zukx
Member
- Apr 23, 2022
- 41
- 14
kwakweliNimekusikitikia sana kwa hali yako Kwakweli sometime haya mambo sio ya kumlaumu Victim maana nae kaumbwa na Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakweliNimekusikitikia sana kwa hali yako Kwakweli sometime haya mambo sio ya kumlaumu Victim maana nae kaumbwa na Mungu.
sio kwa hay maswal jmnElezea ilikuwaje ukaharibiwa ukiwa 14 yrs na aliyekuharibu alikuwa Umri gani. Kuwa mkweli.
hhhhSasa mzee unasema wewe demu mkali hakusisimui....huyo gelofrend wako sasa inakuwa sii inamaanisha ata ukimuona naked mtibwa sugar haidindi ama mie sijakuelewa?
Mume wangu mic u saaana,[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Ukipitia michango ya wadau utagundua jinsi Watz hawana uelewa juu ya Homosexual people,
Wengi wakisikia Shoga akili zao zinawatuma ni watu wa ngono ngono tu, yaani hawana impact yoyote ya Maisha zaidi ya kufanya ngono tu,
Mnawachanganya na sex workers, wengi waliotoa hadi shuhuda ni walikutana na Gays ambao ni Sex workers ni kama vile Wadada sex workers so huwezi kusema wadada wote wanajiuza kisa ulitongozwa na anayejiuza,
Shoga ni Mwanaume ambae anavutiwa na Wanaume wenzake kwenye Mapenzi, sio kama Shoga huyo hawezi kusoma, hawezi kua na fani, hawezi kua single, hawezi kua na mpenzi wake permanent, matamanio yake ya kingono hayawezi kuathiri mfumo wake wa maisha,
The same na heterosexual people sio kwa kua wewe unavutiwa na wanawake kingono basi kila mwanamke umuonae unataka kumparamia mfanye ngono, yaani ushindwe kufanya mambo mengine uwaze ngono tu hiyo sio kweli na kama utakua hivyo basi msaada wa haraka utahitajika sababu haipo kwenye hali ya ukawaida,
Mimi binafsi sipendi my kid aje kua homo, sababu najua kero atakazokutana nazo kwenye dunia hii iliyokosa Utu wala Usawa, sitopenda my kid anyanyapaliwe, anyooshewe vidole, ashindwe kuishi maisha ya uhuru badala yake awe na hofu mwisho apate depression afe, so hua namuombea kila siku lakini ikitokea sitaweza kufanya jambo lolote zaidi ya kumpa upendo zaidi na zaidi,
Cha mwisho ndugu zangu tuacheni unafki tuishi kwa uhuru na kujiamini huku upendo ukitawala, kunyoosheana vidole kisa fulani yupo kwenye mtazamo tofauti na wewe sio poa, wewe angalia watoto wako maana hujui ya kesho ni yapi.
Hayaingii humo.Gay kwa kiswahili ni ushoga ambapo makundi yote yanaingia humo
Navyojua lakini wajuzi fafanueni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] idara hoyeeeeeh.Kwenye idara hii umesimama vizuri kupita maelezo.
Umeupiga mwingi mnoooo.Ushoga jamii inatambua kama ni unnatural thing,
Sasa ukipima natural na unnatural things ni vitu gani? unakuja kupata mitazamo mbalimbali
Vitu ambavyo ni natural ni vile ambavyo vinaenda sambamba na matakwa ya Mungu,kama vile Me kuoa Ke ni sawa sababu
Mungu aliumba Mwanamke na mwanamme washiriki tendo hilo,mwanaume na mwanaume wakishiriki si sawa -hii ni mitazamo ya kidini
Na vitu ambavyo ni Unnatural ni vitu ambavyo vipo kinyume na matakwa ya Mungu
Lakini ukiacha mitazamo ya kidini na KiMungu,hakuna kitu natural au unnatural,miaka mingi iliopita binadamu tulikua tunatembea na miguu minne baadae tukaja kutembea na miguu miwili,je ilikua natural kutembea na miguu minne? Je na sasa sio natural tena kutembea na miguu miwili?
