stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Hapa Mzee umechemka maombi na Sala kufanya Toba na kufunga ndio hazina yako ilipo, kuna Muda Mungu anakuona akiangalia kwenye request zako anaona ulichomuomba anakugawia kwenye kile ambacho hakitokuumizaSadaka zetu huenda ndio zikawa Pocket Money zetu mbinguni kwani Biblia imesema tuweke akiba sehemu isiyo haribika, na sote tunajua akiba ni kwa matumizi ya baadae.
Wewe unaweza ukawa unamuomba Mungu Gari Ila Mungu anajua kabisa akikupa Gari Wewe unakufa kesho tena kwa ajali mbaya Mungu hakupi Gari hata ukeshe na kukesha kwenye maombi Mungu nipe Gari Mungu hakupi Gari ng'o kwa sababu anajua akikupa Gari unaenda kufa narudia kuna watu Mungu hawapi vitu wanavyomuomba sababu anajua akiwapa tu watakufa