Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Kifupi. Familia karibu zote TZ zina black sheep. It's our secret. We are ashamed and not proud of it. We will not condone or sympathize with you. You knew what you wanted and went for it.
You and the rest of your gay friends are a disgrace to humanity and absolutely shameful
 
Sijasema kila tabia kipaji ni jinn japo wengi bila wao kujua mpaka utakufa utajiona ni wewe Mie kubishana siwezi sana hIla Google kitu kinaitwa Qareen utapata hint kidogo
Nyie ndio mnatuharibia Dini tunaitwa wafuga majini, unawatetea utadhani ushawaona wakakupa na ugali,

Kwa hiyo siku hizi binaadam halindwi na Malaika tena bali anakua na jini Qareen hadi anavyokufa mambo ya Malaika mbele na nyuma, kulia na kushoto hayapo au huyo Qareen anaelewana na Malaika na wanagonga cheers kichwani kwako?
 
Ndo maana nasema sina kawaida ya kujibizana halafu usinilishe maneno ambayo sijasema wapi nimesema mtu analindwa na jinn sio Malaika????! na nyie ndo wakaririshwa dini hamuisomi ungesoma ungejua hata kisa cha Mtume Muhammad S. W. A alomsilimisha Jinn Qareen, Malaika kama Malaika wanakuwepo kila mmoja ana jukumu lake,msioende sana ubishani na upingaji ukisikia jambo lifatilie Elimu Elimu Elimu
 
Kwa hiyo kama Mtume alimsilimisha Qareen, huyo unayemuongelea hapa ni nani?
Jibu hoja kwa hoja sio kukimbilia eti sijibizani ulipost ili iweje kama hutaki challenge?
 
Sababu Qareen sio mmoja wapo wengi.
 
Sababu Qareen sio mmoja wapo wengi.
Huko juu umesema kila binaadam ana Qareen wake, kwa hiyo aliyesilimishwa na Mtume alikua ni Qareen wa Mtume? Je na Binaadam wengine wawasilimishe Maqareen wao?
 
HV mkuu unakafanikiwa lbda kutembea na mwanasiasa mfno mwigulu au bashe au heche au zito labda sas mfno na wew ukawaomba uwachakate je watakubali
Umeshawai muomba yule anaekuchakata nae umchakate au Ni wee tu unachakatwa muda wote
Kuna watu mna maswali ya ajabu sana[emoji23][emoji23]
 
Huko juu umesema kila binaadam ana Qareen wake, kwa hiyo aliyesilimishwa na Mtume alikua ni Qareen wa Mtume? Je na Binaadam wengine wawasilimishe Maqareen wao?
Jibu yes ✅
Swali la 2 sio rahisi ila wapo wanao wasalimisha mambo hayo ya watakatifu wacha Mungu mtu mwenyewe muovu mchafu atasilimisha Qareen 😂halafu elimu Sasabe sio zamani elimu imejaa mitandaoni ukisikia mambo embu lichumbue mwenyewe soma upunguze maswali ambayo unaweza pata majibu na ziada. Just google okay.ukikosa majibu unatafuta hata ulamaa wakubwa sio ma sheikh ubwabwa wakupe ilmu.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako ni kua majini wanawatawala binaadam kiasi kwamba kila kipaji ni jini, kila tabia ni jini, mfano wakina Ronaldo na Messi wana majini,

Nyie ndio wale hata mkiumwa Malaria mnakimbilia kujiagua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie ndio mnatuharibia Dini tunaitwa wafuga majini, unawatetea utadhani ushawaona wakakupa na ugali,

Kwa hiyo siku hizi binaadam halindwi na Malaika tena bali anakua na jini Qareen hadi anavyokufa mambo ya Malaika mbele na nyuma, kulia na kushoto hayapo au huyo Qareen anaelewana na Malaika na wanagonga cheers kichwani kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nachekaa sanaaa khaaah
 
Back
Top Bottom