Mambo usiyoyajua kuhusu Biblia

Mambo usiyoyajua kuhusu Biblia

Paulo hakuoa na io sanhendrin haipo kwenye maandiko
Ila yeye alikuwa mwanafunzi wa torati mashuhuri, ambae alitakiwa awe farisayo mkuu,watu waliomatowashi,
PIA MWANAMKE HATOI TALAKA KWENYE MAANDIKO UNASEMAJE ALIACHIKA.
Paulo mwenyewe anasema hakuoa wewe nani unasema alioa.
 
8: io galaxy ni kama karatasi tu biblia ndio inavyosema
Ao viumbe wa nje ya sayari hamtakaa kamwee muwaone
Mungu aliumba mbingu na nchi nukta.
Unajua maana ya mbingu ??
Uo uchafu wote unaosema sio mungu u pekee aliumba ni nani mwingine aliumba

Sifa ya uumbaji ni ya Mungu pekee
Hakuna mwingine muumbaji
Kama yupo basi wewe umesema unaiamini biblia na huiamini hata chembe
 
Yesu kristo anafanya mambo wakati huu na watu hawaoni.
Kila kizazo mungu alisema anatuma mtu kuwaongoza
Na hata sasa yupo na hajulikani
 
12: akiba aliyoiongelea sio pesa tuu
Kama ni hvyo matajiri wangekuwa na akiba kubwa mbinguni .
Lakini biblia inasema haiwezekani kwa tajiri kuuona ufalme wa mbinguni.
 
Bikira Mariam ni nani wake?
Bwana Yesu hajawahi kumuita mariamu MAMA
Soma biblia nzima amemuita mwanamke.
Na mariamu sio bikira tena baada ya kumzaa yesu
Na ata hvyk alimzaa ya yohana mt.
Na siku ya pentekost alienda kuomba na kulia machozi aokolewe kwa kupokea roho mtakatifu
 
Tusiende huko mbona mbali wewe unamjua babu wa babu wa babu wa babu mzaa babu wa babu yake ? Upande wa mama yako au baba yako ? Waweza wataja majina na waliishi wapi kabla ya kuja huyo unayeita mtume mohamed unafahamu kizazi chako.kabla ya mohamed upande wa mama yako na baba yako

Umekalia kumjua mohamed na kizazi chake wewe chako unakijua mwisho wapi? Kutwa kuimba kaswida za mohamed na uzao wake na historia yake kizazi chako chenyewe hukijui kwa undani kuwa kabla ya mohamed kiliishi wapi majina yao waliitwa nani unaishia kukariri majina ya baba zake mohamed na mama zake na nyumba ndogo za baba yake na babu zake

Kichwani zimo wewe?
Hizo zote porojo , sema huna jibu tu.

Simpo, Jina la baba na mama yake Bikira mariam. Mama wa yesu ni nani?

Mnashangaza sana, biblia ambayo mnasema haina makosa iwe na ukoo wa baba wa yesu wakati hana baba, lakini haina ukoo wa mama wa Yesu? Hamlioni kosa hapo?

Au mnafikiri wote ni wajinga ndiyo waliwao?
 
Bibilia Ina mapungufu Kuna vitabu muandishi wake hajulikani kikiwepo kitabu Cha Yohana

Na ndio kitabu chenye mandiko mengi yanayosema Yesu Mungu

Yani mnaamini Maneno ambayo hata aliyeyandika hamumjui

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.

