Mambo usiyoyajua kuhusu online dating platforms

Ipo Facebook, na kuna mmoja jina limetoka ni maarufu sana umejaa madem wanajiuza wanajifanya wa chuo ni bure unless ukitaka premium package. Lakini sasa hii ninayoongelea hapa mtu analipia kwa kila msg anayotuma.

Mkuu, hii feature ya Online dating ya Fb ipogo wapi au inakuwaje kuwaje ?? Nataka nijionee huenda nikamkuta Mama watoto wangu huko [emoji23][emoji23][emoji23] (Kidding )
 
Mkuu, hii feature ya Online dating ya Fb ipogo wapi au inakuwaje kuwaje ?? Nataka nijionee huenda nikamkuta Mama watoto wangu huko [emoji23][emoji23][emoji23] (Kidding )
Mkuu swali lake lilikuwa hili "Kwani kuna mtandao mtu anachat free of charge!??" ndiyo maana nikamjibu vile
 
Mkuu huu ugonjwa wa wanawake kuolewa na wazungu wanao wengi sana. Wengine hawasemi live ila wanao na uliletwa na kizazi cha akina Mange

Duuh ni hatari sana aseee.! Alfu utakuta wanaposti status na Caption ya crush [emoji8][emoji8][emoji8]
 
No difference
Mkuu si game tu unashindana tu sidhani kama mtu anaweza care kama anashindana na mtu au anashindana na machine. Assume unacheza basket na machine, utamaindi kama ni machine au mtu? Maana no feelings baada ya kumaliza game imepita hiyo.
 
Ipo Facebook, na kuna mmoja jina limetoka ni maarufu sana umejaa madem wanajiuza wanajifanya wa chuo ni bure unless ukitaka premium package. Lakini sasa hii ninayoongelea hapa mtu analipia kwa kila msg anayotuma.
Sidhani kama umenielewa. Can you access FB bila bando, bila internet?
 
Mkuu swali lake lilikuwa hili "Kwani kuna mtandao mtu anachat free of charge!??" ndiyo maana nikamjibu vile

Sawa lakini kuna kipindi fulani hivi, Fb walileta hiyo update ila mie kwenye app yangu sionagi au inakuwwa inapatikana kwa baadhi maeneo tu hasa ya wenye ukwasi
 
Aisee
 
Aidha ni kama umenielewa. Can you access FB bila bando, bila internet?
Mkuu basi tuseme hakuna kitu kisicholipiwa kama ndiyo mtazamo wako wa mambo. Kumbuka anayekula hiyo pesa ya bundle ni network supplier wako FB hali chochote kutoka kwenye hilo bundle ulilolipia. Hapa mimi ninazungumzia mtu kulipia direct kutumia huduma ya kuchat.
 
Sawa lakini kuna kipindi fulani hivi, Fb walileta hiyo update ila mie kwenye app yangu sionagi au inakuwwa inapatikana kwa baadhi maeneo tu hasa ya wenye ukwasi
Mkuu mimi kusema kweli mambo ya kuchat FB siyajui muda sana nilishaacha, mimi kilichonifanya nibaki fb ni facebook adverts
 
Mkuu si game tu unashindana tu sidhani kama mtu anaweza care kama anashindana na mtu au anashindana na machine. Assume unacheza basket na machine, utamaindi kama ni machine au mtu? Maana no feelings baada ya kumaliza game imepita hiyo.
Inategemea na mtu; pia Inategemea na mtazamo. Mtu mwingine anaweza kuona vyema akabadilishana mawazo na mtu mwingine, na siyo kuspend tym na lifeless programs. Pili, kimtazamo, hizo games ni preprogrammed applications ambazo kimsingi ni inventions za akili ya mwanadamu, mawazo ya mwanadamu. In short, ni mwendo wa kizunguka duara ama kukwepa mvua na kukimbilia baharini. Utasema maji ya bahari yana joto lakini mvua huwa na dhoruba, fine. Nimekuelewa!!! I think kote kuwili hakufai kabisa.
 
Kama unataka kubadilishana mawazo si unakuja kwenye forums kama Quora, na kadhalika hata jf. Ukiamua kucheza games basi umefuata entertainment. Umeamua kuingia kwenye virtual world uondokane na uhalisia. Whether unacheza na programmed system au hapana haina maana sana.
 
Mkuu mimi kusema kweli mambo ya kuchat FB siyajui muda sana nilishaacha, mimi kilichonifanya nibaki fb ni facebook adverts

Ahaaa.! Basi sawa mkuu. Hivi inakuwaje kuwaje kuwa freelancer mkuu.
 
Ahaaa.! Basi sawa mkuu. Hivi inakuwaje kuwaje kuwa freelancer mkuu.
Unachukua your best skills and other skills that you can learn then unaziuza kwenye platforms ambazo zina client ambao wana demand ya hizo skills. Inabidi uwe reliable, uwe mwaminifu maana mtu anaweza kukutumia pesa yuko Ulaya uko Tanzania na hakujui, usije ingia nayo mitini kisa hana jinsi ya kukupata. Pia uwe efficient katika kazi uliyopatana na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…