Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Nakuuliza a very simple question,
wewe ni Mwanaume inakuaje unamtamani Mwanamke??

Nijibu hapo
Hii ni asili ya viumbe hai wote wakiwemo ndege, samaki, wadudu, na viumbe hai wengine.
Ni asili ya kimaumbile.

1. Ndio swali la kujiuliza, iweje wanyama wote wasiwe na hisia kwa wenzao wa jinsia moja isipokuwa Binadamu ?

Au uliwahi kuona Kuku Jogoo anashiriki mapenzi na Jogoo mwenzake hadi kufikia kujitenga na kuku wengine na kuamua kuishi peke yao ?

Hizi homoni za Kupenda kuvutiwa na jinsia yako, kwa nini ziwe kwa viumbe Binadamu tu. ?

Hii inaonesha ni tabia za kujiendekeza tu na sio habari ya Homoni kama wengi wanavyoeleza.

Iweje tunaona Mashoga wa kiume wanaiga tabia za Kike, kama Mavazi, kuongea, kutembea, kuringa nk.

Hapa mashoga wanatuonesha kuwa kuwa mwanamke ni pamoja na kupenda kuliwa nyuma.
Kwanini waige tabia za kike. ?

Hii ni kuwadhalilisha wanawake ambao hawana hisia yoyote na huo mchezo mchafu usiokuwa na tija kwa jamii.
 
Mwili hauwez kukulazimisha kuwa gay hapo tunadanganyana.

Na usitafute huruma kwa watu haya mambo umejitakia.

Vipi kuhusu wasichana waliokamilika na huwa wanaweza kufikisha mpaka miaka 18 na wakiwa na bikra na wanatongozwa kila siku,ilikuwaje wewe ukashindwa kujizuia.
 
Mkuu upo sahihi.

Kama wanasema eti akimuona mwanaume smart handsome wanavutiwa nae kwanini wasitengeneze ukaribu na wanaume hao wakawa marafiki tu, kwanini hufikia mpaka kutamani kuwapa mkund u

Nimewauliza inawezekanaje mabinti wanaweza kutunza bikira zao mpaka miaka 18 na kila siku wanatongozwa na wanahisia za mapenz lakin yeye gay akashindwa kujizuia
 
Umeeleza vizur ila hapo kwenye mashirika ndiyo umeharibu kwa ufupi tu inatakiwa hili suala lipigwe vita vitakatifu
 
So sad[emoji174]
Hakuna mkamilifu I know.... Mwenyezi Mungu akusaidie kama una Nia ya kuacha kabisa.
Mwenyezi Mungu anilindie kizazi changu[emoji120]
 
Kama hakuna mkamilifu basi tukae na tabia zetu mbaya kwa lengo moja tu la kuwa na nia thabiti ya kutaka kujirekebisha.

Hata unapo tubu dhambi lengo ni kujirekebisha.

Lakini hawa watu pamoja na kujua kuwa tabia zao ni mbaya na ni dhambi bado hawaoneshi nia kabisa ya kutaka kujirekebisha.

Wanajipigia upatu watambulike na kupewa haki ya kupapasana hadharani barabarani ili watoto wetu waige hizo tabia toka kwao.

Hivi na sisi Wavuta bangi na Madawa ya kulevya tukishinikiza kuwa tumezaliwa na Kiu kali ya kuvuta mihadarati basi nasi tupewe haki ya kulima na kuvuta Bhangi hadharani bila kubughudhiwa itakuwa sawa ?

Ushoga hauna faida hata moja katika jamii.
Zaidi ya kuendekeza hizia za kujiendekeza za ngono.

Hivi kuna faida gani kwa jamii kama Ushoga utaruhusiwa ?
 
Mwili hauwez kukulazimisha kuwa gay hapo tunadanganyana.

Na usitafute huruma kwa watu haya mambo umejitakia.