Several hypotheses have attempted to explain why so much of Jesus’ life not portrayed in the Synoptics is present in John and vice versa. One hypothesis claims that John recorded many of the events that occur

Source website ya Cambridge university

Kama wewe unamjua aliyeandika kitabu Cha Yohana mtaje Ili Dunia ikupe zawadi maana Hadi Leo bado anatafutwa
Unamatatizo sana
Kitabu chavyohana kiliandikwa na yohana mwnyewe
Na anasema mwisho wa kitabu kuwa haya uyasomayo yameandikwa na yule mwanafunzi aliependwa sana na Bwana yesu.
Na ndie aliekuwa mdgo kuliko wote,na ndie aliepewa ufunuo wa yohana,
Na ndie aliekuwa akilala mapajani mwa yesu
Akasema yeye ndie mwandishi wa kitabu kile
 
Hapana, pocket money ili ununue nini? Akiba ni ya matendo, ukiwa na imani, upendo, uadilifu, ujazo wa roho mtakatifu, maisha yenye ushuhuda hizo ndio akiba otherwise maskini hawataingia mbinguni. Abraham alimtoa Isaka ila tunaambiwa ndio baba wa imani SIO sababu ya kutoa PESA.

Na wanatheolojia wanasema kwa nia ya sadaka ile ndio Mungu akaona asimzuie mwanaye kufa msalabani sababu aliona moyo wa Abraham kutozuia wake.

So to hell with pesa, matendo ndio hazina
Umesahau kuwa aliyetoa cent mbili ndiyo alikuwa mtoaji mkuu
Ikiwa na maana kwamba Bakhressa anaweza kutoa sadaka ya b1
Mimi nikatoa laki5 nikahesabika kutoa zaidi yake kwa hiyo umasikini siyo sababu ya kutotoa sadaka
 
Unamatatizo sana
Kitabu chavyohana kiliandikwa na yohana mwnyewe
Na anasema mwisho wa kitabu kuwa haya uyasomayo yameandikwa na yule mwanafunzi aliependwa sana na Bwana yesu.
Na ndie aliekuwa mdgo kuliko wote,na ndie aliepewa ufunuo wa yohana,
Na ndie aliekuwa akilala mapajani mwa yesu
Akasema yeye ndie mwandishi wa kitabu kile
Ulivyoandika wewe kujitetea ni matatizo, mtu aandike kiabu chake mwenyewe halafu aandike "kimeandikwa na yule..."?

Kimbembe hicho.
 
Hizo zote porojo , sema huna jibu tu.

Simpo, Jina la baba na mama yake Bikira mariam. Mama wa yesu ni nani?

Mnashangaza sana, biblia ambayo mnasema haina makosa iwe na ukoo wa baba wa yesu wakati hana baba, lakini haina ukoo wa mama wa Yesu? Hamlioni kosa hapo?

Au mnafikiri wote ni wajinga ndiyo waliwao?
Sio kosa wayahudi ni patriarchal system yaani kizazi ni cha upande wa baba sio kama wamakonde na wamakua na wandengereko kama wewe nk kuwa kizazi cha Mama mtoto wa mama na wajomba

Wayahudi wote wate kizazi kinachotiliwa maanani kihistoria ni cha wanaume ndio maana wayahudi wote wanaume hadi wa leo wanajua kizazi Chao hata kabla huyo Mohamed hajazaliwa
 
Ayubu alikuwa kabla ya ibrahim na sio kabla ya adam.
Kuhusu kuongelea mambo kabla ya adamu io job 41
Hata paulo na yohana pia wameongelea mambo kabla ya uumbaji kuanza
Shetani hajawahi kuwa masihi
Masihi haasi, alikuwa malaika wa sifa. Mkuu wa sifa mbele za Mungu.
Huwezi kuchanganya sayansi na neno la Mungu. Hususan kwenye uumbaji.
Wanasayansi mwakani wanaweza kuja na vifaa vingine vikasema binadamu wa kwanza aliishi miaka 9000 iliopota.
Sayansi sio yakini

Hakuna mashetani kuna shetani,mwenye maumbo tofauti tofauti.
Ni mmoja usichanganyikiwe na maumbo yake. Alafu usisome biblia ya kiswahili tu.

Peponi hakupo tenaaa
Yesu alipofuguka alienda kuwatoa watakatifu uko peponi yaani paradise
Na roho zao zikawatokea wapendwa wao duniani kabla ya kupaa kwa Bwana yesu.

