Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mtafute ant asu jina la zamani baada ya kuushinda ushoga anaitwa Amosi Hamisi Kanyama anazo njia nyingi Sana na ikiwemo dawa jinsi ya kutoka kwenye ushoga.
Hakuna mtu asiyemjua anti asu enzi za bar maarufu kwa macheni.
Leo ni mwanaume shabab kabisa kaoa na ana watoto wawili wakiume.
Hakuna linaloshindikana. Zipo dawa za kuondoa homoni za hisia za kike na ukapata za kiume baada ya kuziua zile za kike na ukawa mtu kwenye jamii.
Mtafute kwa namba zake kupitia simulizi atakusaida,maana Hakuna mtu alikuwa Sugu kwenye ushoga kama huyu nchi nzima ilimjua lakini aliacha alitoka huko baada ya kuamua.Alikuwa ni Mwenyekiti wa mashoga TANZANIA,leo ni mtumishi wa Mungu.
Inawezekana ukiamua kuacha,anza na kuchoma dawa za homoni.




Screenshot_20220503_115717.jpg


Screenshot_20220503_115708.jpg
 
Ukipitia michango ya wadau utagundua jinsi Watz hawana uelewa juu ya Homosexual people,

Wengi wakisikia Shoga akili zao zinawatuma ni watu wa ngono ngono tu, yaani hawana impact yoyote ya Maisha zaidi ya kufanya ngono tu,

Mnawachanganya na sex workers, wengi waliotoa hadi shuhuda ni walikutana na Gays ambao ni Sex workers ni kama vile Wadada sex workers so huwezi kusema wadada wote wanajiuza kisa ulitongozwa na anayejiuza,

Shoga ni Mwanaume ambae anavutiwa na Wanaume wenzake kwenye Mapenzi, sio kama Shoga huyo hawezi kusoma, hawezi kua na fani, hawezi kua single, hawezi kua na mpenzi wake permanent, matamanio yake ya kingono hayawezi kuathiri mfumo wake wa maisha,

The same na heterosexual people sio kwa kua wewe unavutiwa na wanawake kingono basi kila mwanamke umuonae unataka kumparamia mfanye ngono, yaani ushindwe kufanya mambo mengine uwaze ngono tu hiyo sio kweli na kama utakua hivyo basi msaada wa haraka utahitajika sababu haipo kwenye hali ya ukawaida,

Mimi binafsi sipendi my kid aje kua homo, sababu najua kero atakazokutana nazo kwenye dunia hii iliyokosa Utu wala Usawa, sitopenda my kid anyanyapaliwe, anyooshewe vidole, ashindwe kuishi maisha ya uhuru badala yake awe na hofu mwisho apate depression afe, so hua namuombea kila siku lakini ikitokea sitaweza kufanya jambo lolote zaidi ya kumpa upendo zaidi na zaidi,

Cha mwisho ndugu zangu tuacheni unafki tuishi kwa uhuru na kujiamini huku upendo ukitawala, kunyoosheana vidole kisa fulani yupo kwenye mtazamo tofauti na wewe sio poa, wewe angalia watoto wako maana hujui ya kesho ni yapi.
Mume wangu mic u saaana,[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Ushoga jamii inatambua kama ni unnatural thing,
Sasa ukipima natural na unnatural things ni vitu gani? unakuja kupata mitazamo mbalimbali

Vitu ambavyo ni natural ni vile ambavyo vinaenda sambamba na matakwa ya Mungu,kama vile Me kuoa Ke ni sawa sababu
Mungu aliumba Mwanamke na mwanamme washiriki tendo hilo,mwanaume na mwanaume wakishiriki si sawa -hii ni mitazamo ya kidini
Na vitu ambavyo ni Unnatural ni vitu ambavyo vipo kinyume na matakwa ya Mungu

Lakini ukiacha mitazamo ya kidini na KiMungu,hakuna kitu natural au unnatural,miaka mingi iliopita binadamu tulikua tunatembea na miguu minne baadae tukaja kutembea na miguu miwili,je ilikua natural kutembea na miguu minne? Je na sasa sio natural tena kutembea na miguu miwili?

