Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Hasara kama yote.Daaaaaah! Kumbe tunapoteza muda kwa kuhangaika na punga!
Hasara kubwa sana kwa wazazi na ndugu zake na jamii yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasara kama yote.Daaaaaah! Kumbe tunapoteza muda kwa kuhangaika na punga!
Hasara kubwa sana kwa wazazi na ndugu zake na jamii yote
Labda nikuulize;Msaada
Hauna ubora wowote, stay away from women & men
Yaani shida kubwa sana. Inaumiza sana mzazi kuwa na mtoto halafu awe shoga au msagaji
Watakuja inbox Kwa Maelekezo zaidiHabarini za humu wadau,mimi ni kijana wa miaka 26,mkazi wa jijini dar es salaam.Ninakitu nimeobserve katika maisha yangu amabcho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli.Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.
Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.
Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wakiume tofauti na wakike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.
Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja flani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri,sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Anataka awe mume wakeUnamtamani kivipi yan, kama huyo uliyechukua namba zake alufuu iwejee yan ...nini unachokitamani hasaa??
Zidisha maombi huyo ni pepo mbaya snHabarini za humu wadau,mimi ni kijana wa miaka 26,mkazi wa jijini dar es salaam.Ninakitu nimeobserve katika maisha yangu amabcho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli.Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.
Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.
Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wakiume tofauti na wakike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.
Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja flani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri,sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Sio ulaumu msaada plzYaani shida kubwa sana. Inaumiza sana mzazi kuwa na mtoto halafu awe shoga au msagaji
Ujamuelewa rudia kusoma post.Kifo ndo solution kwa hili jambo, tena inabidi iwe mapema zaidi ili dunia iwe sehemu salama bila uwepo wenu machoko.
Kelsea na Nakadori mchukueni huyu mtoto mkamfundishe jando. Mtoto anapotea bure.
Huyo kashapotea, mm sina msaada.Kelsea na Nakadori mchukueni huyu mtoto mkamfundishe jando. Mtoto anapotea bure.
Viongozi wa dini Ni hatariHapa utaishia kukejeliwa tu.......... nenda kwa kiongozi wako wa dini ukapate ushauri au tafuta wanasaikolojia wakushauri cha kufanya
Kujiendekeza tu. Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzio hiyo ni dalili ya ushoga.
Wengi mnaathiriwa na ulaji mbovu matokeo yake mnashindwa kuwatomba vilivyo wanawake hali inayopelekea kusingizia kuwa mna hormone imbalance kati ya za kike na kiume.
Kwa jamii yetu ya Kitanzania hakuna wakati ambao ushoga na usagaji vitakuja kukubaliwa.
Hakuna jambo linaumiza nafsi kama kuwa na mtoto halafu akawa shoga au msagaji ni very painful na utatamani usingekuwa naye.
Badilisha style yako ya ulaji. Acha Kula chipsi na bites kama vile biscuits. Kula sana vyakula vya kuupa mwili wako nguvu kama mbogamboga na ugali kwa wingi.
Acha kujilegeza legeza kama mwanamke. Mwanaume unatakiwa kuwa mkomavu kwa kila kitu.
Lakini kuna wengine mmeamua kuwa hivyo kwa lengo la kukwepa majukumu hasa ya kifamilia. Kama hauna kasoro oa mwanamke uzae naye watoto utunze familia yako.
Kuna mtu leo kasema kuwa chips zina calories kuzdi ugali..
Huyu jamaa alileta mada yake Mwaka 2020 July 20 kuhusu kusaidiwa,kwa kuwa yeye ni mtombaji au TOP wa vijana wa kiume.Watu walimpa comment nzuri sana.Nashangaa bado anarudi na issue ile ile.Zile comment zilikuwa bora sana na Kama kweli alisoma angejiokoa kutoka kwenye hiyo issue.Je hakusoma.Habarini za humu wadau,mimi ni kijana wa miaka 26, mkazi wa jijini Dar es Salaam. Nina kitu nimeobserve katika maisha yangu ambacho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli. Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.
Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.
Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wa kiume tofauti na wa kike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.
Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja fulani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.