Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Hili ni tangazo la biashara bila shaka, bei zikoje kwa sasa?
 
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Inakha tyuuh automatically, sometimes bhana au bas tyuuuj
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwingine huyu hapa[emoji28]
 
Tatizo sisi tumelikuza hili tatizo kwa kutokukubaliana na ukweli.
Ufike wakati tuukubali ukweli kuwa wapo wanamegwa ili kama tunaweza tunusuru kizazi kijacho.
 
Hebu huko na weweeee,
Kwa msimamo gani ulonao upewe ofa ya kwenda Dubai ukatae, [emoji57]

Sema unatamani atokee wa hivyo ila wanaokufata ndio hao vichenchede wakina James Utamu,

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah wanawake kwa tamaa zenu ndio maana hata mkifukuliwa mitaro mnaona kawaida tuu , aisee kwa tamaa hizi kuchomolewa mafigo ni kazi nyepesi Sana
 
Ololoo yayee sijawahi ona Masai shoga Bado nitaendelea kuamini nyie mnao Iga maisha ya kizungu ndiyo mnakua mashoga nimekaa sana na jamii ya wamasai nikati ya jamii ambazo Mila na tamaduni zao zime enziwa vizuri
Nenda zenji utawakuta
 
Daah wanawake kwa tamaa zenu ndio maana hata mkifukuliwa mitaro mnaona kawaida tuu , aisee kwa tamaa hizi kuchomolewa mafigo ni kazi nyepesi Sana
Hatari sana...msimamo zero
 
All in all Roho wa Mungu atuongeze kwenye familia zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…