Mambo usiyoyajua kuhusu Biblia

Mambo usiyoyajua kuhusu Biblia

Sadaka zetu huenda ndio zikawa Pocket Money zetu mbinguni kwani Biblia imesema tuweke akiba sehemu isiyo haribika, na sote tunajua akiba ni kwa matumizi ya baadae.
Hapa Mzee umechemka maombi na Sala kufanya Toba na kufunga ndio hazina yako ilipo, kuna Muda Mungu anakuona akiangalia kwenye request zako anaona ulichomuomba anakugawia kwenye kile ambacho hakitokuumiza

Wewe unaweza ukawa unamuomba Mungu Gari Ila Mungu anajua kabisa akikupa Gari Wewe unakufa kesho tena kwa ajali mbaya Mungu hakupi Gari hata ukeshe na kukesha kwenye maombi Mungu nipe Gari Mungu hakupi Gari ng'o kwa sababu anajua akikupa Gari unaenda kufa narudia kuna watu Mungu hawapi vitu wanavyomuomba sababu anajua akiwapa tu watakufa
 
Mmmh kunasehemu umetupiga, mfano point namba Sita. Yesu hana sifa za kuwa Mungu (baba wa pekee)

“Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

— Isaya 9:6 (Biblia Takatifu)

KRISTO YESU HUYO
 
Yesu ni MUNGU sio?
 
Hizo zote porojo , sema huna jibu tu.

Simpo, Jina la baba na mama yake Bikira mariam. Mama wa yesu ni nani?

Mnashangaza sana, biblia ambayo mnasema haina makosa iwe na ukoo wa baba wa yesu wakati hana baba, lakini haina ukoo wa mama wa Yesu? Hamlioni kosa hapo?

Au mnafikiri wote ni wajinga ndiyo waliwao?
Biblia haijaandika kila taarifa za mtu, ila yale yaliyoandikwa na ambayo Mungu ameruhusu yaendelee kuwepo mpaka leo ndio maandiko ambayo Mungu kwa hekima yake anaona yanatosha kwetu kuyafahamu ili kumjua yeye na kujua utendaji wake.

Waandishi wa kiyahudi walitambua masihi atatokea ukoo wa Daudi kutokana na maandiko matakatifu ndio maana ilikuwa muhimu kwa Mathayo kurekodi ukoo wa Yesu ili kuwatambulisha wayahudi kuwa Yesu ndiye masihi waliyemtarajia. Wanatheolojia wanaamini ukoo uliotajwa katika Luka 3:23-38 ni wa kupitia Mariamu.

Kwa maana hiyo Yesu ana qualify kuwa masihi aidha kupitia baba mlezi Yusufu au mama yake Mariamu kwa sababu wote chimbuko lao ni watoto wa Daudi yaani Suleiman na Nathani respectively.

Lakini hata kama hakuna taarifa za nani walikuwa wazazi wa Mariamu hilo haliwezi kuondoa ukweli na umaana wa Injili iliyoandikwa na hawa wanafunzi wa Yesu kwa kuongozwa na Roho wa Mungu.
 
Unamatatizo sana
Kitabu chavyohana kiliandikwa na yohana mwnyewe
Na anasema mwisho wa kitabu kuwa haya uyasomayo yameandikwa na yule mwanafunzi aliependwa sana na Bwana yesu.
Na ndie aliekuwa mdgo kuliko wote,na ndie aliepewa ufunuo wa yohana,
Na ndie aliekuwa akilala mapajani mwa yesu
Akasema yeye ndie mwandishi wa kitabu kile

Nyinyi wagalatia mnadanganywa sana mbona historia zote zipo

Katika hivyo vitabu hakuna hata kitabu kimoja kilichoandikwa na mwanafunzi wa Yesu

Kitabu Cha Luka kimeandikwa na mganga wa kienyeji

Kitabu Cha Mathayo na Matendo vimeandikwa na Paulo

Na kitabu Cha Yohana ndio Hadi Leo hi mwandishi hajulikani
Kitabu Cha Yohana kiliokotwa Misri miaka 15 Baada ya Yesu kupaa

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.

Several hypotheses have attempted to explain why so much of Jesus’ life not portrayed in the Synoptics is present in John and vice versa. One hypothesis claims that John recorded many of the events that occur

Source website ya Cambridge university
 
Biblia haijaandika kila taarifa za mtu, ila yale yaliyoandikwa na ambayo Mungu ameruhusu yaendelee kuwepo mpaka leo ndio maandiko ambayo Mungu kwa hekima yake anaona yanatosha kwetu kuyafahamu ili kumjua yeye na kujua utendaji wake.

Waandishi wa kiyahudi walitambua masihi atatokea ukoo wa Daudi kutokana na maandiko matakatifu ndio maana ilikuwa muhimu kwa Mathayo kurekodi ukoo wa Yesu ili kuwatambulisha wayahudi kuwa Yesu ndiye masihi waliyemtarajia. Wanatheolojia wanaamini ukoo uliotajwa katika Luka 3:23-38 ni wa kupitia Mariamu.

Kwa maana hiyo Yesu ana qualify kuwa masihi aidha kupitia baba mlezi Yusufu au mama yake Mariamu kwa sababu wote chimbuko lao ni watoto wa Daudi yaani Suleiman na Nathani respectively.

