Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mtafute ant asu jina la zamani baada ya kuushinda ushoga anaitwa Amosi Hamisi Kanyama anazo njia nyingi Sana na ikiwemo dawa jinsi ya kutoka kwenye ushoga.
Hakuna mtu asiyemjua anti asu enzi za bar maarufu kwa macheni.
Leo ni mwanaume shabab kabisa kaoa na ana watoto wawili wakiume.
Hakuna linaloshindikana. Zipo dawa za kuondoa homoni za hisia za kike na ukapata za kiume baada ya kuziua zile za kike na ukawa mtu kwenye jamii.
Mtafute kwa namba zake kupitia simulizi atakusaida,maana Hakuna mtu alikuwa Sugu kwenye ushoga kama huyu nchi nzima ilimjua lakini aliacha alitoka huko baada ya kuamua.Alikuwa ni Mwenyekiti wa mashoga TANZANIA,leo ni mtumishi wa Mungu.
Inawezekana ukiamua kuacha,anza na kuchoma dawa za homoni.




 
Mume wangu mic u saaana,[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Umeupiga mwingi mnoooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo, yaan watu wasio jikubali wana tabu sana, uwiiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu gan? Akati ushoga haupo Tanzania.
 
0714 651 141 namba ya Amos Hamisi Kanyama zamani anti asu shoga maarufu kwa macheni kwa shida zote jinsi ya kuacha ushoga,usagaji,ulawiti, au uraibu wowote wa tabia ngumu anao msaada, uwe mzazi au muathirika muhusika, atakupa msaada, na utaweza kuacha tabia zote ngumu na kuwa kiumbe kipya na kujisikia mwepesi baada ya kuutua mzigo.
Ushoga, usagaji ni tabia na sio asilia.
Anti asu ndie aliyeimbwa na Abdul misambano wimbo maarufu wa asuu
 
Una hoja ya msingi sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walete majibu. Uwiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…