Vipi kuhusu wasichana waliokamilika na huwa wanaweza kufikisha mpaka miaka 18 na wakiwa na bikra na wanatongozwa kila siku,ilikuwaje wewe ukashindwa kujizuia.
Kwa Mashoga neno kujizuia ni kama mwiko kwao.

Wanataka wakihisi tu kutekenywa nyuma basi jamii iwaandalie mazingira rafiki ili watimize kiu yao hiyo bila bughudha.

Hawaishi hapo bali waruhusiwe kutamba mitaani na kujitambulisha kwa wasio wafahamu,
Waruhusiwe kubusiana hadharani bila hofu ya kuwaambukiza vijana wadogo tabia zao wala woga.

Jamii za Kishoga ni kati ya Jamii za hivyo kabisa hapa duniani.

Mi binafsi siwezi kuhimili kumwangalia Mwanaume Shoga zaidi ya ile bahati mbaya ya mara moja.

Siwezi pia kuwaangalia wanaume wawili wakubusiana na kupapasana hadharani. Ni kwamba siwezi na mwili unaumia sana.

Ni mara nyingi tu niliondoka katika shehere ambazo zilikuwepo na Mashoga.
Huwa najisikia kudhalilika sana hasa kukiwa na wanawake.

Uanaume utakuwa vipi hali unamwona mwanamme mwenzako analazimisha tabia za kike mbele ya macho yako na ya wapenzi wako.

Ushoga ni hali ya kutisha sana kuliko tunavyo uangalia.

Ni total Human Abnomality
 
Hii ni asili ya viumbe hai wote wakiwemo ndege, samaki, wadudu, na viumbe hai wengine.
Ni asili ya kimaumbile.

1. Ndio swali la kujiuliza, iweje wanyama wote wasiwe na hisia kwa wenzao wa jinsia moja isipokuwa Binadamu ?

Au uliwahi kuona Kuku Jogoo anashiriki mapenzi na Jogoo mwenzake hadi kufikia kujitenga na kuku wengine na kuamua kuishi peke yao ?

Hizi homoni za Kupenda kuvutiwa na jinsia yako, kwa nini ziwe kwa viumbe Binadamu tu. ?

Hii inaonesha ni tabia za kujiendekeza tu na sio habari ya Homoni kama wengi wanavyoeleza.

Iweje tunaona Mashoga wa kiume wanaiga tabia za Kike, kama Mavazi, kuongea, kutembea, kuringa nk.

Hapa mashoga wanatuonesha kuwa kuwa mwanamke ni pamoja na kupenda kuliwa nyuma.
Kwanini waige tabia za kike. ?

Hii ni kuwadhalilisha wanawake ambao hawana hisia yoyote na huo mchezo mchafu usiokuwa na tija kwa jamii.
Aisee mbona umekua mgumu sana kuelewa??
hakuna kitu sijakieleza lakini umekomaa kuniuliza yale yale ni ukosefu wa kujenga hoja ama ni nini?

Kwanza kwenye maelezo yangu ni wapi nimesema habari za Homons?? au ulikosea kuquote,

Kama watu wanasema ni homons ni wao sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonesha sababu ya homosexual, ukisema ni kujiendekeza basi ujue ingekua tayari ni sababu lakini hakuna ziadi watu wana hisi hisi,

Unaelewa maana ya Sexual Orientation?? ndio maana nilikuuliza wewe ni mwanaume kwanini ukimuona Mwanamke unavutika nae?? hivyo hivyo na Gay kama ni Me akimuona Me atavutika nae na akimuona Ke atavutika nae, hizo blah blah za asili hazina nafasi tena, tofautisha kati ya kuzaana na matamanio ya ngono, msome jamani sio mnakaza fuvu tu, elimu ipo kiganjani mwako,

Kasome kuhusu Sexual Orientation, Sexual Behaviour, Sexual Identity, Genders na mengine mengi utakutana nayo huko, kubishana hakusaidii jaribu kusoma ili uelimike hata kama hutokubaliana na jambo angalau unakua una uelewa nalo,

Kwa taarifa yako Wanyama na Ndege wapo wanaopendana jinsi moja hii sio kwa kusimuliwa bali kwa kuona kwa macho yangu, Paka na Paka, Mbwa na Mbwa, Jogoo na Jogoo, again taarifa ipo kiganjani kwako, jaribu kuperuzi peruzi upate kuelimika ili uache kuuliza maswali yasiyo na tija.
 
Kwa Mashoga neno kujizuia ni kama mwiko kwao.

Wanataka wakihisi tu kutekenywa nyuma basi jamii iwaandalie mazingira rafiki ili watimize kiu yao hiyo bila bughudha.

Hawaishi hapo bali waruhusiwe kutamba mitaani na kujitambulisha kwa wasio wafahamu,
Waruhusiwe kubusiana hadharani bila hofu ya kuwaambukiza vijana wadogo tabia zao wala woga.

Jamii za Kishoga ni kati ya Jamii za hivyo kabisa hapa duniani.

Mi binafsi siwezi kuhimili kumwangalia Mwanaume Shoga zaidi ya ile bahati mbaya ya mara moja.

Siwezi pia kuwaangalia wanaume wawili wakubusiana na kupapasana hadharani. Ni kwamba siwezi na mwili unaumia sana.

Ni mara nyingi tu niliondoka katika shehere ambazo zilikuwepo na Mashoga.
Huwa najisikia kudhalilika sana hasa kukiwa na wanawake.

Uanaume utakuwa vipi hali unamwona mwanamme mwenzako analazimisha tabia za kike mbele ya macho yako na ya wapenzi wako.

Ushoga ni hali ya kutisha sana kuliko tunavyo uangalia.

Ni total Human Abnomality
Ujue Homophobic ni Hate ila huwezi kubadili kitu,
Ushoga upo na utaendelea kuwepo as long as Dunia inaishi so hapo ni ukubaliane na hali au upotee duniani,[emoji23][emoji23]

Lakini chuki zako haziwezi kubadili kitu na kwa jinsi ulivyokomaa na huu uzi na migazeti kama yote sina shaka utakua miongoni ila bado hujajikubali, [emoji2960][emoji51]
 
Lengo lako kutu stress wote, Kwa sababu kichwani Una psychological disorders, na hauwezi kwenda Kwa professionals ukaamua stress zako uzimwage huku!?

Unaishi ukijidanganya siku 1 utakuja kuwa free au!?
 
Aisee mbona umekua mgumu sana kuelewa??
hakuna kitu sijakieleza lakini umekomaa kuniuliza yale yale ni ukosefu wa kujenga hoja ama ni nini?

Kwanza kwenye maelezo yangu ni wapi nimesema habari za Homons?? au ulikosea kuquote,

Kama watu wanasema ni homons ni wao sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonesha sababu ya homosexual, ukisema ni kujiendekeza basi ujue ingekua tayari ni sababu lakini hakuna ziadi watu wana hisi hisi,

Unaelewa maana ya Sexual Orientation?? ndio maana nilikuuliza wewe ni mwanaume kwanini ukimuona Mwanamke unavutika nae?? hivyo hivyo na Gay kama ni Me akimuona Me atavutika nae na akimuona Ke atavutika nae, hizo blah blah za asili hazina nafasi tena, tofautisha kati ya kuzaana na matamanio ya ngono, msome jamani sio mnakaza fuvu tu, elimu ipo kiganjani mwako,

Kasome kuhusu Sexual Orientation, Sexual Behaviour, Sexual Identity, Genders na mengine mengi utakutana nayo huko, kubishana hakusaidii jaribu kusoma ili uelimike hata kama hutokubaliana na jambo angalau unakua una uelewa nalo,

Kwa taarifa yako Wanyama na Ndege wapo wanaopendana jinsi moja hii sio kwa kusimuliwa bali kwa kuona kwa macho yangu, Paka na Paka, Mbwa na Mbwa, Jogoo na Jogoo, again taarifa ipo kiganjani kwako, jaribu kuperuzi peruzi upate kuelimika ili uache kuuliza maswali yasiyo na tija.
Basi Olewa tu na mwanaume mwenzako.
Kwanini huchukui huo uamuzi ?

