Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kwani hii mada inahusu nini ?
Na kwanini hutaki niwaulize Mashoga maswali ?
Mashoga si wapo kwanini wasiulizwe ni vipi wanapata furaha ya kufika Kileleni?
We kwanza una haki gani ya kuingilia uhuru wangu wa kuuliza maswali kwa Mashoga ?
We jamaa unayumba sana unachekesha alufu unaboa