tabia,hisia na hata fikraya hawa watu wawili.
Au tunaweza kuongelea concept ya sex kama spectrum kwa kuangalia hizi chromosomes zinazocode sex ya mtu.
 
Majibu ya maswali yako nliwahi kuleta uzi ulisheheni kila kitu, ila ulifutwa, na niliambiwq kuwa nikiendelea kuandika mada za hivi ntapigwa ban ya maisha.

Siku nikiamua ntakuja na uzi wangu pia mie.
Basi andika in a summary hata kwa kugusia kwa mbali tu.
''where we dare speak freely''
 
Wengi wanalipia mafunzo ya ushoga kila mwezi kwa watoto wao na wanalipia kwa furaha. Inaitwa Television...!

Siwezi kuwasemea Waislam watasema wenyewe, ila kanisani kwetu hakuna hiyo kitu. Watoto wanafundishwa kumpenda Mungu na kuna waalimu kadhaa. Ni sehemu salama kwa watoto!
Kabla ya tv kulikuwa hakuna ushoga?
 
pia wewe hutaki mwenzio abadilike atoke kwenye chama chenu unaona kama anakimbia usajili wenu...

wewe tunakujua ni shoga wa humu hilo halina mashaka kwanini hutaki aende kwa wachungaji kama kina Mwakasege akaombewe?!!

Hao kina mwakasege wamtanganze kwenye vipindu vya kutoa ushuhuda
 
Duh!!!, Inasikitisha sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],lkn Mimi nimekuelewa, nikupe tu pole, kutokana na maelezo yako sasa naelewa Kwanini Papa Francis alisema jamii isiwatenge wala kuwanyanyapaa mashoga.Kumbe mtu anakuwa hivyo automatically bila yeye kutaka.Aisee tusihukumu tumwachie MUNGU mwenyewe mwenye haki mjuzi wa mambo yote kuhukumu.Asante pia kwa Elimu nzuri na ushauri uliotupatia.

Ushauri.
Jiweke Karibu na MUNGU,omba sana MUNGU akusaidie hakuna linaloshindikana kwake.
 
Ni hivi kuna kitu kinaitwa sexual dimorphism
Defn: Sexual dimorphism is the systematic difference in form between individuals of different sex in the same species. For example, in some species, including many mammals, the male is larger than the female. In others, such as some spiders, the female is larger than the male.

Mfano:
Kwenye species yetu ya humans...kuna tofauti nyingi kati ya male na female.
Nyingi ni za nje zinaonekana kama maumbo, mwonekano, viungo etc. Lakini vingine vya ndani ikiwemo mifumo ya uzazi, Hormones, hata mpangilio wa ubongo..
Hasa hapo Kwenye mpangilio wa ubongo unaathiri vitu kama tabia, mawazo hata hisia...ndiyo maana wanaume wote duniani (kabila zote, dini zote, rangi zote) wana tabia fulani za 'kiume' ambazo zinatofautiana na wanawake and vice versa

Hii definition ya sexual dimorphism ni ya zamani kwasababu recently research zinaonesha kuwa gender sio black and white rather gender ni kama spectrum...
Na hii inaweza kuthibitishwa kwa mfano kwenye chromosomes zinazoidentify gender (Hizi chromosome sio tu X na Y (Male & female) kama tulivyosoma, lakini pia zipo nyingi mpaka Z chromosomes)kwahiyo kuna gender zaidi ya mbili in humans.

Mfano mwingine:
Wanasayansi wa ubongo hivi karibuni wamegundua pia kuna tofauti (Dimorphism) nyingi kati ya ubongo wa gay na wa straight.
Yani Mfumo/mpangilio wa ubongo wa gay unafanana zaidi na wa mwanamke kuliko wa mwanaume mwenzake.

Hiyo nimesema kama general statement in a short summary/nutshell...akitokea mtu mwenye uelewa na neuroscience/genetics tunaweza kudiscuss ni sehemu gani kwenye ubongo ambazo ni dimorphic kati ya gay na straight,,, na je zinaathiri vipi tabia,hisia na hata fikraya hawa watu wawili.
Au tunaweza kuongelea concept ya sex kama spectrum kwa kuangalia hizi chromosomes zinazocode sex ya mtu.
Umeongea vizuri na nilijua utasema hivi pia, hii nitakuja kudadavua siku yake. Japo sio kweli kihivyoooo.
 
Thanks mkuu, kiukweli sijawahi kupenda hii hali, na ningekua na uwezo ningejibadilisha niwe kamili , ila sijaweza, nimeamua kuishi kwa kupretend angalau nisiwe aibu kwa familia na jamaq na marafiki, naogopa siku wakujua nitapoteza wengi sana.
Huoni siku zinavyoenda kuna umri utakuwa kituko kuishi pekee yako na Siri yako kuwa aibu ya milele
 
sijahatibikiwa nikiwa 14 yrs, ila nilipofikisha 14 yrs ndio nilifanya physical sex kwa mala ya kwanza,

Hapa naomba nishauri wazazi, tafadhari sana , watoto wakifika umli wa kubarehe muwe makini sana , usipochukua tahadhari basi unaweza kuta watoto wamefanya mwmbo ya ajabu ambayo yatawa affect kiasi, sababu hapa mtoto anakua anaendeshwa na balehe zaidi kuliko uhalisia. Mala ya kwanza kusex ni sababu nililala room moja na rafiki angu wa utotoni, sijui ilikuaje ila tukajikuta tu imetokea, nakumbuka ilikua ndio mala yetu ya kwanza kupata mshindo (kama sio sahihi kiswahili jirekebishe)
Nilikuwa na rafiki yangu alikuwa na tabia kama zako, yeye alishindwa kuniambia kuwa ana tabia hizo, ila kuna siku tulikuwa tumelala wote, nikashituka kutoka usingizini nikakukuta ananishikashika kwa Babu, kwa kuwa nilikuwa sijui chochote nilishituka sana nikalalia tumbo ili kumzuia, nikawa najiuliza maswali mengi sana kuhusu hilo bila kupata majibu na wala sikumuuliza chochote.

Ikatokea siku nyingine tena tukiwa tumelala akaanza tena kunishikashika, siku hiyo nikaamua nimuache ili nione nini dhamira yake, baada ya Babu kusimamia nikaona ananipaka kirainishi na kujichomeka, nilishikwa na butwaa sana, lakini kutokana na matamanio niliyopata nikampa ushirikiano.

Kwa uzoefu mdogo nilioupata si vizuri kumgeuza mwanaume kama mke, kuna hatari mtu mwenye tabia hii na yeye kuwa shoga kutokana na hisia anazoonesha mtu shoga katika tendo hilo, Mimi nimenisurika kwa bahati tu, yaani kuna wakati nilikuwa natamani kujaribu nione wanavyofeel, ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom