Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Hii kitu ya misosi watu wengi wanaichulia simple but it was well planned na ndio maana nowadays hormones zimekuwa vurugu tupu kwa watoto. Kuanzia madawa wanayo kunywa wadada mpk misosi tunayolisha watoto wakiwa wanakuwa...... Sidhani kama ni hizi chips but I think ni vyakula ambavyo mtoto anapokea kuanzia kuzaliwa mpk kwenye 12 years au 13. Huyu Ana 26 chips haziwezi kumpa hizo hisia hiyo ni matokeo ya madawa ya mama wanayo tumia akiwa mjamzito na mavyakula ya kizungu mnayolisha watoto. So muombeeni tu mtoa Mada sio kumfanya ajiue maana na sisi tutapata watoto watakula haya haya mauchafu ya kizungu tena approved by doctors kabisa.
 
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Dah pole sana.. Likatae hilo pepo kwa nguvu zote
 
Mshenzi wewe hiyo tabia umeanza zamani tu unatafuta watu humu wakufate PM wakubandue
 
muda,since nipo mdogo nakumbuka i used to admire wenzangu tuliokuwa tunacheza nao mpira
Pole sana kwa tatizo lako , jitahidi sana kuacha kuangalia
1video za ngono hasa vinazoashiria vitendo vya kishoga
2.Jitahidi kuwa busy sana
3.Pia zingatia mlo wako
4.Fanya mazoezi
5.Mtafute msichna umpende kabisa na mda mwingi uwe nae
6.Fanya sana ibada hyo roho ikutoke
 

Nchi ina mashoga wengi sana hii ila wanajificha tu, wewe ni mshoga!

Mungu atusaidie sana kama taifa,kwa kuangalia tu taarifa za watu kulawiti watoto unaona vile hapo baadae hali itakuwa mbaya sana
 
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Dah pole sana.. Likatae hilo pepo kwa nguvu zote
Huyo ni shoga mzoefu na kwakuwa anajua anachofanyiwa hakikubaliki Duniani ,kwa Mungu hadi shetani anaumia nafsi yake kwahiyo anatafuta kichaka Cha kujificha.

Aamue mwenyewe aache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…