Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Hili ni tangazo la biashara bila shaka, bei zikoje kwa sasa?
 
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Inakha tyuuh automatically, sometimes bhana au bas tyuuuj
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amna ulichokiandika na kikaeleweka.
Mleta uzi ndo anaeleweka zaidi kuliko hata wewe unaesema una uelewa mpana wa hayo makitu.

Huyo mwamba ni shoga.

Kuna wasagaji na mashoga.

Msagaji ni yule mwanamke mwenye hisia na mwanamke mwenzie na shoga ni mwanaume mwenye hisia na mwanaume mwenzie.

Umekalilishwa na hizo NG'os zenu ili mjitetee kua kuna utofauti wa mashoga.
Ukila ama kuliwa wewe ni shoga.
Bongo hatuna hizo categories ndgu usiige na kukalili.
Mwingine huyu hapa[emoji28]
 
Pole mkuu,naelewa situation uliyonayo! Hatuwezi kukataa ukweli kwamba dunia imebadilika na lazima tukubali kwamba nyie "machoko" mpo..si umesikia kule kilimanjaro yule meya aliyetimuliwa kisa kahudhuria party ya gays..who knowa may be na yeye ni mwanachama?
Tatizo sisi tumelikuza hili tatizo kwa kutokukubaliana na ukweli.
Ufike wakati tuukubali ukweli kuwa wapo wanamegwa ili kama tunaweza tunusuru kizazi kijacho.
 
Hebu huko na weweeee,
Kwa msimamo gani ulonao upewe ofa ya kwenda Dubai ukatae, [emoji57]

Sema unatamani atokee wa hivyo ila wanaokufata ndio hao vichenchede wakina James Utamu,

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah wanawake kwa tamaa zenu ndio maana hata mkifukuliwa mitaro mnaona kawaida tuu , aisee kwa tamaa hizi kuchomolewa mafigo ni kazi nyepesi Sana
 
Ololoo yayee sijawahi ona Masai shoga Bado nitaendelea kuamini nyie mnao Iga maisha ya kizungu ndiyo mnakua mashoga nimekaa sana na jamii ya wamasai nikati ya jamii ambazo Mila na tamaduni zao zime enziwa vizuri
Nenda zenji utawakuta
 
Daah wanawake kwa tamaa zenu ndio maana hata mkifukuliwa mitaro mnaona kawaida tuu , aisee kwa tamaa hizi kuchomolewa mafigo ni kazi nyepesi Sana
Hatari sana...msimamo zero
 
Mimi nimekemea huyu mtoa mada kwasababu anasisitiza kwamba mashoga wanazaliwa hivyo na hata akiambiwa vipi tangu utotoni bado atakuja kuwa shoga kwasababu anavutiwa na wanaume.

Hapa ndio tatizo la huyu mtoa mada lilipo. Kwamba mwanaume amuone mwanaume mwingine halafu amtamani kisha hiyo tamaa ipate satisfaction kwa kuingiliwa nyuma. Huu ni uovu na upumbavu wa hali ya juu sana.

Akiwepo yoyote ambaye anahitaji msaada genuinely then ataupata kwa hakika. Kitu chochote ukikichukia kwa kumaanisha lazima utapata nguvu ya kushinda. Hapa aende kwa wanasaikolojia pamoja na kupata msaada wa kiroho.

Sala yangu naimaanisha kabisa mkuu.
All in all Roho wa Mungu atuongeze kwenye familia zetu
 
Back
Top Bottom