Lakini hata kama hakuna taarifa za nani walikuwa wazazi wa Mariamu hilo haliwezi kuondoa ukweli na umaana wa Injili iliyoandikwa na hawa wanafunzi wa Yesu kwa kuongozwa na Roho wa Mungu.
Porojo ndefu za nini? Kama umelielewa swali jibu tu, wapo wazazi wa Mariam mama yake Yesu kwenye biblia au hawapo?
 
Sijui zaidi ya nilichokujibu, maana yake kama wametajwa basi mimi sijui mahali palipowataja na sijawahi kuwa interested kujua kama wametajwa.
To me, the only thing interesting about the question is the question itself. Kwamba kwa nini ni muhimu kwako kuwajua wazazi wa Mariamu mama yake Yesu?
 
Mama yake Bikira Maria aliitwa Anna (Hannah kwa Kiebrania), na Baba yake aliitwa Joachim. Na wote walizaliwa na kuishi kwenye eneo la Palestina ya sasa. Baada ya kuzaliwa Bikira Maria, inaaminika ni miaka tu michache, Joakim alifariki, na Hannah aliolewa tena.
 
Kama hujui uliza waliokuzidi ujuzi wa biblia.

Kama umelielewa swali jibu tu, wapo wazazi wa Mariam mama yake Yesu kwenye biblia au hawapo?
 
Mama yake Bikira Maria aliitwa Anna (Hannah kwa Kiebrania), na Baba yake aliitwa Joachim. Na wote walizaliwa na kuishi kwenye eneo la Palestina ya sasa. Baada ya kuzaliwa Bikira Maria, inaaminika ni miaka tu michache, Joakim alifariki, na Hannah aliolewa tena.
Porojo ndefu za nini? Kama umelielewa swali jibu tu, wapo wazazi wa Mariam mama yake Yesu kwenye biblia au hawapo?
 
Nimeishia hapo hapo umesema Ayubu ameishi kabla ya Adamu
 
1-3 nimekupata vizuri. You are correct 100%,
Huko mbele kuna hitajika ufahamu na maelekezo zaidi.
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Biblia ni hekaya kama zilivyo hekaya za Abunuwasi au hekaya za Hawafu mwenye nguvu.

Mungu, Shetani, Yesu hawajawahi kuwepo na hawapo.
 
Nyinyi wagalatia mnadanganywa sana mbona historia zote zipo

Katika hivyo vitabu hakuna hata kitabu kimoja kilichoandikwa na mwanafunzi wa Yesu

Kitabu Cha Luka kimeandikwa na mganga wa kienyeji

Kitabu Cha Mathayo na Matendo vimeandikwa na Paulo

Na kitabu Cha Yohana ndio Hadi Leo hi mwandishi hajulikani
Kitabu Cha Yohana kiliokotwa Misri miaka 15 Baada ya Yesu kupaa

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.

Several hypotheses have attempted to explain why so much of Jesus’ life not portrayed in the Synoptics is present in John and vice versa. One hypothesis claims that John recorded many of the events that occur

Source website ya Cambridge university
Uwe unafanya na research yako sio unabeba kila kitu kama kilivyo, Luka alikuwa tabibu professionally na aliandika kitabu cha Luka na kitabu cha Matendo. Hakuwa kati ya wale 12 (Thenashara) lakini alikuwa mfuasi wa Yesu na aliyefanya kazi na the eyewitnesses wa wakati wa Yesu

Mathayo alikuwa mwanafunzi wa Yesu kabisa yani ni kati ya wale mitume 12 aliowachagua Yesu mwenyewe. Kuhusu Yohana nimeshakwambia ila kama unabisha kwa sababu ya hicho kizungu ulichokiweka hapo sijui umekiokota wapi basi sawa.
 
Unachekesha sana

Yani Mimi nifanye research ije na majibu ya kweli kuliko hi research ya ma prophessor wa Cambridge university

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however,

Pia kuhusu Luka kuwa alikuwa karibu na Yesu hizo DOGMA ambazo mnalishana huko kanisani

Huyo Luka mganga wa kienyeji aliyeandika hiyo Injili sio tu kuwa karibu na Yesu hata kumuona hajawahi kumuona na ndio maana aliandika Kwa kuwauliza watu waliowahi kumuona Yesu

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

Hao waliokupotezeni walijipanga
 
Maana ya Binadamu ni bin Adam.Yaani uzao wa Adam.Unaposema kulikuwa na binadamu wengine kabla ya adamu tunaweza hisi umesoma habari zako kwenye injili ya baraba au kutoka vitabu vya kutunga vya kisumeria..Zaidi unapotea unaposema shetani alikuwa MWOKOZI na hakuwa na Nia ya coup.Mtu akisoma habari yako anaweza hisi Una homa au umepata panic attack au stroke imeharibu sehemu kubwa ya ubongo wako.
 
P
Unachekesha sana

Yani Mimi nifanye research ije na majibu ya kweli kuliko hi research ya ma prophessor wa Cambridge university

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however,

Pia kuhusu Luka kuwa alikuwa karibu na Yesu hizo DOGMA ambazo mnalishana huko kanisani

Huyo Luka mganga wa kienyeji aliyeandika hiyo Injili sio tu kuwa karibu na Yesu hata kumuona hajawahi kumuona na ndio maana aliandika Kwa kuwauliza watu waliowahi kumuona Yesu

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

Hao waliokupotezeni walijipanga
Professor WA Cambridge anaweza akawa shoga,,au anaesema ushoga sio abnormalities!! Huyo akiongea hata nonsense mwafrika asiefikiri na asie na misingi imara atayumba Tu kisa kaongea mzungu afu professor.
 
Back
Top Bottom