Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Wewe ni msenge???
ushamba katika mitandao ni jambo linalowadhuru watanzania wengi

kuna kitu kinaitwa "quote" hio message yangu nimequote maneno ya muandishi. Wewe unakuja na kukomenti utopolo

Wewe ujifunze kutokudandia treni kwa mbele...utagongwa!
 
Uhandisamu na ushogire ni pete na kidole[emoji23].
 
Hii topic ni jau. Hebu punguzeni kuongelea ushoga, naona kama mnaupromote[emoji1784][emoji1784]
 
Habari!
Mimi nina mtoto mmoja tu wa kiume, ana miaka 6 sasa , nampenda sana.
Ninapambana kumkinga na ushoga, natumia njia hizi;

1. Siruhusu awe na rafiki wa kiume ambaye amemzidi umri kuanzia miaka 4.
2. Lazima niwajue marafiki zake.

3. Siruhusu kabisa urafiki na wavulana wanaobalehe.

4. Siruhusu mgeni au ndugu aliyebalehe alale kitanda kimoja na mwanangu.

5. Sitaki ndugu wa kiume nyumbani kwangu. Mwenye shida nitamsaidia akiwa huko mbali, akija basi awe wa kupita na si wa kudumu.

6. Ninampa pesa ndogondogo hata kama hajaniomba. Hii naifanya ili asiishobokee pesa ya watu. Maana wengine huliwa kisa Mia Tano, mia mbili au biscuits tu.

7. Kuwa naye karibu kila siku na kumfanya rafiki. Hapa kama kuna kivulana kinammendea atanipa taarifa. Michezo michafu ina maandalizi yake.

8. Namwambia kuwa yeye ni mwanaume na ataoa. Atakuwa na familia.

Nimeishi sana Uswahilini, kesi za watoto kulawitiwa ni nyingi sana sema tu zinamalizwa kifamilia. Hawa watoto wakiingiliwa utotoni baadaye huzoea na na kuupenda huo mchezo, wao ndio huficha siri. Wakikua wengine hujitangaza hadharani kwa vitendo na wengine hufanywa kwa usiri mpaka uzeeni.
 
Sasa, girlfriend wako unamfanya kama kawaida? Wewe ndo unafanya kwa mwanaume mwenzako au unafanywa? Na penis inasimama kama kawaida?
 
Umenene vyema mkuu [emoji817] [emoji109][emoji120]
 
Natamani ujulikane ata leo ili ujiue upotee kabisa katika uso wa dunia [emoji35][emoji35][emoji35]
 
unaweza achana na hiyo tabia mwamini Yesu kwake yote yanawezekana
 
Naona Kuna namna watu wanawalaumu wanaoliwa tuu ila walaji mnawaacha.

Inakuaje mwanaume umuingilie mwanaume mwenzio harafu aliyeingiliwa ndio mbaya ila anaefanya huo ufedhuli anaonekana shujaa?

Tutunge Sheria haraka sana ya kuwashughulikia wote
Haswaaaaaah hili ndo LA muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…