Mambo usiyoyajua kuhusu Biblia

Paulo hakuoa na io sanhendrin haipo kwenye maandiko
Ila yeye alikuwa mwanafunzi wa torati mashuhuri, ambae alitakiwa awe farisayo mkuu,watu waliomatowashi,
PIA MWANAMKE HATOI TALAKA KWENYE MAANDIKO UNASEMAJE ALIACHIKA.
Paulo mwenyewe anasema hakuoa wewe nani unasema alioa.
 
8: io galaxy ni kama karatasi tu biblia ndio inavyosema
Ao viumbe wa nje ya sayari hamtakaa kamwee muwaone
Mungu aliumba mbingu na nchi nukta.
Unajua maana ya mbingu ??
Uo uchafu wote unaosema sio mungu u pekee aliumba ni nani mwingine aliumba

Sifa ya uumbaji ni ya Mungu pekee
Hakuna mwingine muumbaji
Kama yupo basi wewe umesema unaiamini biblia na huiamini hata chembe
 
Yesu kristo anafanya mambo wakati huu na watu hawaoni.
Kila kizazo mungu alisema anatuma mtu kuwaongoza
Na hata sasa yupo na hajulikani
 
12: akiba aliyoiongelea sio pesa tuu
Kama ni hvyo matajiri wangekuwa na akiba kubwa mbinguni .
Lakini biblia inasema haiwezekani kwa tajiri kuuona ufalme wa mbinguni.
 
Bikira Mariam ni nani wake?
Bwana Yesu hajawahi kumuita mariamu MAMA
Soma biblia nzima amemuita mwanamke.
Na mariamu sio bikira tena baada ya kumzaa yesu
Na ata hvyk alimzaa ya yohana mt.
Na siku ya pentekost alienda kuomba na kulia machozi aokolewe kwa kupokea roho mtakatifu
 
Hizo zote porojo , sema huna jibu tu.

Simpo, Jina la baba na mama yake Bikira mariam. Mama wa yesu ni nani?


Mnashangaza sana, biblia ambayo mnasema haina makosa iwe na ukoo wa baba wa yesu wakati hana baba, lakini haina ukoo wa mama wa Yesu? Hamlioni kosa hapo?

Au mnafikiri wote ni wajinga ndiyo waliwao?
 
Unamatatizo sana
Kitabu chavyohana kiliandikwa na yohana mwnyewe
Na anasema mwisho wa kitabu kuwa haya uyasomayo yameandikwa na yule mwanafunzi aliependwa sana na Bwana yesu.
Na ndie aliekuwa mdgo kuliko wote,na ndie aliepewa ufunuo wa yohana,
Na ndie aliekuwa akilala mapajani mwa yesu
Akasema yeye ndie mwandishi wa kitabu kile
 
Umesahau kuwa aliyetoa cent mbili ndiyo alikuwa mtoaji mkuu
Ikiwa na maana kwamba Bakhressa anaweza kutoa sadaka ya b1
Mimi nikatoa laki5 nikahesabika kutoa zaidi yake kwa hiyo umasikini siyo sababu ya kutotoa sadaka
 
Ulivyoandika wewe kujitetea ni matatizo, mtu aandike kiabu chake mwenyewe halafu aandike "kimeandikwa na yule..."?

Kimbembe hicho.
 
Sio kosa wayahudi ni patriarchal system yaani kizazi ni cha upande wa baba sio kama wamakonde na wamakua na wandengereko kama wewe nk kuwa kizazi cha Mama mtoto wa mama na wajomba

Wayahudi wote wate kizazi kinachotiliwa maanani kihistoria ni cha wanaume ndio maana wayahudi wote wanaume hadi wa leo wanajua kizazi Chao hata kabla huyo Mohamed hajazaliwa
 
Hao ndo ndugu wa Waiskamu....
 
Bwana Yesu hajawahi kumuita mariamu MAMA
Soma biblia nzima amemuita mwanamke.
Na mariamu sio bikira tena baada ya kumzaa yesu
Na ata hvyk alimzaa ya yohana mt.
Na siku ya pentekost alienda kuomba na kulia machozi aokolewe kwa kupokea roho mtakatifu
Yohana 2:4.
 
Ndo walimundikia Mudy Qoran....
 
Paul alisema wapi hakuoa
 
Hebu toa mfano wa mstari tuone
 
Watu wengi wanajaribu ku discredit kitabu cha Injili ya Yohana kwa sababu kimeandika kuhusu Uungu wa Yesu kwa uwazi na kwa nguvu sana. Lakini Uungu wa Yesu unaweza kuuona kwenye kila kitabu cha Injili kuanzia Mathayo, Marko na Luka na hata kwenye vitabu vya Agano la kale.

Hata hivyo inajulikana vema kuwa mwandishi wa kitabu cha Injili ya Yohana, waraka wa Yohana I, II,III na Ufunuo wa Yohana vyote viliandikwa na Yohana aliyekuwa mwanafunzi wa Yesu, kaka yake Yakobo na mwana wa Zebedayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…