Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Kwani hii mada inahusu nini ?

Na kwanini hutaki niwaulize Mashoga maswali ?

Mashoga si wapo kwanini wasiulizwe ni vipi wanapata furaha ya kufika Kileleni?

We kwanza una haki gani ya kuingilia uhuru wangu wa kuuliza maswali kwa Mashoga ?

We jamaa unayumba sana unachekesha alufu unaboa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan wee mgeni wa JF?
Nilisikia kwa jamaa mmoja humu kuwa wewe ni Msagaji.
Sasa sifahamu kama ni Msagaji au Msagwaji.
Unaweza kutu habarisha kidogo kuhusu aina yako ya mahusiano na Wanawake wenzako ?
 
Sasa hii haihusu usagaji, subiri siku ya uzi husika, utafahamu kila kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazazi wawe makini na shule za boarding ni za kuziogopa sana huku ndipo chimbuko la tabia izi mtoto anarudi likizo mwezi tu baada hapo shule kinachoendelea ujui lesbians na gays huko ndipo wanapojifunzia nishawahi ona

Yani hata mimi ndo nlikua nataka nilisemee hilo boarding ndio kunakoharibu watoto
 
Sasa hii haihusu usagaji, subiri siku ya uzi husika, utafahamu kila kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usagaji si ni Ushoga pia.
Kwani mtoa mada si ni mwanamke kama wewe na amekiri ni Shoga.

We tuhabarishe tu tunahitaji sana madini yako.
 
Kwani hii mada inahusu nini ?

Na kwanini hutaki niwaulize Mashoga maswali ?

Mashoga si wapo kwanini wasiulizwe ni vipi wanapata furaha ya kufika Kileleni?

We kwanza una haki gani ya kuingilia uhuru wangu wa kuuliza maswali kwa Mashoga ?

Haya basi ngoja waje wakupe muongozo jinsi ya kufika kileleni ukiwa shoga…wenzako hizo curiosity ndo zimewafanya waingie kwenye ushoga na washindwe toka kabisa….Hivi kweli kama hutaki kuwa shoga utauliz vipi eti wanafikaje kileleni
 
Usagaji si ni Ushoga pia.
Kwani mtoa mada si ni mwanamke kama wewe na amekiri ni Shoga.

We tuhabarishe tu tunahitaji sana madini yako.
Huyo sio mwanamke, ni mwanaume, pia sio shoga, ni bisexual ila anacheza ktk nafas 1 iliyo ndani ya ushoga.
 
Alaaa kumbe ni dume...!
Bisexual ni Shoga pia.

Nashukuru kwa kunijibu maswali yangu nalala mda huu.
 
Back
Top Bottom