Viungo vya mwili vinabadirika kufuatana mahitaji ya muda huo mfano unatumia mdomo kupitisha chakula na hiyo ni natural job ya mdomo,lakini unaweza kutumia mdomo kukiss ,kufanya blow job au kutolea mwiba uliozama kwenye mkono je kufanya ivyo unafanya tendo ambalo ni unnatural?

Hivyo ivyo katika kutumia tundu la haja kubwa kutafuta sexual pressure badala ya kulitumia tu katika kutolea uchafu mwili.

Hitimisho
Viungo hubadilika matumizi kutokana na mahitaji ya muda huo.viungo havipo kwa ajili ya tendo moja pekee,wapo wanaotumia miguu kupika,kuosha au kulia chakula je kufanya ivyo ni kosa?
Umeupiga mwingi mnoooo.
 
Unajua nini nilikua nahis mume wangu ni shoga (tumeachana Sasa) kwasabu nilikua nikisafiri huku nyuma analeta rafiki yake wa kiume wanalala pamoja yaan nikimpigia simu pengine usiku nimefika safar yangu anakwambia nipo hapa na fulan analala hapa khaa halafu mi nikiwepo hao marafiki wa kulala siwaoni mpaka nikaanza kuhis vibaya, baadae miaka mingine akaanza kupenda nimnyonye mku*u na namuingiza kidole Cha mwisho lakini sikushtuka Sana kwasabu wanawake tunaambizanaga wanaume wanapenda kuchezewa mikund* lakini siyo mashoga, naomba uelewa wako kwwnye hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo, yaan watu wasio jikubali wana tabu sana, uwiiiiiiih
 
Hii Mada inafuatiliwa na wadau wengi kwakuwa ni very sensitive ktk mustakabari wa ustawi wa jamii yetu ya sasa.
Liko pengo ambalo wanaopigia upatu maswala ya Ushoga hawalisemi.

Kuhusu Madhara ya Ushoga.
Mwanaume Shoga
Anakutana na hatari kama.
Magonjwa ya Kansa, Bawasiri, Kulegea kwa njia ya kutoa uchafu na mengine mengi.

Mwanaume Shoga hana habari ya kuoa na kuzaa watoto wa kujenga Taifa la kesho.

Mwanaume Shoga anakimbia majukumu ya Wanaume katika kujenga nchi na kujifanya ni Mwanamke.

Hebu sasa mjaribu kujadili athari za Ushoga katika Taifa lenye nia ya kujenga jamii salama.

Kudai kuhalarishwa kutambuliwa kwa lengo tu la kukidhi matamanio ya mtu mmoja mmoja ya hisia haitoshi kupitisha haki za Mashoga.

Wekeni hapa Faida na Hasara za Ushoga katika Jamii ya sasa ili zipimwe.

@Curturegirl, cocastic,
Leteni majibu hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu gan? Akati ushoga haupo Tanzania.
 
0714 651 141 namba ya Amos Hamisi Kanyama zamani anti asu shoga maarufu kwa macheni kwa shida zote jinsi ya kuacha ushoga,usagaji,ulawiti, au uraibu wowote wa tabia ngumu anao msaada, uwe mzazi au muathirika muhusika, atakupa msaada, na utaweza kuacha tabia zote ngumu na kuwa kiumbe kipya na kujisikia mwepesi baada ya kuutua mzigo.
Ushoga, usagaji ni tabia na sio asilia.
Anti asu ndie aliyeimbwa na Abdul misambano wimbo maarufu wa asuu
 
Hakuna mwanaume anayezaliwa akiwa Shoga, HAKUNA

Nakubaliana na yeyote kuwa kuna ambaye anaweza kuzaliwa ana tabia za kike, lakin kuwa na tabia za kike ni tofauti na kugongwa Nyuma,

Kuwa mwanamke sio kuliwa tigo, ingekuwa hivyo basi wanawake wote wangeliwa tigo
Una hoja ya msingi sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walete majibu. Uwiiiiih.
 
Back
Top Bottom