Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Na hao wtt wataambiwa na ndugu
ni hatari sana hiyo yeye aendelee kutafuta tiba ya kwanza akipona hayo ya kuoa yakuja automatically ...hii hali yake ya sasa haifai kuwa na watoto kbs...

pia anavyosema akishindwa kupata tiba atafake 4ever till death hilo jambo ni la bahati nasibu ipo siku atakosea na ataanza kuumbuka hpo hadi kwa watoto
 
Kifuatacho ni kwenda kufanya practical au sio
W


Shoga anajitambulisha humu kwanini unanizuia nisimwulize maswali ?

Mi wala sijaanza kujadiliana na wewe ukarukia tu na kuanza kuzungumza jambo ambalo halikuhusu.

Nadhani wewe unadalili za ugomvi mimi sipendi ugomvi.
 
cocastic, pia hutaki mwenzio abadilike atoke kwenye chama chenu unaona kama anakimbia usajili wenu...

wewe tunakujua ni shoga wa humu hilo halina mashaka kwanini hutaki aende kwa wachungaji kama kina Mwakasege akaombewe?!!
 
pia wewe hutaki mwenzio abadilike atoke kwenye chama chenu unaona kama anakimbia usajili wenu...

wewe tunakujua ni shoga wa humu hilo halina mashaka kwanini hutaki aende kwa wachungaji kama kina Mwakasege akaombewe?!!
Haya mpelekeni hata wachungaji wa mbali, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km ameahasema kafanya kila mbinu, kashindwa ndo hao wachungaji waweze?
 
Back
Top Bottom