Yesu kristo ndie Mungu mkuu,na ndio mwilo wa mungu alionao
Na ndio mwili aliowatokea wale wa kwenye tundu la simba na mahali pengi.
Shetani anamfahamu haswa Yesu,ila hakuamini kama angekuja katika mwili duni kama ule wa kibinadamu.

Hakuna malaika aliewahi kuanguka kabla ya shetanj,wote walioanguka walishawishiwa na mkuu wa ushawishi yaani shetani.
Na ilo la malaika kuanguka na kuwashawishi wana wa Mungu ni wakati adamu mwenyewe alishakuwepo.

Na ujue wana wa Mungu sio malaika.
Na hata sasa malaika waliopptea wanawashawishi wana wa Mungu na kuzaa nao, usifikiri walikuwa aliens.
Malaila walioanguka ni mapepo na yanaishi ndani ya watu hata sasa.

Ntaendelea kukujibu tena
Hao ndo ndugu wa Waiskamu....
 
Bwana Yesu hajawahi kumuita mariamu MAMA
Soma biblia nzima amemuita mwanamke.
Na mariamu sio bikira tena baada ya kumzaa yesu
Na ata hvyk alimzaa ya yohana mt.
Na siku ya pentekost alienda kuomba na kulia machozi aokolewe kwa kupokea roho mtakatifu
Yohana 2:4.
 
Hiyo #11 kwamba sio Shetani tu bali kuna wengine wengi walioasi na wana kesi zao tofauti na ya Shetani. Basi kumbe tukisali tusimlenge Shetani pekee yake wapo wengi wengine na tuwalengeshe kwenye mashambulizi. Jambo hili laweza kuelezea kwanini watu wengi hawatoboi katika sala zao kwani wanam-target shetani tu ilhali wapo wengine waliotenda mambo yao.

Ila tujue kuwa shetani na malaika wenzake wamefungwa na hawajaachwa kurandaranda duniani kama tunavyofikiri. Wapo locked vibaya sana ila wanaweza kushawishi tena kwa kupitia viumbe wa chini sana na hasa wanadamu. Mnataka zaidi?
Ndo walimundikia Mudy Qoran....
 
Paulo hakuoa na io sanhendrin haipo kwenye maandiko
Ila yeye alikuwa mwanafunzi wa torati mashuhuri, ambae alitakiwa awe farisayo mkuu,watu waliomatowashi,
PIA MWANAMKE HATOI TALAKA KWENYE MAANDIKO UNASEMAJE ALIACHIKA.
Paulo mwenyewe anasema hakuoa wewe nani unasema alioa.
Paul alisema wapi hakuoa
 
Bibilia Ina mapungufu Kuna vitabu muandishi wake hajulikani kikiwepo kitabu Cha Yohana

Na ndio kitabu chenye mandiko mengi yanayosema Yesu Mungu

Yani mnaamini Maneno ambayo hata aliyeyandika hamumjui

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.

Several hypotheses have attempted to explain why so much of Jesus’ life not portrayed in the Synoptics is present in John and vice versa. One hypothesis claims that John recorded many of the events that occur

Source website ya Cambridge university

Kama wewe unamjua aliyeandika kitabu Cha Yohana mtaje Ili Dunia ikupe zawadi maana Hadi Leo bado anatafutwa
Hebu toa mfano wa mstari tuone
 
Watu wengi wanajaribu ku discredit kitabu cha Injili ya Yohana kwa sababu kimeandika kuhusu Uungu wa Yesu kwa uwazi na kwa nguvu sana. Lakini Uungu wa Yesu unaweza kuuona kwenye kila kitabu cha Injili kuanzia Mathayo, Marko na Luka na hata kwenye vitabu vya Agano la kale.

Hata hivyo inajulikana vema kuwa mwandishi wa kitabu cha Injili ya Yohana, waraka wa Yohana I, II,III na Ufunuo wa Yohana vyote viliandikwa na Yohana aliyekuwa mwanafunzi wa Yesu, kaka yake Yakobo na mwana wa Zebedayo.
 
Back
Top Bottom