Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Pole mkuu afadhal umekuja humu kujieleza ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu ya misosi watu wengi wanaichulia simple but it was well planned na ndio maana nowadays hormones zimekuwa vurugu tupu kwa watoto. Kuanzia madawa wanayo kunywa wadada mpk misosi tunayolisha watoto wakiwa wanakuwa...... Sidhani kama ni hizi chips but I think ni vyakula ambavyo mtoto anapokea kuanzia kuzaliwa mpk kwenye 12 years au 13. Huyu Ana 26 chips haziwezi kumpa hizo hisia hiyo ni matokeo ya madawa ya mama wanayo tumia akiwa mjamzito na mavyakula ya kizungu mnayolisha watoto. So muombeeni tu mtoa Mada sio kumfanya ajiue maana na sisi tutapata watoto watakula haya haya mauchafu ya kizungu tena approved by doctors kabisa.Kujiendekeza tu. Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzio hiyo ni dalili ya ushoga.
Wengi mnaathiriwa na ulaji mbovu matokeo yake mnashindwa kuwatomba vilivyo wanawake hali inayopelekea kusingizia kuwa mna hormone imbalance kati ya za kike na kiume.
Kwa jamii yetu ya Kitanzania hakuna wakati ambao ushoga na usagaji vitakuja kukubaliwa.
Hakuna jambo linaumiza nafsi kama kuwa na mtoto halafu akawa shoga au msagaji ni very painful na utatamani usingekuwa naye.
Badilisha style yako ya ulaji. Acha Kula chipsi na bites kama vile biscuits. Kula sana vyakula vya kuupa mwili wako nguvu kama mbogamboga na ugali kwa wingi.
Acha kujilegeza legeza kama mwanamke. Mwanaume unatakiwa kuwa mkomavu kwa kila kitu.
Lakini kuna wengine mmeamua kuwa hivyo kwa lengo la kukwepa majukumu hasa ya kifamilia. Kama hauna kasoro oa mwanamke uzae naye watoto utunze familia yako.
Ni aibu sana kujiingiza kwenye ushoga / usagaji kwa kisingizio Cha umeumbwa hivyo.
MUNGU HAKOSEI
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.Habarini za humu wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 26, mkazi wa jijini Dar es Salaam. Nina kitu nime-observe katika maisha yangu ambacho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli. Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.
Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.
Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wa kiume tofauti na wa kike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.
Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja fulani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Asante,cha kujiuliza ni kwamba nimeshindwa kuwapata huko hadi nije jf humu? tumia akiliMshenzi wewe hiyo tabia umeanza zamani tu unatafuta watu humu wakufate PM wakubandue
muda,since nipo mdogo nakumbuka i used to admire wenzangu tuliokuwa tunacheza nao mpiraMkuu pole sana hilo tatizo umeanza ku li notice mda gani kwanza?
Kwahyo hapo mkuu uwa unatamani wakugonge au ww uwagonge ao washikaji?muda,since nipo mdogo nakumbuka i used to admire wenzangu tuliokuwa tunacheza nao mpira
Pole sana kwa tatizo lako , jitahidi sana kuacha kuangaliamuda,since nipo mdogo nakumbuka i used to admire wenzangu tuliokuwa tunacheza nao mpira
Anataka apelekewe moto huyo gashoKwahyo hapo mkuu uwa unatamani wakugonge au ww uwagonge ao washikaji?
Kaombewe sasaKwenye suala la ulaji sio mlaji wa hizo chips…Mimi sijajilegeza Nipo very strong ila ilo pepo la kuwatamani hao mabraza men ndo silielewi
Unamtamani huyo mwanaume akufir... au umfir....?Basi niwe ninacontact nae yaani hata sielewi
Huyo ni shoga mzoefu na kwakuwa anajua anachofanyiwa hakikubaliki Duniani ,kwa Mungu hadi shetani anaumia nafsi yake kwahiyo anatafuta kichaka Cha kujificha.Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Dah pole sana.. Likatae hilo pepo kwa nguvu zote
Anafilwa na ni mzoefu kwa mujibu wa thread zake za wakati uliopitaUnamtamani huyo mwanaume akufir... au umfir....?
Unaelewa ila unajaribu kutuzugaBasi niwe ninacontact nae yaani hata sielewi