Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Habarini za humu wadau,mimi ni kijana wa miaka 26,mkazi wa jijini dar es salaam.Ninakitu nimeobserve katika maisha yangu amabcho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli.Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.

Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.

Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wakiume tofauti na wakike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.

Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja flani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.

Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri,sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Yani ww mhhhh
 
Kujiendekeza tu. Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzio hiyo ni dalili ya ushoga.

Wengi mnaathiriwa na ulaji mbovu matokeo yake mnashindwa kuwatomba vilivyo wanawake hali inayopelekea kusingizia kuwa mna hormone imbalance kati ya za kike na kiume.

Kwa jamii yetu ya Kitanzania hakuna wakati ambao ushoga na usagaji vitakuja kukubaliwa.

Hakuna jambo linaumiza nafsi kama kuwa na mtoto halafu akawa shoga au msagaji ni very painful na utatamani usingekuwa naye.

Badilisha style yako ya ulaji. Acha Kula chipsi na bites kama vile biscuits. Kula sana vyakula vya kuupa mwili wako nguvu kama mbogamboga na ugali kwa wingi.

Acha kujilegeza legeza kama mwanamke. Mwanaume unatakiwa kuwa mkomavu kwa kila kitu.

Lakini kuna wengine mmeamua kuwa hivyo kwa lengo la kukwepa majukumu hasa ya kifamilia. Kama hauna kasoro oa mwanamke uzae naye watoto utunze familia yako.

Ni aibu sana kujiingiza kwenye ushoga / usagaji kwa kisingizio Cha umeumbwa hivyo.

MUNGU HAKOSEI
Me naona wa hivi hata wasithubutu kuzaa. Aishi single tu nani anataka kuolewa na shoga au kuwa na baba shoga. Baki single bro usioe wala usizae usije kuleta huzuni kwenye maisha ya wasio na hatia
 
Habarini za humu wadau,mimi ni kijana wa miaka 26,mkazi wa jijini dar es salaam.Ninakitu nimeobserve katika maisha yangu amabcho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli.Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.

Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.

Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wakiume tofauti na wakike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.

Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja flani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.

Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri,sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Siyo bure labda ni chakla.
 
Sorry mtoa umewahi kujiingizia kitu chochotr mfano wa anal plug au didlo ama kidole huko nyuma hasa ukiwa unapiga punyeto? Na je ukiwa unaangalia x unapenda ku search zipi?unafanya shughuli gani za kukaa sana au kazi za nguvu? Na je ukifanya mapenzi na wanawake huwa unawanyonya nyuma na kwenye uke zao hasa ukiwa umelewa?

Ni hayo tu?
Ukinijibu nitajua tatizo lako linasababishwa na nini?
 
Sali sana pia mazoezi
Halafu kapime homoni, tena wahi hospitali kabla malinda hayajatatuliwa.
 
Umesema unapesa siyo

Nunua wale callGirls wa Exotic kama wanne hivi, wako classic sana, wakufanyie simple orgy, uje ufute huu uzi baada ya tukio
 
Sorry mtoa umewahi kujiingizia kitu chochotr mfano wa anal plug au didlo ama kidole huko nyuma hasa ukiwa unapiga punyeto?..na je ukiwa unaangalia x unapenda ku search zipi?unafanya shughuli gani za kukaa sana au kazi za nguvu?na je ukifanya mapenzi na wanawake huwa unawanyonya nyuma na kwenye uke zao hasa ukiwa umelewa?
Ni hayo tu?
Ukinijibu nitajua tatizo lako linasababishwa na nini?

Sijawah kufanya hivyo napia sina mawazo hayo
 
Back
Top Bottom