Nadhani kama mtaamua kuishi pamoja hakuna atakaye wabughudhi kwakuwa ni watu wazima.

Unaonekana huwezi kuishi bila ya kushiriki pamoja na mwanaume mwenzako.

Kwenye Wanyama wengine msitake kuongopa.

Hakuna mnyama kwa mfano Simba dume anaye anzisha maisha na dume mwenziye na kushikilia Maliki ya eneo flani.

Wanyama wote ninao wajua wana anzisha familia na jinsia nyingine na kupelekea kuongeza familia kwa kuzaa watoto.

Ni swala la muda tu sijui nikuite kaka au dada,
sijui unapandelea kuitwa vipi
utakuja wakati huko mbeleni mtaruhusiwa kuonana na kutambulika na jamii watu mnaovutiwa na jinsia moja.

Ila kwa Tanzania, sio leo wala kesho, jamii ya sasa haitaki huo naweza kuiita upuuzi.
 
Ujue Homophobic ni Hate ila huwezi kubadili kitu,
Ushoga upo na utaendelea kuwepo as long as Dunia inaishi so hapo ni ukubaliane na hali au upotee duniani,[emoji23][emoji23]

Lakini chuki zako haziwezi kubadili kitu na kwa jinsi ulivyokomaa na huu uzi na migazeti kama yote sina shaka utakua miongoni ila bado hujajikubali, [emoji2960][emoji51]
Mi siwakatazi Mashoga kufanya wanavyo jisikia. Kwani ni uamuzi wao na ni watu wazima.

Ni kwamba nashindwa kuhimili kuangalia matendo yao hadharani basi,
huko chumbani mi sifiki.

Na muwe mnafanya au hamufanyi mimi hainihusu.
Mimi nina fimbo na inahitaji kuingizwa sehemu ambayo nitapata matunda yake ( kuzaa watoto)

Mbegu za Binadamu zina thamani ya hali ya juu.

Mtu timamu hawezi kuzimwaga matakoni kwa yeyote hata awe mwanamke kwani ni kupoteza nguvu za bure.

Na pia kumnyima Binadamu haki yake ya kuzaliwa.

Nakuuliza na unijibu sio kwa ugomvi la hasha.

Hivi Baba yako ange chagua kutupa mbegu zake zilizo kuzaa wewe kwa Shoga wewe ungezaliwa ?

Kama ni hivyo huoni na wewe unakosea sana kwa kumshawishi Mwanaume azipoteze mbegu zake kwako na kusababisha wasizaliwe watoto halari kwake ?

Hijisikii guilty kwa hilo tendo au unawaza hisia zako tu ?
 
Kwenye hayo maelezo kuna sehemu nimezungumzia Homoni au umekurupuka usingizi bado network haijakaa sawa? [emoji848]

jibu swali wewe acha kuzunguka. Ni homoni gani ya kike inayokufanya upende kuliwa nyuma? siungekuta wanawake wote wanaliwa nyuma? na wewe cocastic ujibu hili.

Acheni kuendekeza tabia za ufirauni wa kisenge. Mnaendekeza huo upuuzi ninyi wenyewe.
 
Kabisa, watu wananyooshea watu vidole ila hawajua ukubwa wa tatizo ulivyo, kwa jamii zetu ni bora watu wasijue kama uko hivyo kuliko wakijua. Hata sasa naheshimika na nina marafiki wengi sababu hakuna anaefahamu, ila siku wakijua 95% watanitenga, kabisa, hata kama kuna ambao nao in private wa mambo ya ajabu ila sababu nitajulikana kwanza basi watajitenga, hivyo wazazi wajitahidi kulinda watoto wao wasije patwa na hayo.
ni athari gani umepata kutokana na tabia hiyo. Ni kwamba umelegea mishipa? Unapatwa maumivu?
 
Back
Top Bottom