Nyie ndio mnatuharibia Dini tunaitwa wafuga majini, unawatetea utadhani ushawaona wakakupa na ugali,Sijasema kila tabia kipaji ni jinn japo wengi bila wao kujua mpaka utakufa utajiona ni wewe Mie kubishana siwezi sana hIla Google kitu kinaitwa Qareen utapata hint kidogo
Ndo maana nasema sina kawaida ya kujibizana halafu usinilishe maneno ambayo sijasema wapi nimesema mtu analindwa na jinn sio Malaika????! na nyie ndo wakaririshwa dini hamuisomi ungesoma ungejua hata kisa cha Mtume Muhammad S. W. A alomsilimisha Jinn Qareen, Malaika kama Malaika wanakuwepo kila mmoja ana jukumu lake,msioende sana ubishani na upingaji ukisikia jambo lifatilie Elimu Elimu ElimuNyie ndio mnatuharibia Dini tunaitwa wafuga majini, unawatetea utadhani ushawaona wakakupa na ugali,
Kwa hiyo siku hizi binaadam halindwi na Malaika tena bali anakua na jini Qareen hadi anavyokufa mambo ya Malaika mbele na nyuma, kulia na kushoto hayapo au huyo Qareen anaelewana na Malaika na wanagonga cheers kichwani kwako?
Kwa hiyo kama Mtume alimsilimisha Qareen, huyo unayemuongelea hapa ni nani?Ndo maana nasema sina kawaida ya kujibizana halafu usinilishe maneno ambayo sijasema wapi nimesema mtu analindwa na jinn sio Malaika????! na nyie ndo wakaririshwa dini hamuisomi ungesoma ungejua hata kisa cha Mtume Muhammad S. W. A alomsilimisha Jinn Qareen, Malaika kama Malaika wanakuwepo kila mmoja ana jukumu lake,msioende sana ubishani na upingaji ukisikia jambo lifatilie Elimu Elimu Elimu
Sababu Qareen sio mmoja wapo wengi.Kwa hiyo kama Mtume alimsilimisha Qareen, huyo unayemuongelea hapa ni nani?
Jibu hoja kwa hoja sio kukimbilia eti sijibizani ulipost ili iweje kama hutaki challenge?
Huko juu umesema kila binaadam ana Qareen wake, kwa hiyo aliyesilimishwa na Mtume alikua ni Qareen wa Mtume? Je na Binaadam wengine wawasilimishe Maqareen wao?Sababu Qareen sio mmoja wapo wengi.
Kuna watu mna maswali ya ajabu sana[emoji23][emoji23]HV mkuu unakafanikiwa lbda kutembea na mwanasiasa mfno mwigulu au bashe au heche au zito labda sas mfno na wew ukawaomba uwachakate je watakubali
Umeshawai muomba yule anaekuchakata nae umchakate au Ni wee tu unachakatwa muda wote
Ng'ombe kabisa wewe 🚮🚮🚮automatically nimezaliwa hivyo,
Jibu yes ✅Huko juu umesema kila binaadam ana Qareen wake, kwa hiyo aliyesilimishwa na Mtume alikua ni Qareen wa Mtume? Je na Binaadam wengine wawasilimishe Maqareen wao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mujibu wa maelezo yako ni kua majini wanawatawala binaadam kiasi kwamba kila kipaji ni jini, kila tabia ni jini, mfano wakina Ronaldo na Messi wana majini,
Nyie ndio wale hata mkiumwa Malaria mnakimbilia kujiagua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nachekaa sanaaa khaaahNyie ndio mnatuharibia Dini tunaitwa wafuga majini, unawatetea utadhani ushawaona wakakupa na ugali,
Kwa hiyo siku hizi binaadam halindwi na Malaika tena bali anakua na jini Qareen hadi anavyokufa mambo ya Malaika mbele na nyuma, kulia na kushoto hayapo au huyo Qareen anaelewana na Malaika na wanagonga cheers kichwani kwako?
Uduguuu.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nachekaa sanaaa khaaah
Kumekuchaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uduguuu.......
[emoji1787][emoji1787]Nimeanza kucomment Kama cute wife
Cute wife ananichanganya sana. Urafiki wenu utafanya niache kukumindKumekuchaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuu.......
[emoji1787][emoji1787]Nimeanza kucomment Kama cute wife
Cute wife ananichanganya sana. Urafiki wenu utafanya niache kukumind
Nimeanza kupita mule unapitaga[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kantri mwehu wewe ujue
Kwa sababu yako nitaacha kummind huyu uduguuUduguu wangu hana baya na mtu, wewe tu hutaki kumuelewa! [emoji1787][emoji1787]
Nimeanza kupita mule unapitaga[emoji23]