Viungo vya mwili vinabadirika kufuatana mahitaji ya muda huo mfano unatumia mdomo kupitisha chakula na hiyo ni natural job ya mdomo,lakini unaweza kutumia mdomo kukiss ,kufanya blow job au kutolea mwiba uliozama kwenye mkono je kufanya ivyo unafanya tendo ambalo ni unnatural?
Hivyo ivyo katika kutumia tundu la haja kubwa kutafuta sexual pressure badala ya kulitumia tu katika kutolea uchafu mwili.
Hitimisho
Viungo hubadilika matumizi kutokana na mahitaji ya muda huo.viungo havipo kwa ajili ya tendo moja pekee,wapo wanaotumia miguu kupika,kuosha au kulia chakula je kufanya ivyo ni kosa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo, yaan watu wasio jikubali wana tabu sana, uwiiiiiiihUnajua nini nilikua nahis mume wangu ni shoga (tumeachana Sasa) kwasabu nilikua nikisafiri huku nyuma analeta rafiki yake wa kiume wanalala pamoja yaan nikimpigia simu pengine usiku nimefika safar yangu anakwambia nipo hapa na fulan analala hapa khaa halafu mi nikiwepo hao marafiki wa kulala siwaoni mpaka nikaanza kuhis vibaya, baadae miaka mingine akaanza kupenda nimnyonye mku*u na namuingiza kidole Cha mwisho lakini sikushtuka Sana kwasabu wanawake tunaambizanaga wanaume wanapenda kuchezewa mikund* lakini siyo mashoga, naomba uelewa wako kwwnye hili
Hadi telegram lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiii ngoma imekopiwa kama ilivyo humu kwenda mjini facebook dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu gan? Akati ushoga haupo Tanzania.Hii Mada inafuatiliwa na wadau wengi kwakuwa ni very sensitive ktk mustakabari wa ustawi wa jamii yetu ya sasa.
Liko pengo ambalo wanaopigia upatu maswala ya Ushoga hawalisemi.
Kuhusu Madhara ya Ushoga.
Mwanaume Shoga
Anakutana na hatari kama.
Magonjwa ya Kansa, Bawasiri, Kulegea kwa njia ya kutoa uchafu na mengine mengi.
Mwanaume Shoga hana habari ya kuoa na kuzaa watoto wa kujenga Taifa la kesho.
Mwanaume Shoga anakimbia majukumu ya Wanaume katika kujenga nchi na kujifanya ni Mwanamke.
Hebu sasa mjaribu kujadili athari za Ushoga katika Taifa lenye nia ya kujenga jamii salama.
Kudai kuhalarishwa kutambuliwa kwa lengo tu la kukidhi matamanio ya mtu mmoja mmoja ya hisia haitoshi kupitisha haki za Mashoga.
Wekeni hapa Faida na Hasara za Ushoga katika Jamii ya sasa ili zipimwe.
@Curturegirl, cocastic,
Leteni majibu hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabaro baro wengi mashoga tu, Jux, Hemed PhD, Gerry wa Rhymes, Nedy Music e.t.c
Ww ni mwanaume, unakuaje na mume?Mume wangu mic u saaana,[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukila wee inatosha.Mkuu acha hio tabia kula mbunye
Una hoja ya msingi sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mwanaume anayezaliwa akiwa Shoga, HAKUNA
Nakubaliana na yeyote kuwa kuna ambaye anaweza kuzaliwa ana tabia za kike, lakin kuwa na tabia za kike ni tofauti na kugongwa Nyuma,
Kuwa mwanamke sio kuliwa tigo, ingekuwa hivyo basi wanawake wote wangeliwa tigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Ni kazi sana kumuelimisha Mpumbavu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] tenaaaaaaaah.Ni stakeholder